kufukuzwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Kufukuzwa kwa Miguel Gamondi : Natangaza waziwazi kurudisha kadi yangu ya Uwanachama wa Young Africans

    Uzi usiwe mreeeeefu. Nimeamua rasmi kuacha kuishabikia Yanga na hivi sasa naachana na iliyokuwa kadi yangu ya uwanachama wa klabu ya Yanga. Haya ni maamuzi magumu ninayoyachukua kama ambavyo msomali na genge lake la waarabu walivyoamua kuinajisi klabu yetu na kuifanya kuwa mali ya familia...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kufukuzwa kwa Gamondi shida ilianzia kuibukia kwenye mkutano mkuu wa Yanga na kutangazwa akitokea Club kula Bata

    Mapema mwezi Juni Yanga walifanya Mkutano Mkuu na hapo ndipo walimtangaza Miguel Ángel Gamondi kuwa ameongeza mkataba wa mwaka mmoja na kutokana na mafanikio yake na Wananchi ya msimu wa 2023/24 basi walikuja na msemo wa "TABU IKO PALE PALE" kutokana kuwatesa sana Watani zao Simba SC. Soma...
  3. mjusi kafili

    JamiiForums Tanzania Nini natakiwa kufanya baada ya kushinda rufaa ya kufukuzwa kazi na muajiri iliyotolewa naTume ya Utumishi ?

    Habari, naomba kujua cha kufanya Baada ya kushinda rufaa tume ya utumishi na kuamuru kurudishwa kazini. natakiwa kwenda ku report kazini au mpaka mwajiri anipe barua ya kurudi kazini.]
  4. L

    JamiiForums Tanzania Maumivu ya kufukuzwa kazi hayaelezeki

    Habari zenu ndugu nimepata experience mpya sikujua kama kufukuzwa kazi Kuna uma kuliko maumivu ya mapenzi ni week Sasa tangu boss anifukuze ofisini kwake siwezi hata kula. Ushauri wenu una hitajika nifanyaje niwe sawa na wale waliopitia Hali kama hii tupeni uzoefu wenu mlivuka vipi? Asante
  5. M

    JamiiForums Tanzania Siitaki siasa tena Part 2: Ali Karume wa kufukuzwa CCM?

    Ali Karume wakati wa uchaguzi uliosusiwa na CUF 2015 alimcheka marehemu Seif, na alimsema sana marehemu na hatimaye akawa waziri baada ya uchaguzi. Hivi sasa Ali Karume kafukuzwa CCM wakati Peter Msigwa aliekuwa anawashambulia anakula kiyoyozi kizuri na neema nyingi. Siasa siitaki tena.
  6. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Waziri Gwajima, wanafunzi kufukuzwa shule sababu ya picha za utupu siyo suluhisho na haiwasaidii, wanatakiwa kupewa mwongozo na kuelewa athari zake

    Waziri Dkt. Gwajima D salam, Moja ya tukio kubwa wiki hii ni suala la wanafunzi zaidi 100 kukutwa na simu shuleni na baadhi yao kufukuzwa baada ya kupiga picha za utupu na picha hizo kusambaa. Katika kushughulika na suala hili busara inahitajika zaidi kuliko kukurupuka. Kwanza tuelewe hawa na...
  7. and 998 others

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Gachagua amepoteza stahiki za N/Rais Mstaafu (kwa kufukuzwa kazi na Senate)

    Baada ya kufukuzwa kazi Naibu Rais Mstaafu wa Kenya Rigathi Gachagua anapoteza stahiki zifuatazo ambazo alizistahili endapo angejiuzulu. 1. Pensheni ya kila mwezi Ksh. 720,000. 2. Malipo ya mkupuo Ksh 8.2m. 3. Posho ya mafuta Ksh. 108,0000(?). 4. Gari 2 (saloon cars). 5. Gari 4WD (1). 6...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Vijana wanaosemekana kufukuzwa kazi TBS iwe chachu ya kuigwa kwa vijana wengine

    Hawa vijana iwe chachu ya kuigwa kwa vijana wengine. Vijana Hawa wanaosemekana kufukuzwa wana kampuni yao ya CALIBRATIONS, TESTING pamoja na Automations watu tuliopo kwenye constructions industry tunawaona sana. Na bahati nzurii kampuni yao ipo accredited inaruhusiwa kufanya kazi nchi yeyote...
  9. Supercomputer

    JamiiForums Tanzania UTABIRI MSIMU 2024/2025: Nani atakuwa kocha wa kwanza kufukuzwa?

    Kutoka ligi yoyote duniani. Mi nadhani Hawa hapa hawatomaliza msimu na pengine hawatafika hata Christmas. i)Eric Ten Haag ii)Fadlu Davies iii)Mourinho iv)Vincent Kompany Wewe mwanamichezo unahisi kocha gani atafukuzwa mapema?
  10. M

    JamiiForums Tanzania KERO Utaratibu wa kufukuzwa Wodini

    Habarini ndugu zangu, Kwa masikitiko makubwa naomba kutoa ushauri juu ya uendeshaji wa huduma za afya nchini kwetu hasa kwa wagonjwa waliolazwa ambao hali zao sio nzuri. Ni wiki sasa nimempoteza mama yangu mdogo na mtu wangu wa karibu sana hapo Hospitali ya Mloganzila, kwa kile ninachohisi ni...
  11. G

    JamiiForums Tanzania Tukutane hapa tuliowahi kufukuza / kufukuzwa na polisi, wezi. Je, ulichomoka kwa anaekufukuza ama kumpata unaemfukuzia?

    2014 hiyo nipo napiga misele kwenye kagari kangu carina ti, nipo eneo halina magari ghafla nikafika sehemu nigeuze gari bila kuangalia nyuma, vile nageuza nasikia kishindo, kuangalia nyuma ni gari ya idara fulani ya usalama, akili ziliziruka maana navyosikia ukiingia 18 zao utaita maji mma...
  12. mwehu ndama

    JamiiForums Tanzania Juma mgunda ni kocha anaetembelea upepo wa kufukuzwa kwa makocha wenzake

    Katika soka neno tapeli sio tusi, bali hutumika kumbainisha mtu anaejipatia sifa na umaarufu chanya pasipo juhudi na uwezo wake binafsi kama ilivyo kwa kocha juma mgunda gadiola mnene. Kibonge huyu toka Tanga, ni kocha mzuri ila sio kocha wa kiwango wanachokitaka mbumbumbu fc, achilia mbali...
  13. Jumlisha

    JamiiForums Tanzania Figisu Hatimae kufukuzwa kazi

    Bila kupoteza wakati maana nina mengi ya kuwaza baada ya hili Nilikuwa nikiona watu wanao timuliwa kazi ni wazembe na mara nyingine tukikaa vijiweni tunawazungumzia vibaya hawa mara kafukuzwa kazi sababu ya wizi mara alikuwa jeuri sana mambo mengi mabaya tunawazungumzia bila kujari upande wake...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Chama cha Wafanyakazi wa Vyombo vya Habari Tanzania waungana na Wanahabari wa Simiyu kumpinga DC Simalenga

    CHAMA Cha Wafanyakazi wa Vyombo vya Habari Tanzania (JOWUTA) kinaungana na Chama cha Waandishi wa Habari mkoa Simiyu (SMPC), kulaani tukio la Mkuu wa Wilaya ya Bariadi, Simon Simalenga kuwadhalilisha wanahabari. Kwa mujibu wa taarifa ya SMPC, Simalenga ambaye amewahi kufanyakazi katika chombo...
  15. Cecil J

    JamiiForums Tanzania Kwani kuotea ndevu nyumbani ndio kigezo cha kufukuzwa? Naambiwa nikajitegemee wanataka (wazazi) nife kwa njaa!

    ...
  16. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Jose Mourinho ameingiza Tsh. Bilioni 255 za fidia kwa kufukuzwa kazi

    Kocha Jose Mourinho (60) kwa sasa hana timu, rekodi zinaonesha amefukuzwa kazi mara 6 katika maisha yake ya Ukocha. Uamuzi wa kumfukuza kazi umemfanya kukusanya jumla ya Pauni Milioni 80 (Tsh. Bilioni 255) kama fidia kutoka klabu mbalimbali. Malipo ya Mourinho kwa kufukuzwa kazi Chelsea –...
  17. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Prof. Mkenda apiga Marufuku wanafunzi waliopata Matokeo mabaya kufukuzwa shuleni

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amepiga marufuku kwa baadhi ya shule ambazo zimekuwa zikiwafukuza wanafunzi baada ya kuwa na matokeo mabaya katika matokeo ya darasa la nne na kidato cha pili Waziri Mkenda amepiga marufuku hiyo, Jumanne Januari 9.2024 Jijini Dodoma...
  18. ngungwangungwa

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Serikali imfukuze Balozi wa Palestina nchini

    Ukiangalia ile video ya mauaji ya kijana mdogo kabisa wa Kitanzania ambaye alikuwa anajitetea kwa kujieleza kuwa ni Mtanzania, lakini ukiacha utetezi wake, wauaji walijua fika kuwa yule siyo Muisrael kulingana na wajihi wake na rangi yake. Ukatili aliofanyiwa Joshua hauvumiliki.. Haiwezekani...
  19. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Sakata la Walimu kufukuzwa kule Tunduma kisa wimbo wa Zuchu "Honey" ni Kipimo cha Mawaziri Vilaza wa Nyakati za Sasa

    Kuna wakati na nyakati, msanii wa mziki haishi mbinguni na hawakilishi malaika, Waziri Mkenda ni mshamba sana narudia ni mshamba sana. Wimbo wa Zuchu content yake ni ya kitanzania na huu wimbo una kiswahili cha kificho ama tafsida. Ni aibu sana kuwa na Waziri mkurupuko na mshamba kama Mkenda...
  20. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Wanaounga mkono Hamas huko diaspora waanza kufukuzwa kazi

    Unaleta ujuaji mwingi katika taifa lililokufungulia mikono na kukulisha. Ungebaki basi uko uarabuni kama wewe ni jiwe.
Back
Top Bottom