Kesi namba 16 ya mwaka 2022 iliyofunguliwa Mahakama Kuu na Wabunge 19 wa viti maalum wa CHADEMA kupinga uamuzi wa kuwavua uanachama na mwenendo mzima wa maamuzi yaliyofanyika dhidi ya Baraza la Wadhamini CHADEMA, tume ya Taifa ya Uchaguzi na Mwanasheria Mkuu wa Serikali inaendelea Mahakama Kuu...
Watu kumi na tisa ni wengi mno kwa wote kushikamana na kuwa wamoja baada ya mambo kuharibika, hivyo wako baadhi yao wataonza kutoa siri na hata wengine kuomba radhi unless wataenda mahakamani.
Sakata hili ndio kwanza linaanza na tujiandae kusikia mengi yakiwemo ya kushangaza.
Tusubiri.
Haya waliokuwa wanasema kufukuzwa kwa Wamasai ni kwa ajili ya kutunza Hifadhi wako wapi? Kwa mujibu wa Gazeti la Mzungu wenu The Guardian sababu ya kuwaondoa Wamasai kwa nguvu ni kupisha Mwarabu wa Dubai kuwinda Wanyama.
Magu (RIP) angekuwepo isingewezekana, angewatetea lazima!
-----
Thousands...
Waswahili walisema akufukuzaye hakwambii toka. Steve Mguto hadi unatungiwa nyimbo, ni wakati wako wa kujitafakari na safari ya carrier yako katika club ya Coastal Union hapo katika jiji la Tanga.
Inasemekana bodi ya klabu ya Manchester United imeridhia maamuzi ya kumfukuza kazi Ole Gunnar Solskjær. Maamuzi hayo yanakuja kutokana na muenendo usioridhisha katika msimu wa mwaka 2021/22. Hatua hiyo imechukuliwa baada ya klabu hiyo kupokea kichapo cha magoli 4 kwa 1 dhidi ya Watford...
Inasikitisha sana kuona Mtanzania mwenzio anabaguliwa kwamba yeye hafai kukaa mjini akakae huko mbali ajifiche na mjini ni kwa watu wenye uwezo fulani halafu wewe unafurahia eti sababu haikuhusu, imeniuma sana.
Viongozi acheni ulimbukeni hata Ulaya machinga wapo. Pia katika hao machinga wengine...
Marekani imechanja zaidi ya 50% ya watu wake ambao wanastahili kuchanjwa lakini karibu watu milioni 100 wenye sifa ya kuchanja wamegoma kuchanja ama hawajachanja hadi sasa.
Kutokana na covid, makampuni mengi ama taasisi nyingi zinahimiza ama kulazimisha wafanyakazi wao kuchanjwa na mengine...
Haji huyuhuyu anaelalamikia uongozi wa Simba, alikuwa analipwa 700k bila vyeti
Manara huyuhuyu ambaye kabla ya Simba hakuwa maarufu shida zake kubwa zilitatuliwa na MO kifedha kama kijana wake
Manara huyuhuyu aliwahi kumtusi maneno mazito na kumdharau CEO wa Simba kwasababu za uanamke wake...
The man ni Game Changer. Anajiamini sana hasa anaposimamia anachoamini.
Natamani iwe leo; natamani iwe kesho Gwajima afukuzwe CCM. Anampinga Rais ambaye kaamua kubadilisha uelekeo.
Gwajima bado amekaza shingo yake hataki kugeuka nyuma kubadili uelekeo. Amekaza shingo na anakazana kuelekea...
Wanajamvi, natumai mnaendelea salama na mapambano ya kila siku. Leo nimekutana na rafiki yangu ambaye alikuwa ni mfanyakazi katika taasisi moja ya serikali. Akaja akapata changamoto kazini akasimamishwa kazi kupisha uchunguzi huku ishu yao ikipelekwa polisi kwa uchunguzi zaidi.
Cha kushangaza...
Ameandika hivi kupitia mtandao wa Twitter:
Mh. Rais umekosea & umevunja sheria: DPP Biswalo Mganga alitesa watu wasio & hatia kwa mashtaka ya uongo ya uhujumu uchumi & utakatishaji fedha. Wengi wanaozea magerezani kwa sababu yake. Alistahili kufukuzwa kazi chini ya Sheria hii; sio kupewa hadhi...
Wakati mwingine inabidi kubadili mbinu za Usaliti ili kuendelea kutafuna hela za ccm na za umma , Mipango ya Mwendazake kwa Covid 19 ni kama imeondoka naye , Ule ulinzi waliokuwa wanapewa na Msigina Katiba aliyekwenda haupo tena , mipango ya kuwaengua kwa aibu imekamilika .
Ili kuepuka jambo...
Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema walieleka barua rasmi kulitaarifu bunge kuhusu kufukuzwa uanachama kwa wabunge 19 walioteuliwa kuwa wabunge wa viti maalum katika bunge la 12
Mnyika ametoa ushahidi huo leo, baada ya Naibu Spika wa bunge kusema kuwa hawana taarifa ya wabunge kufukuzwa...
Habari zenu wakuu,
Mimi ni mwalimu idara ya sekondari katika mkoa wa Mara. Niliwahi kuugua ugonjwa wa tumbo kujaa na kuvimba ambao kule Mara ni maarufu kwa jina la passport size huwa inatokana na kulogwa.
Nilihangaika kutafuta uponyaji wake kwa njia ya hospitali hali ikawa sivyo hadi...
Wana Jf,
Nawaonea huruma sana MaDC kwa kuishi kimashaka kama ikitokea kwao baa la njaa likawakumba, pengine ni kutokana na jiographia kuwa wananchi wazazi wao walipopachagua kuishi na kupaita kwao ni full ukame na wanaishi hapo kwa kutangatanga kufuatia urithi walioukuta. Wengine...
Hii habari ineanza kutrend huko mitandaoni, Lampard huenda akaoneshwa mlango wa kutokea pale Stamford Bridge muda wowote kuanzia leo.
Iwapo atatimuliwa kazi, kocha gani ungependa aje arithi mikoba ya Super Frank?
=====
Chelsea have sacked Frank Lampard, with the former Borussia Dortmund and...
ALERT
CCM wamemuandalia Halima Mdee press conference kesho na ajenda ni kama ifuatavyo:-
Kuwa alipewa baraka zote na Mbowe kwenda kuapishwa na wenzake covid 19
Aliruhusiwa na Mbowe aandae list na iende NEC
Atasema Mbowe alikuwa analazimisha mademu zake wawekwe na yeye akakataa ndiyo maana...
Swala la kocha Eymail Lina harufu ya figisu na mizengwe kwani CV ya Eymail haioneshi kuwa sifa anazodaiwa kufukuzwa nazo kazi Yanga. Kama angekuwa mbaguzi Yanga na GSM wangeigundua kabla ya kumpa kibarua.
Mara nyingi mtu akutenda kosa lazima yaangaliwe mazingira yakiyosababisha kosa na dhamira...
NA AnonymousAfrica #Twitreporter
Nimeandika hii, kwaajili ya kuwapatia watu picha kamili kwa lengo la kukujuza / kuelimisha / Kwa wengine ni burudani pia. Sina lengo la kuchonganisha, wala kubagua
Kuuliwa kwa Malcolm X
Mnamo Februari 21, 1965, Malcolm X aliuawa wakati akitoa hotuba katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.