kufunga

  1. JamiiForums Tanzania Nataka kufunga satellite dish mwenyewe

    Ninataka kufungu satellite dish mwenyewe. Ni la kampuni ya Zuku. Ninaomba muongozo nilielekezee upande gani ili nipate signal na pia step by step jinsi ya kusearch chaneli
  2. D

    JamiiForums Tanzania Kuliko kufunga wasiojulikana; Serikali ingefunga na wale wasanii wanaotongoza wanafunzi ili fundisho lifike kwa jamii

    Huko vijijini kuna kesi za masikini kuwarubuni watoto wa shule kingono na huamuliwa ili iwe fundisho kwa jamii. Huko vijijini kuna kesi za walimu kuwatongoza wanafunzi kwa tuhuma ya kuwakonyeza au kuchat nao tu na huamuliwa jera ili fundisho kwa jamii. Je, Serikali haioni kuwa kuna umhimu wa...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa wanaotaka kufunga na kufungisha ndoa

    Wadau habari ya muda huu. Nimetafakari sana juu ya madhara ya watu wanaotaka kuona kwa kupimwa HIV_muda kidogotu nakupewa kibali cha kufungishwa ndoa Kwangu naona jambo hili halijakaa sawa. Bado mtu anaweza akamuambukiza mwenza wake kutokana na kupimwa HIV kwa mwendo waharaka. Pia madaktari...
  4. JamiiForums Tanzania Tetesi: Ugumu wa Maisha Tanzania wasababisha AAR kufunga ofisi zake Tanzania

    Hii ndio taarifa mpya inayozunguka mitandaoni kwa sasa kwamba ile Taasisi inayotoa huduma bora za afya imeamua kusitisha huduma zake nchini Tanzania kutokana na anguko la biashara na uchumi. Tuendelee kutega sikio kwa taarifa zaidi.
  5. U

    JamiiForums Tanzania Serengeti: Adaiwa kumuua mumewe siku 14 baada ya kufunga ndoa, kisa si chaguo lake

    Happy Nyasumo (18) mkazi wa Wilaya ya Serengeti amemuua mumewe, Bebe Mbogo (26) kwa madai kuwa hampendi na hakuwa chaguo lake zikiwa zimepita siku 14 tangu walipofunga ndoa. Akizungumza na Mwananchi Digital leo Alhamisi Aprili 14, 2021 mkuu wa Wilaya ya Serengeti, Nurdin Babu amesema tukio...
  6. JamiiForums Tanzania Je, mwenye dread anaruhusiwa kufunga Ramadhani?

    Wakuu habari zenu poleni na kazi mimi ni kijana wa Kiislam ila nimefuga nywele maana yake na dread kichwani sasa kwa wale ambao wanajua je wenye dread wanaruhusiwa kufunga? Naombeni mnijuze nimeuliza watu kadhaa wameniambia haifai yaani nikifunga na hizi nywele kichwani nitakuwa nakaa na njaa...
  7. JamiiForums Tanzania Dar na Dodoma: Wafanyabiashara walazimishwa kufunga maduka sababu ya msiba wa Hayati Magufuli

    Katika karne hii 21 taifa linaendeshwa kama enzi za ujima. watu wote tunalazimishwa kufikiri sawa, yaani wanataka woote tuhuzunike. Hii si sawa. watu woote hawa wamefika makazini hawajui cha kufanya baada ya kufika kazini na kuamlishwa kutawanyika. nakulilia Tanzania yangu.
  8. JamiiForums Tanzania Waziri wa Biashara na Viwanda, Godfey Mwambe apiga marufuku taasisi zilizo chini ya Wizara yake kufunga biashara za watu kwa kisingizio chochote

    Kwenye taarifa ya habari ITV leo ya saa mbili nimemsikia Waziri wa Biashara na Viwanda, Godfey Mwambe amepiga marufuku taasisi zilizo chini ya wizara yake kufunga biashara za watu kwa kisingizio chochote ahimiza majadiliano badala ya funga funga. Amesema asisikie. Huo ni uhujumu uchumi TRA na...
  9. O

    JamiiForums Tanzania Kujengea tanki la maji juu vs kufunga pressure pump. Tubadilishane mawazo

    Linapokuja suala la kilimo cha umwagiliaji, kuna mbinu nyingi hutumika. Leo naomba kushea nanyi drip irrigation. Sasa ili maji yasambae shambani yanatakiwa yawe na pressure nziri. Watu wengine hujengea tanki juuu ambapo maji hupandishwa kutoka chanzo husika hadi kwenye tanki ndipo yashuke kwa...
  10. JamiiForums Tanzania Wimbi la Wafanyabiashara kufunga maduka yao kwa sababu ya kutofautiana na Serikali lashika kasi

    Ilianza Songea na sasa ni Mafinga Kesho ni wapi ?
  11. T

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua gharama za ujenzi wa vyumba viwili kuanzia msingi mpaka kufunga mkanda juu

    Habari wanandugu, kwa mafundi naomba kujua gharama zao za ujenzi wa vyumba viwili kuanzia msingi mpaka kufunga mkanda juu.
  12. JamiiForums Tanzania Warembo wangu, upo tayari kufunga ndoa bila sherehe?

    Wote tunafahamu kuwa suala la ndoa ni jambo la heshima na baraka katika misingi ya kijamii na kiimani. Swala la kufanya ndoa kama sherehe kubwa liko katika maamuzi na mapenzi ya wanandoa wenyewe japo linaweza chagizwa na wazazi ama walezi pia. Leo nataka nipate tathmini kutoka kwa wachumba...
  13. JamiiForums Tanzania Kwa Askofu Kakobe - Baada ya kufunga ndoa, maharusi wapanda daladala na pikipiki kwenda makwao

    Ilikuwa siku ya Ijumaa 19.2.2021, ni siku nyingine ya kukumbukwa, katika Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship (FGBF), Dar-Es-Salaam, lililoko Barabara ya Sam Nujoma; pale ambapo jumla ya wahusika 84 waliposhiriki katika kufungwa kwa Ndoa 21, zilizofungwa kwa pamoja katika Ibada ya Ndoa...
  14. JamiiForums Tanzania Je, huu ni wakati sahihi wa Rais Magufuli kufunga balozi za mabeberu, tubaki na balozi tu ambazo sio za kibeberu?

    Hoja yangu nimeiweka kwenye namna ya swali ili tuweze kupata majibu sahihi, na tuangalie vyema hali yetu ya kiusalama kiuchumi, kijamii na kisiasa pia. Vita ya kiuchumi imepamba sana Moto, maadui wetu wanatumia mbinu mbalimbali ili watufute kwenye sura ya dunia. Shirika kubwa la afya la...
  15. JamiiForums Tanzania Burundi yatangaza kufunga mipaka yake kuanzia kesho kutokana na Covid 19

    Serikali ya Burundi imetangaza kuwa itafunga mipaka yake ya majini na ardhini kuanzia Jumatatu ijayo, ili kudhibiti maambukizi ya virusi vya corona ambayo yameonekana kuongezeka wiki hii. Hatua hii imekua, baada ya wiki hii watu zaidi ya 40 kuambukizwa virusi hivyo ndani ya siku mbili katika...
  16. JamiiForums Tanzania Vifungashio vya plastiki visivyo na nembo ya TBS visitumike kuanzia leo

    BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), limesema vifungashio vinavyotokana na malighafi ya plastiki na ambavyo havina nembo ya Shirika la Viwango (TBS), haviruhuwi kutumika kuanzia leo. Jana, Kaimu Meneja wa NEMC Kanda ya Kaskazini, Nancy Nyenga, aliiambia Nipashe kwamba...
  17. JamiiForums Tanzania TRAFFIC ENGINEERING: Ni vigezo gani huzingatiwa katika kufanya maamuzi ya kufunga "traffic lights" au kuweka "roundabout" kwenye makutano ya barabara?

    Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa hapa jamiiforums. Ndugu zangu watanzania (Traffic Engineers) eti; Ni vigezo gani vya kitaalam huzingatiwa na engineers katika kufanya maamuzi ya kufunga "traffic lights" au kuweka "roundabout" kwenye makutano ya barabara za mijini? (1) Kama...
  18. E

    JamiiForums Tanzania Kabla ya kufunga mwaka, kwa anaejua huyu msanii aliko anijuze

    Ni msanii mtukutu . Alipotea ghafra. Hatujui aliko. Ni Godfrat Tumaini a.k.a konk master DUDU BAYA. Nawasirisha tafadhari. 2020/2021
  19. JamiiForums Tanzania Ipo haja ya Hotuba ya Rais kabla ya kufunga mwaka 2020

    Heri ya Sikukuu ya Krismasi ndugu zangu? Naona ipo haja ya kuwa na hotuba ya Rais kwa Taifa kabla ya kufunga mwaka 2020. Hata akitoa Salamu za Mwaka Mpya nayo sio mbaya. Hii itamuwezesha kufanya mambo makubwa mawili; 1. Kuwashukuru wananchi kwa kumchagua kwa awamu ya pili ( najua ameshafanya...
  20. JamiiForums Tanzania Marekani kufunga balozi zake 2 zilizopo Urusi kwa sababu za kiusalama

    Marekani inapanga kuzifunga ofisi mbili za ubalozi mdogo nchini Urusi kwa sababu ya masuala ya usalama na ulinzi. Wizara ya mambo ya nchi za nje ya Marekani imesema ubalozi mdogo kwenye mji wa Vladivostok na mwingine kwenye mji wa Yekaterinburg ndiyo zitafungwa baada ya mashauriano na balozi wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…