Nataka kufunga satellite dish mwenyewe

EvilSpirit

JF-Expert Member
Jun 15, 2017
5,591
2,000
Ninataka kufungu satellite dish mwenyewe. Ni la kampuni ya Zuku. Ninaomba muongozo nilielekezee upande gani ili nipate signal na pia step by step jinsi ya kusearch chaneli
 

Rodwell mTZ

JF-Expert Member
Nov 16, 2012
371
500
Ingia google, andika "How to install a Zuku satellite dish yourself" maelezo yatakuwa kwa lugha ya kiingereza, kama lugha hiyo ni mwiba kwako basi sorry.
 

EvilSpirit

JF-Expert Member
Jun 15, 2017
5,591
2,000
Google "how to install a Zuku satellite dish" the instructions will be in english, if you are not familiar with the language Iam sorry. Sorry for what?
 

Times9

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
2,170
2,000
Ingia google,andika "How to install a Zuku satellite dish yourself" maelezo yatakuwa kwa lugha ya kiingereza,kama lugha hiyo ni mwiba kwako basi sorry .
Si tulikubaliana kuna ile Google Translator tutakua tunatumia sisi tusijua kiingereza, au kuna mabadiliko tena..?!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom