Marekani yaionya Iran kuhusu kinachoendelea Israel, inabidi Iran iendelee kukaa kimya

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,654
48,432
Iran inapaswa iendelee kufyata mdomo na isiongee chochote huku mabomu yakishuka Palestina kama mvua.

Kuna ripoti zimejitokeza kwamba hata Iran wameshtukizwa kwenye hili shambulio, inaonekana HAMAS hawakushirikisha mabwana zao wao wa kidini na ugaidi.

===========

WASHINGTON — President Joe Biden said Wednesday he warned Iran to “be careful” in the wake of attacks by militant organization Hamas on Israel over the weekend.

After listing aid the U.S. is sending to Israel, and noting that a U.S. carrier fleet was moved to the area, Biden said he “made it clear to the Iranians: Be careful.”

U.S. intelligence showed Iranian leaders were surprised by Hamas’ attack on Israel, sources told NBC News, but the Biden administration has yet to make a definitive conclusion. White House National Security Advisor Jake Sullivan said Tuesday that Iran was “complicit” in the attack because it has backed Hamas for decades.

The president made his remarks Wednesday at a roundtable of Jewish leaders at the White House. The event on antisemitism was scheduled before the attacks took place but took on a different tone in its wake.

Biden said he spoke with Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu again Wednesday morning. During the call, he stressed that Israel must “operate by the rules of war.”

“I’ve known Bibi for over 40 years. We have a very frank relationship. I know him well,” Biden said. “And the one thing I did say is that it is really important that Israel, in all the anger and frustration that exists, operate by the rules of war. And there are rules.”

Biden said he believes the Israeli government is “doing everything in its power to pull the country together” and that the U.S. is doing everything in its power to ensure Israel succeeds.

The president called the attacks “a campaign of pure cruelty.”

CNBC
 
Kuna uwezekano mkubwa kwa hii vita kusambaa zaidi katika maeneo ya mashariki ya kati, dalili zinaonyesha ndani ya wiki kadhaa Israel huenda ikaanza kushambulia mpaka mataifa rafiki ya Palestina yanayohisiwa kufadhili kikundi cha Hamas na Hezbulah.
Huko Lebanon kwa hizbullah nyege za kupigana nao Hana mzee
 
Hamas wamezingua sana, Gaza inageuka magofu kwa upumbavu wa genge moja la wahuni walioamua kujitafuta bila kuhesabu gharama za madhara kwa jamii zao.
Kila siku maghorofa ya palestina yanaporomoshwa,we ndo unaona Leo!!
 
Kuna uwezekano mkubwa kwa hii vita kusambaa zaidi katika maeneo ya mashariki ya kati, dalili zinaonyesha ndani ya wiki kadhaa Israel huenda ikaanza kushambulia mpaka mataifa rafiki ya Palestina yanayohisiwa kufadhili kikundi cha Hamas na Hezbulah.
Huu mzigo mrefu,anasubiriwa tu Israel aingize hao askari wa miguu huko Gaza warudishe maiti
 
Marekani ni kelele tu kama.Israel hajawahi ingia vita yoyote peke yake hebu nipeni wapi Israel na US walingia vita peke yao bila msada.

Iran ndio kabisa hamuogopi America

Iran mchovu sanaaaa technology Yao kwnza kama ya zambia tu hatokuja amuweze +1 Iran watabakia kupiga takbir
 
Huna exposure ya multipolar world,thus why unaongea kama uko kilingeni,hollywood achana nazo

Yani ungekua unaelewa ulichoniandikia ungejutia hata kutype huu upuuzi
NB: marekani ndo itabaki kua with the dominant world power, with it’s economic, financial and cultural influence then nadhan unajua its defense budget
 
Yani ungekua unaelewa ulichoniandikia ungejutia hata kutype huu upuuzi
NB: marekani ndo itabaki kua with the dominant world power, with it’s economic, financial and cultural influence then nadhan unajua its defense budget
Ndio maana nakuambia huna exposure ya dunia,sasa ivi dunia imebalance achana na hollywood na western media ,hizo ni propaganda machine,we unadhani kwa akili yako iran ikiingilia huo mgogoro US atafanya nini🤣🤣,geopolitics ni muhimu mno
 
Ndio maana nakuambia huna exposure ya dunia,sasa ivi dunia imebalance achana na hollywood na western media ,hizo ni propaganda machine,we unadhani kwa akili yako iran ikiingilia huo mgogoro US atafanya nini,geopolitics ni muhimu mno

Mr exposure
Kwann iran isiingilie mpka sasa??
Ndo maana nakuambia acha drama dunia haijawai na haitokuja kuwahi kubalance lazma kuwe na principal na subsidiary
 
Back
Top Bottom