CAF inashindwa nini kufuta goli la ugenini?

Dr Msweden

JF-Expert Member
Nov 3, 2020
2,632
9,445
Kwanini wasifanye kama UEFA kufuta goli la ugenini? Hii inakuwa siyo sawa kabisa👇👇
Screenshot_20221015-222329.png
Screenshot_20221015-222255.png

Screenshot_20221015-223155.png

Esperance na Al Merreikh wamefuzu kwa goli la ugenini lisilo na maana yoyote.
 
Hapo kwa El merrik sijaelewa kabxa...kwamba ugeni alishnda moja au mbil?
 
Kwanini wasifanye kama UEFA kufuta goli la ugenini? Hii inakuwa siyo sawa kabisa👇👇View attachment 2388373View attachment 2388375
View attachment 2388387
Esperance na Al Merreikh wamefuzu kwa goli la ugenini lisilo na maana yoyote.

Wazungu wana msemo wao;
If you are going to play the game, You have to learn how to play it right.

Yaani kwa kifupi ni kwamba CHEZA MCHEZO KWA KANUNI ZILIZOPO. (Uelewe mchezo).

Timu nzuri zinatumia kanuni zilizopo kujinufaisha, wasio wazuri wanatumia muda wao kuzilalamikia kanuni.
 
Nikikumbuka uefa timu zilivokuwa zinatolewa hii sheria ilisababisha atletico Madrid kufika final mbili za uefa
Kuna ubaya gani kwa Atletico kufika fainali mbili kama alicheza michezo yake kwa mujibu wa kanuni zilizopo wakati huko ?

Kama unataka kucheza, uelewe mchezo kwanza. Ndio kitu alifanya Atletico.

Cheza mchezo kwa kanuni zilizopo. Simple.
 
Wazungu wana msemo wao;
If you are going to play the game, You have to learn how to play it right.

Yaani kwa kifupi ni kwamba CHEZA MCHEZO KWA KANUNI ZILIZOPO. (Uelewe mchezo).

Timu nzuri zinatumia kanuni zilizopo kujinufaisha, wasio wazuri wanatumia muda wao kuzilalamikia kanuni.
Unajua sababu iliyopelekea uefa kufuta goli la ugenini?
Madrid, Barcelona,man u etc..hao walikuwa sio wazuri wanalalamika?
 
Unajua sababu iliyopelekea uefa kufuta goli la ugenini?
Madrid, Barcelona,man u etc..hao walikuwa sio wazuri wanalalamika?
Uliowataja kama walikua wanashindwa kunufaika na kanuni zilizokuwepo kwa wakati huo, basi hawakua wazuri.

Sijui wala sijali kwanini UEFA wameondoa kanuni hiyo, ilq ninachoeleza ni kwamba, unatakiwa kujifunza kunufaika na kanuni zilizopo katika mchezo wowote ule.

Turudi kwenye mada yako, ni yapi manufaa yatakayopatikana kwa CAF kufuta goli la ugenini ?
 
Back
Top Bottom