kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania HAMAS walalamika kuhusu vifo vya Wapalestina 2,329 vilivyosababishwa na Israel

    Kwamba wao wapige maroketi yao ila wasijibiwe maana itasababisha vifo kwa Wapalestina.... SCREENSHOT Hamas has claimed that the death toll among Palestinians in a massive Israeli air strike on the Gaza Strip has risen to 2,329, the Gaza Health Ministry said on Sunday, 15 October. Source...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Ukweli Kuhusu Wakazi Halisi wa Nchi Takatifu (the Holy Land)

    Kwanza kabisa niwakumbushe tu Watanzania wote kuwa tumehamia Dar es salaam (kwa mfano) lakini kiukweli tunachimbuko letu kikabila, ambako bado tunahaki ya kurudi na halifulani zikilazimisha tutarudi. Zama hizo kabla ya YESU kuzaliwa na miaka baada ya Yesu kuzaliwa Nchi takatifu ilikaliwa na...
  3. JamiiForums Tanzania Moja ya watu wa kuwa nao makini kuhusu mke wako ni dada zako

    Kama mwanaume ndio au miongoni mwa waliofanikiwa kwenye familia, usipokuwa makini utagombanishwa na mke wako. Dada zako watajifanya wana extra caring ya kumzidi mkeo + majungu kibao. Kuna muda ni wifu kuwa wao hawafanyiwi na waume zao unayomfanyia mke wako na wapo pia hawaoneshi caring kwa wae...
  4. JamiiForums Tanzania Mimi ni mkristo lia lia ila mambo anayoongea Mohamed said kabla ya uhuru yanafikirisha yasipuuzwe na yafanyiwe kazi

    Nimesoma mabandiko mengi ya mzee Mohamed Said kuhusiana na uhuru ni ukweli usiopingika historia ya Tanzania imechakuchuliwa sana ni fupi sana kitu ambacho kinaleta doubt. Sitaki kumlaumu Julius Kambarage Nyerere ila nachojua alikuwa mwerevu sana kuliko wenzake yaani wakati wapo kwenye harakati...
  5. P

    JamiiForums Tanzania Ukweli mtupu kuhusu Mafanikio

    Nimekuja na hii mada sababu nilikuwa najiuliza kwa nini wenye pesa siku zote huwa zinaongezeka zaidi ya wale ambao hawana na unakuta kila mtu anafanya kazi kwa bidii? Nikawaza labda kuna baadhi ya vitu tukiachaa itasaidia. Punguza Huruma Kuna baadhi ya watu huruma ndo zinazidi kukufanya...
  6. S

    JamiiForums Tanzania ONYO kwa akina dada wote kuhusu huduma ya kukuza makalio itakayoanza kutolewa Mloganzila

    Mloganzila wanajitangaza kwamba wanataka kuanza kukuza makalio. Lakini najiuliza, kwa utaalamu upi? Kwa umakini upi? Wa watu wapi? Hawa hawa wanaosahau mikasi tumboni mwa wagonjwa? Hawa hawa wanapasua kichwa badala ya mguu? Hawa hawa wanaomdunga ganzi nyingi kupitia kiasi (overdose) mama...
  7. JamiiForums Tanzania Marekani yaionya Iran kuhusu kinachoendelea Israel, inabidi Iran iendelee kukaa kimya

    Iran inapaswa iendelee kufyata mdomo na isiongee chochote huku mabomu yakishuka Palestina kama mvua. Kuna ripoti zimejitokeza kwamba hata Iran wameshtukizwa kwenye hili shambulio, inaonekana HAMAS hawakushirikisha mabwana zao wao wa kidini na ugaidi. =========== WASHINGTON — President Joe...
  8. JamiiForums Tanzania Niseme nini kuhusu ushindi wa Stories of Change?

    Kila kitu kilikuwa kama maigizo kabla ya kuona rasmi napokea muamala kama mnavyoona hapo juu. Sina la kusema zaidi ya kuwashukuru JamiiForums kwa kunipatia hela hii ambayo sitahitaji ushauri wa jinsi ya kuitumia. Nimefungua akaunti hii muda mrefu sana, nikawa napata vijisent vya hapa na pale...
  9. JamiiForums Tanzania Mtazamo wa Rais Samia kuhusu Mashirika ya Umma si sahihi

    Serikali ya Samia eti inatazama mashirika ya umma kama uwekezaji wa kibiashara ambapo serikali haistahili tena kuwekeza ila watu binafsi. Msimamo huo sio sahihi kwa sababu mashirika ya kibiashara ya umma yalikwisha binafsishwa yote tangu awamu ya Mkapa. Yale yaliyobakia ni yale ya kimkakati kwa...
  10. JamiiForums Tanzania Tunamshukuru Wema Sepetu Kujisifia kuwa sasa kaacha Kunywa Pombe, ila mkumbusheni hajatuambia kuhusu Bangi kama nayo kaiacha au hatoiacha Abadan?

    "Sijafanya Birthdays Parties zangu kwa miaka Mitano sasa ila hii ya mwaka huu nimeifanya ili Kusheherekea Kwangu kuacha kabisa Kunywa Pombe kwa miezi Tisa tokea Mwezi January 2023" amesema Mlimbwende wa zamani nchini Tanzania Wema Sepetu baada ya Kuongea na Waandishi wa Habari. Katika Pombe...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Nini kilibadalisha Msimamo wa Tanzania kuhusu Palestina!

    Salamu, Dunia inaenda kasi sana! Tulipokuwa wadogo tukifuatilia na kufundishwa harakati za ukombozi Afrika na dunia, tulijifunza (lau kidogo) uhuru na haki ya Wapelestina. Tulisoma kuhusu Yassir Arrafat na Palestine Liberation Army (PLO). Wakati huo, kama ilivyokuwa kwa POLISARIO cha Sahara...
  12. JamiiForums Tanzania Mnaotaka kujua ukweli kuhusu mzozo wa Israel na Palestina na yupi ni mkaidi piteni hapa

    Kuna wale waliodanganywa na wachonga hadithi kwamba Wayahudi hawakuwepo pale ila walikusanywa kutoka Ulaya na Mwaka 1947 wakapelekwa pale baada ya kukataa kupelekwa Uganda huu ndiyo wakati wa kuyaondoa matongotongo akilini. Nimewatufutieni clip hii kwa makusudi. Hii vielelezo vyake vyote vipo...
  13. JamiiForums Tanzania Hamis Mwinjuma (Mwana FA) hapo zamani aliwahi kutoa ushauri wake kuhusu hali ya Umeme

    Hizi ni tweet za Naibu Waziri wa Michezo, Hamis Mwinjuma enzi hizo kabla ya kuingia kwenye siasa. Aliwahi kutoa mawazo yake kuhusu umeme.
  14. K

    JamiiForums Tanzania Je, tuendelee kuamini Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini?

    Katika siku za karibuni tulipewa taarifa na Mamlaka ya Hewa kuwa kutakuwa na mvua ya el Nino na hivyo wananchi wachukue tahadhari zote kuhusiana na mvua hizi. Walitutahadharisha kuwa mvua hizi zingeanza mwanzoni mwa Oktoba mwaka huu. Leo ni tarehe 8 Oktoba, 2023 na kuna joto kali sana na...
  15. JamiiForums Tanzania Mitaala ya waarabu wa Saudi kuanza kufundisha kuhusu miungu ya wahindu na wabudha

    Hii ni hatua nzuri sana ya kuanza kuwapa elimu waarabu kuheshimu dini za watu wengine, waache dhana ya kulazimisha kila mtu ajiunge kuabudu katika wanachokiabudu. Muasisi wa dini yao kabla hajajifia aliacha maagizo wachinje kila asiyeamini mambo ya yake, na hiyo ndio imesababisha dunia ni mwendo...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Nini maoni yako kuhusu vita ya Palestina na Israel? Bado unaamini Israel ina intelijensia kubwa Duniani?

    Israel imehtukizwa na kupewa kichapo cha 5-1 ndani ya masaa 24. Inshort intelijensia yao haikungamua uwepo wa mashambulizi haya. Hata mataifa makubwa awakutegemea kusikia kilichotokea. Kwa kichapo kilichotokea maana yake Dunia haipo salama dhidi ya mashambulizi ya kulipiza kisasa. Ni ishara...
  17. JamiiForums Tanzania Fahamu Kuhusu Mchanganuo wa biashara

    Mchanganuo wa biashara ni hatua muhimu katika mchakato wa kuanzisha au kuendeleza biashara. Inahusisha uchambuzi wa kina wa mambo mbalimbali yanayohusiana na biashara yako, na inaweza kusaidia kutoa mwongozo wa kufanikiwa kwa biashara yako. Unaweza kuwa na mchanganuo wa biashara ambayo tayari ni...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Waraka kuhusu ujenzi wa “jumuiya ya binadamu yenye mustakabali wa pamoja” wahimiza ushirikiano na kunufaika kwa pamoja

    Serikali ya China imetoa waraka kuhusu ujenzi wa “jumuiya ya binadamu yenye mustakabali wa pamoja” miaka 10 baada ya Rais Xi Jinping wa China kutoa pendekezo hilo ambalo limefuatiliwa na wachambuzi wengi wa mambo ya kiuchumi na kidiplomasia. Kutolewa kwa waraka huu, kunachukuliwa kuwa ni...
  19. JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu jamii forum

    Nawasalimu wote Tafadhali naombeni msaada au ufafanuzi, leo tangu asubui jamii forum imegoma kufunguka kwangu Nimehangaika sana kuzima simu na kuwasha, ku unstall app na ku install upya jaribu kila kitu ikashindikana. Mida hii nikapata wazo la kutumia vpn naona imefunguka ni nini kinaendelea, ni...
  20. JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu Holding Company-Kampuni Hodhi

    Je wewe ni mfanya biashara ambaye unatakamani kujishughulisha na zaidi ya aina moja ya shughuli za kiuchumi?Kama jibu ni ndio basi holding Company-Kampuni hodhi ndio suluhu yako. Kampuni hodhi (Holding Company) ni aina ya muundo wa kampuni ambapo kampuni moja inamiliki hisa au ushiriki katika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…