Nimekuja na hii mada sababu nilikuwa najiuliza kwa nini wenye pesa siku zote huwa zinaongezeka zaidi ya wale ambao hawana na unakuta kila mtu anafanya kazi kwa bidii? Nikawaza labda kuna baadhi ya vitu tukiachaa itasaidia.
Punguza Huruma
Kuna baadhi ya watu huruma ndo zinazidi kukufanya ushindwee kufikia malengo yako. Mfano mdogo tu jiulizee asilimia kubwa ya kipato huwa kinaishia wapi? unatuma nyumbani, bado mwenzi wako kila siku anakuomba hela, mara marafiki zako wanakukopa pasipo kurudisha unajua kabisa haitorudi ila tu ili kujionesha una hela unampa.
Ishi maisha yako
Kuna baadhi ya yetu kuishi maisha kiuhalisia ni ngumu sana hivyo unajikuta unaingia kwenye gharama zisizo na msingi kwa muda husika.
Punguza kujitangaza sana hatua zako
Najua sasa hivi tunaishi katika dunia ya kijigitali ila hatuna budi kuchagua baadhi ya mambo ya kuwaonesha watu mitandaoni. Sababu kuna baadhi ya watu wanaweza wakawa ndio sababu ya katika kukuharibia vyanzo vyako vya mapato.
Punguza marafiki na sifa
Sio kwamba marafiki ni watu wabaya hapana kuwa na marafiki wenye faida zaidi. Kwa mfano ulio hai kabisa, kuna mtu mmoja aliwahi kubeti akapata dau kubwa sana sana, baada ya kupata kiasi kile akawa kila wakitoka na wenzie anawanunulia pombe mpaka hela ile ikaisha wakati kwa muda husika yule mtu nyumba yake haina hata dirisha moja'. Laiti anagekuwa na rafiki wa faida labda angemshtua!
Kumbuka wenye pesa siku zote huwa wana roho zao ngumu tuu ukijaribu kuchunguzaa na ndio maana wanazidi kufanikiwa. Sijamaanisha roho mbaya ya kuua au kumdhulumu mwingine hapana! Namanisha roho ya kusema hapana au ndio panapo stahili.
Hitimisho
Kweye vipato vyetu tunavyopata tujitahidi kuiishi na uhalisia uliopo halijalishi ni hela ulizopata kwenye kubeti, biashara au mshahara.