kufukuzwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G Sam

    Tetesi: CCM si wamoja, hamna siri. Kumbe kamati kuu yenu iligawanyika pakubwa kuhusu sakata la kufukuzwa Membe?

    Kati ya wajumbe wote wa kamati kuu ni watu watatu tu pamoja na msemaji wao ndiyo waliounga mkono Membe kufukuzwa. Hata aliyeongoza Tume ya Maadili, yaani Mzee Philip Mangula alipinga Membe kuvuliwa uanachama wa chama hicho, imedokezwa. Wajumbe wengi walipendekeza Benard Membe kufungiwa kufanya...
  2. jd41

    Kufukuzwa Membe CCM: Hakika siasa ni Mchezo kama ilivyo Karata na Draft

    Wanabodi Salaam. Ikiwa taarifa za kufukuzwa uanachama wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu. Bernard Camilius Membe zikiwa bado zinatikisa mimbari ya siasa Tanzania, nimejikuta ninakumbuka matukio machache kabla ya uchaguzi mkuu uliopita mwaka 2015. Ikumbukwe wakati ule mgombea aliekuwa anapewa nafasi...
  3. Roving Journalist

    CCM yamfukuza uanachama Bernard Membe, Kinana apewa karipio kali huku Makamba akitoka salama

    Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi, Humphrey Polepole amesema kuwa Membe aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje ya Tanzania amefukuzwa ndani ya chama hicho Amesema uamuzi huo umekuja baada ya taarifa zake ndani ya chama kuonesha mwenendo wake kutoka mwaka 2014 kuwa amewahi kupata...
  4. R

    Rais Magufuli jitahidi uache uvunjaji wa sheria! Let justice take its natural course!

    Inawezekana kweli ametenda kosa kuchana Qurani, amewaudhi wengine, Lakini 1. Kuna taratibu tumejiwekea za kushughulka na watu kama hao wanaoamsha hasira za wengine! Uliapa kulinda katiba na sheria zitokanazo na katiba hiyo. Kunatartibu! Wewe huna mamlaka ya kisheria kumwajibisha. Mihemko ya...
  5. MAFILILI

    Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Isaya Mwita Meya anyang’anywa gari, ofisi yafungwa. Adai kuwa yeye bado ni Meya halali

    Meya Jiji la Dar es Salaam, nchini Tanzania Isaya Mwita amejikuta njia panda baada ya kunyang’anywa gari alilokuwa akilitumia ambalo linamilikiwa na halmashauri hiyo muda mchache baada ya uamuzi wa mkutano mkuu kutoa uamuzi dhidi ya tuhuma dhidi yake. Mkutano huo umefanyika leo Alhamisi...
  6. babu M

    Meneja wa Arsenal, Unai Emery amefukuzwa kazi baada ya miezi 18 na timu hiyo

    Kazi ya Unai Emery kama meneja wa Arsenal imefikia kikomo, ikiwa ni miezi 18 tu tangu kuchukuwa mikoba hiyo kama mrithi wa Arsene Wenger. Kuondoka kwa Mhispania huyo kumehibitishwa Ijumaa, ikiwa Arsenal ipo katika nafasi ya nane katika jedwali la Ligi Kuu. Freddie Ljungberg amewekwa kama meneja...
  7. okoyoko

    Tuliowahi kufukuzwa kwa watu/kwa ndugu tukumbushiane ilikuwaje

    Hello guys, Hapo zamani kabla sijaijua dunia vizuri, nlikuwa napenda sana kukaa kwa ndugu kipindi cha likizo (shule zikifungwa) au kwenye familia ya marafiki zangu..nlikuwa nkijihis comfortable na happy kabisa kukaa kwa watu Mtazamo wangu kuhusu kukaa kwa watu ulibadilika baada ya mm...
Back
Top Bottom