Hatimaye Mke wa Sugu afunguka kuhusu kufuta picha ya Sasha baada ya povu la Faiza

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,302
5,441
Haya hapa majibu ya Happiness ambaye ni mke wa Joseph Mbilinyi 'Sugu'

"Binti yangu, hii ilikuwa nipost siku ya birthday yako 26/09! Lakini naona mbali 😃 Hapo nilitoka kukuvalisha hivyo vihereni vya gold nilizokupa zawadi kwa kutimiza miaka 3 mwaka 2015.

😃Nikikuona hapo nawaona wadogo zako Shawn na Freeman, kwa niaba yao tunakupenda sana dada Sasha na nitahakikisha kaka zako wanakupa ulinzi maana ni jukumu lao kwa dada yao! Hii picha na zingine utazikuta kwenye fremu nyumbani Mbeya my daughter! ❤️❤️❤️❤️," - Happiness Mbilinyi.

Mke wa Sugu.jpg
 
Back
Top Bottom