Mitaala ya waarabu wa Saudi kuanza kufundisha kuhusu miungu ya wahindu na wabudha

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,663
48,440
Hii ni hatua nzuri sana ya kuanza kuwapa elimu waarabu kuheshimu dini za watu wengine, waache dhana ya kulazimisha kila mtu ajiunge kuabudu katika wanachokiabudu. Muasisi wa dini yao kabla hajajifia aliacha maagizo wachinje kila asiyeamini mambo ya yake, na hiyo ndio imesababisha dunia ni mwendo wa mabomu popote penye waumini wa hiyo dini yake.

Ni vizuri waarabu wameanza kustaarabika, sasa sijui kama waswahili ving'ang'anizi wa hiyo dini na wao wataamka na kukubali kuishi na binadamu wengine kwa amani.

====

Ramayana, Mahabharata to become part of Saudi Arabia's school curriculum​

In a series of reforms undertaken by Prince Mohammed bin Salman for Saudi Arabia, education has taken one of the top spots. Now a tweet about Prince Salman’s “Vision 2030” for the country has gone viral on social media.

Turns out, the country will inculcate information about Hinduism and Buddhism. This will include teaching students about Ramayana and Mahabharata.

A user on Twitter shared images of the test question for their son’s social studies exam, which included questions about the Hindu epics.

“Saudi Arabia’s new #vision2030 & curriculum will help to create a coexistent, moderate & tolerant generation. Screenshots of my son's school exam today in Social Studies included concepts & history of Hinduism, Buddhism, Ramayana, Karma, Mahabharata Dharma. I enjoyed helping him study,” the tweet read.

Screenshot 2023-12-10 230802.png

Wio News
 
Mdogo mdogo wataanza kutoka kule wanakoamini kuna mabikra 72 ukiua asiyeamini na kuja kwa Jehova Mungu wa ukweli. Tuwape muda tu na muda ndio utakaoamua.
 
Hii ni hatua nzuri sana ya kuanza kuwapa elimu waarabu kuheshimu dini za watu wengine, waache dhana ya kulazimisha kila mtu ajiunge kuabudu katika wanachokiabudu. Muasisi wa dini yao kabla hajajifia aliacha maagizo wachinje kila asiyeamini mambo ya yake, na hiyo ndio imesababisha dunia ni mwendo wa mabomu popote penye waumini wa hiyo dini yake.
Ni vizuri waarabu wameanza kustaarabika, sasa sijui kama waswahili ving'ang'anizi wa hiyo dini na wao wataamka na kukubali kuishi na binadamu wengine kwa amani................

Ramayana, Mahabharata to become part of Saudi Arabia's school curriculum​

In a series of reforms undertaken by Prince Mohammed bin Salman for Saudi Arabia, education has taken one of the top spots. Now a tweet about Prince Salman’s “Vision 2030” for the country has gone viral on social media.
Turns out, the country will inculcate information about Hinduism and Buddhism. This will include teaching students about Ramayana and Mahabharata.

A user on Twitter shared images of the test question for their son’s social studies exam, which included questions about the Hindu epics.
“Saudi Arabia’s new #vision2030 & curriculum will help to create a coexistent, moderate & tolerant generation. Screenshots of my son's school exam today in Social Studies included concepts & history of Hinduism, Buddhism,Ramayana, Karma, Mahabharata Dharma. I enjoyed helping him study,” the tweet read.

View: https://twitter.com/NoufMarwaai/status/1382694702852538379?ref_src=twsrc%5Etfw%7Ctwcamp%5Etweetembed%7Ctwterm%5E1382694702852538379%7Ctwgr%5E56504169a81b6cea84720dcb241f971796d46305%7Ctwcon%5Es1_&ref_url=https%3A%2F%2Fwww.wionews.com%2Fworld%2Framayana-mahabharata-to-become-part-of-saudi-arabias-school-curriculum-379774

FaizaFoxy unasemaje kuhusu hili?
Je MBS analijenga Taifa au analibomoa kwa upande wa kiutamaduni iliyozoeleka ya Uislamu?
 
Usiamini kila unachokiona kwenye mtandao.

Hizo ni porojo za hapa na pale.
 
Bibi dunia imekua kijiji kisa utandawazi, watu wanazidi kuona mwanga na kupata ilmu ya dunia, hizi sio zile enzi mlikua mnaaminishwa eti ilikua sahihi kwa mohammad kunyandua katoto ka miaka 9
 
Back
Top Bottom