Frank Lampard asitishiwa mkataba kuendelea kukinoa kikosi cha Chelesea, Tuchel atajwa kuja kuziba nafasi yake

FORTALEZA

JF-Expert Member
Jan 1, 2017
5,988
2,000
Hii habari ineanza kutrend huko mitandaoni, Lampard huenda akaoneshwa mlango wa kutokea pale Stamford Bridge muda wowote kuanzia leo.

Iwapo atatimuliwa kazi, kocha gani ungependa aje arithi mikoba ya Super Frank?

=====

Chelsea have sacked Frank Lampard, with the former Borussia Dortmund and PSG manager Thomas Tuchel set to replace the former Chelsea player at Stamford Bridge.

Lampard was appointed as manager in July 2019 and spent more than £200m last summer on players including Timo Werner and Kai Havertz. His spell, however, came to an end after a disappointing run of results left them off the pace in the fight to qualify for the Champions League.

Chelsea said in a statement: “This has been a very difficult decision, and not one that the owner and the board have taken lightly. We are grateful to Frank for what he has achieved in his time as head coach of the club. However, recent results and performances have not met the club’s expectations, leaving the club mid-table without any clear path to sustained improvement.

“There can never be a good time to part ways with a club legend such as Frank, but after lengthy deliberation and consideration it was decided a change is needed now to give the club time to improve performances and results this season.”

A 14-game unbeaten run across two months from early October prompted talk of a title challenge but Chelsea’s fortunes have dipped markedly and a 2-0 defeat at Leicester on Tuesday was fresh evidence of their inability to beat the Premier League’s most accomplished sides.

Chelsea beat Luton 3-1 in the FA Cup fourth round on Sunday but it was not enough to save Lampard’s job with qualification for the Champions League a key priority. Chelsea are ninth in the league, five points behind fourth-placed Liverpool. Defeats by Arsenal on Boxing Day and Manchester City on 3 January led to serious doubts over Lampard’s future and the owner, Roman Abramovich, has now decided to act.

The Chelsea owner, Roman Abramovich, said: “This was a very difficult decision for the club, not least because I have an excellent personal relationship with Frank and I have the utmost respect for him. He is a man of great integrity and has the highest of work ethics. However, under current circumstances we believe it is best to change managers.

“On behalf of everyone at the club, the board and personally, I would like to thank Frank for his work as head coach and wish him every success in the future. He is an important icon of this great club and his status here remains undiminished. He will always be warmly welcomed back at Stamford Bridge.”

Tuchel, meanwhile, was sacked by PSG on 24 December after two-and-a-half seasons in charge, winning the league twice and taking the team to the 2020 Champions League final, where they lost 1-0 to Bayern Munich. Before that he managed Borussia Dortmund for two seasons, winning the Germany Cup in 2017, three days before being sacked after falling out with the board.
 

usser

JF-Expert Member
Sep 25, 2015
12,196
2,000
Hii habari ineanza kutrend huko mitandaoni, Lampard huenda akaoneshwa mlango wa kutokea pale Stamford Bridge muda wowote kuanzia leo.

Iwapo atatimuliwa kazi, kocha gani ungependa aje arithi mikoba ya Super Frank?
Wamchukue yule alietimuliwa paris juzi
 

Cvez

JF-Expert Member
May 19, 2018
1,630
2,000
Wakavunje mkataba wa Cedric Kaze pale Utopoloni kisha wamchukue.
 

Castr

JF-Expert Member
Apr 5, 2014
21,168
2,000
Lampard alishine na Chelsea ambayo ilifungiwa usajili kwanini sasa hivi aonekane kiazi?

Chelsea ilipofungiwa kusajili hakuna aliyetarajia makubwa. Kila mtu alikua tayari kwa lolote isipokua kushuka daraja. Msimu unaisha yuko ndani ya top four, mashabiki walitarajia timu izidi kushine as msimu huu na usajili wa nguvu wameufanya.

Turns out too much expectations zinampa stress Frank na siyo mzuri kufanya kazi akiwa stressed unlike alivyoclaim wiki moja nyuma. Usajili wa wachezaji 6 na wote wanaonekana flops timu inacheza hovyo.

Hata hivyo kumuacha Frank na kumrukia Tuchel itakua komedi ya mwaka. Ligi aliyotoka, kikosi alichokua nacho na yaliyotokea ni vitu viwili tofauti.

Mimi naamini Frank anajua, ila anahitaji kujua kua kuna formation zaidi ya 4 3 3 (somo limfikie Klopp pia) ajue Werner anahitaji kua na mwenzie kule mbele na Kai anatakiwa awe nyuma ya hawa wawili.
 

ChickMagnet

JF-Expert Member
Jul 19, 2013
1,938
2,000
Kweli kuwa mchezaji mzuri haimaanishi utakua kocha mzuri aisee

Lampard (angalau kajitaidi taidi)
Gary Neville
Maradona RIP
Thierry Henry
Roy Keane
Ole Guna nae naona anatapatapa
 

Shark

JF-Expert Member
Jan 25, 2010
27,048
2,000
Hii habari ineanza kutrend huko mitandaoni, Lampard huenda akaoneshwa mlango wa kutokea pale Stamford Bridge muda wowote kuanzia leo.

Iwapo atatimuliwa kazi, kocha gani ungependa aje arithi mikoba ya Super Frank?
Screenshot_20210125-150420~2.png
 

Attachments

  • Screenshot_20210125-150420.png
    File size
    220.5 KB
    Views
    0

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,584
2,000
Tetesi kutoka vyanzo kadhaa Nchini England vinatabiri huenda Frank Lampard akafukuzwa leo

Hatua hii ni kufuatia mwenendo mbovu wa timu hiyo kwenye msimu wa Ligi 2020/21

Lampard atakuwa Kocha wa 10 kufukuzwa tangu Bilionea wa Kirusi Roman Abramovich ainunue Chelsea Fc

Thomas Tuchel anatajwa kurithi mikoba ya Lampard. Tuchel amewahi kuifundisha Borussia Dortmund Paris Saint-Germain
 

Mr_X

JF-Expert Member
Aug 27, 2015
1,151
2,000
Kilichomponza Super Frank Ni gharama alizotumia kwenye Usajili, hazipo directly proportional na matokeo anayopata uwanjani
 

pandagichiza

JF-Expert Member
Jul 9, 2013
3,695
2,000
Tuchel naye si alitimuliwa huko PSG?
Chelsea ataweza?
Asije akawa kama Unay Emery alivyotimuliwa PSG akaja Arsenal
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom