Mambo ambayo mwanaume unatakiwa na hutakiwi kufanya kwenye mawasiliano ya simu

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Jan 31, 2021
7,204
12,700
1. Usipige simu ikaita hadi ikakata. Huko ni kujikosea heshima. Labda uwe unapigia wazazi.
2. Usimpigie mwanaume mwenzako video call. Labda iwe kuelekeza kazi.
3. Isipigepige simu sana, pia usipige simu ukiwa na shida tu.
4 .........
 
Ma snitch niliosomaga nao wakapata kazi kabla yangu. huwa wananipigia video call waone jinsi nilivyochapiwa na life.
Kuna mwanangu akiwa anakula bata huwa ananipigia video call ili anivimbie sijui, utakuta mda huo mm nipo gheto kizembe... huwa nacheka tu haya ni maisha, simply put tusiyachukulie serious sana

Na kuna mwana yuko US anapiga audio call hana mambo mengi... wakati kajamaa kaliko sinza kanasumbua
 
😅😅😅 Huwa akinipigia napokea nazima camera
 
Hakuna kitu nachukia kama watu na hasa wanaume wanaopiga simu mfululizo hata mara sita wakati wanaona hazipokelewi...kuna mshkaji mmoja juzi tu ilibidi nimtukane nipo kwenye ofisi za watu na mabosi wa ofisi nasotea tenda furani jamaa kapiga mara ya kwanza na nlikuwa nimesahau kuweka silent mode nikashtuka na nikawashtua vigogo nikamute ilipokata akarudia .......akarudia.....akarudiaa kama missed call nane hivi . Kwa kweli nlipoteza confidence na ni bahati tu wale vigogo walinielewa .. baada ya kutoka nampigia mshkaji namuuliza nini shida anaanza kumaind mbona hupokei simu wakati mi nlikuwa nataka nikusakimie tu khaaah...nilimtukana aisee....
 
Mwana anataka akusalimie pokea cm 😂
 
4. Usim-beep mwanamke, mwana ndo atatatua shida ya mwana
5. Ukifuma mawasiliano ya mwana na demu wako, komaa na demu wako, sio kumzingua mwana
6.
Nyongeza: unapokuwa na shida na bosi wako au kiongozi wako usimbeep na unapompigia hakikisha una Salio la kutosha kumaliza kueleza shida yako. Unapoishiwa Salio katikati ya maongezi na watu kama hao inaashiria yafuatayo
Hujiamini
Huna uhakika na jambo unalosema
Hauko Sirius na unalosema
Na ikiwa atakupigia mwenyewe kumalizia mazungumzo basi atakudharau na kujiona ni mkubwa kwako tuu hahaaaaaaa
 
Mwana anataka akusalimie pokea cm
Huwezi amini nilimtukana halafu nikamwambia asinipigie tena...we umepiga mara ya kwanza mtu hajapokea kausha kwanza hata nusu saa kama hajakutafuta ndio mchek tena hapokei tuma hata msg then tulia kabisa...sasa siku ya kazi halafu saa tatu asubuhi mtu anapigaaaa inakata anarudia anapigaaaa inakata hakimu anarudia anapigaaaa khaaaah....nadhan mshkaji hatorudia aisee...
 
Hakuna kitu nachukia kama watu na hasa wanaume wanaopiga simu mfululizo hata mara sita wakati wanaona hazipokelewi...kuna mshkaji mmoja juzi tu ilibidi nimtukane nipo kwenye ofisi za watu na mabosi wa ofisi nasotea tenda furani jamaa kapiga mara ya kwanza na nlikuwa nimesahau kuweka silent mode nikashtuka na nikawashtua vigogo nikamute ilipokata akarudia .......akarudia.....akarudiaa kama missed call nane hivi . Kwa kweli nlipoteza confidence na ni bahati tu wale vigogo walinielewa .. baada ya kutoka nampigia mshkaji namuuliza nini shida anaanza kumaind mbona hupokei simu wakati mi nlikuwa nataka nikusakimie tu khaaah...nilimtukana aisee....
Wa hivi hua wanazingua sana aise
 
Utasikia au ulidhani nakuomba hela
 
Haya maisha jamani unakuta mtu anakutafuta ana inshu ya maana then haupokei simu. Inabidi apige tena. Ntatoa mfano. Kuna mshkaji alitafuta mara nne kunipa koneksheni ya kazi ya kazi ambayo alihitajika mtu haraka.

Mwingine mwenye hizi idea zenu alinifanya hakunipa kazi eti nimekupigia ktk laini ya tigo hukupatikana. Nimetoa mfano mmoja tu wa kazi lakini matukio ya muhimu yapo mengi kulingana na mtu na mazingira

Ninachoamini kinachotakiwa kuwa kipimo cha kupiga simu nyiingi ni umuhimu wa tukio ili hata ukiona missed call basi uone umuhimu wa call back
 
Back
Top Bottom