kufanya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kongo DR yaishutumu Rwanda kwa kufanya shambulizi la ‘ndege isiyokuwa na rubani' kwenye uwanja wa ndege

    Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imewashutumu Rwanda kwa kufanya shambulio la ndege isiyokuwa na rubani lililosababisha uharibifu wa ndege ya raia kwenye uwanja wa ndege katika mji muhimu wa mashariki wa Goma, ambao ni mji mkuu wa mkoa wa Kivu Kaskazini. Mapigano yamezuka katika siku za hivi...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Je, mahusiano bila kufanya mapenzi ni sawa na urafiki tu?

    Habarini ndugu zangu, Siku nyingi Sana sijaanzisha Uzi humu Nina swali ambali nimeuliza Artificial intelligence wengi na pia marafiki zangu wengi wa kiume na wa kike...nimepata majibu tofauti kutokana na mitazamo tofauti. Swali langu ni Je katika umri wa ujana mdogo (20-25) au umri wa chuo...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Je dating(mahusiano) bila kufanya mapenzi ni urafiki tu?

    Habarini ndugu zangu, Siku nyingi Sana sijaanzisha Uzi humu...nimekuja Leo kwenye jukwaa pendwa la mapenzi Nina swali ambali nimeuliza Artificial intelligence wengi na pia marafiki zangu wengi wa kiume na wa kike...nimepata majibu tofauti kutokana na mitazamo tofauti. Swali langu ni Je katika...
  4. JamiiForums Tanzania Je, Umemchoka Mpenzi wako au mahusiano? jifunze hapa

    Kuchoka ktk uhusiano huonekana kwa mtu kujitenga au kumuepuka mwenzi wake kwa sababu mbalimbali. Baada ya muda, mtu anaweza kujitenga kwa ufahamu au kwa makusudi kutokana na hisia za kutojali na kukosewa jambo katika uhusiano. Ingawa hii inaweza kuathiri sana mahusiano, kuna mambo hufanya ili...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Bashungwa aiagiza TANROADS kufanya tathmini ya maeneo yanayoathiriwa na mvua mara kwa mara

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amewaelekeza Mameneja wa TANROADS nchi nzima kuhakikisha wanabainisha na kufanya upembuzi yakinifu kwa maeneo yote ambayo yamekuwa yakiathiriwa na mvua mara kwa mara ili Serikali iweze kuyatafutia suluhisho la kudumu kwa pamoja. Agizo hilo limetolewa na...
  6. JamiiForums Tanzania Mamlaka gani zinawajibika kufanya marekebisho ya barabara za mitaani?

    Salaam Wadau, Nimekuwa nikikutana na barabara mbovu mitaa mingi katika sehemu ninazoishi. Kunaweza kutokea sehemu Kuna dimbwi kubwa au korongo ambalo linaleta changamoto kwa wapitanjia au wenye magari. Kwa mtaa ninaoishi imekuwa busara tu ya wanakikiji kumwaga vifusi au kuweka mawe ili...
  7. JamiiForums Tanzania TCRA yazifungia Laini 21,000 zilizohusika kufanya utapeli

    ZAIDI ya laini 21,788 za mawasiliano ya simu zimefungiwa kupokea na kutoa mawasiliano kutokana na sababu mbalimbali ikiwamo kutumika kufanya uhalifu mtandaoni kwa kipindi cha miezi mitatu iliopita. Kwa mujibu wa ripoti ya mwenendo wa sekta ya mawasiliano iliyotolewa na Mkurugenzi Mkuu wa...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Hofu ya kupata HIV baada ya kufanya ngono nzembe na mdada niliekutana nae siku 1

    Habarini wna JF ni matumaini yangu nyote ni wazima wa afya tele, ningependa ku share hii experience wakati nikiendelea kuishi kwa hofu sana baada ya kukutana na mdada ambae ni muathirika baada ya kumpima. Story iko hivi nilikutana na mdada sehemu akiwa na rafiki yangu pamoja pia na dem wa...
  9. JamiiForums Tanzania Monduli imetoa mawaziri wakuu wawili wenye kudhubutu na kufanya, CCM inajifunza nini.

    Kiongozi hatokei Kila mahali na Kila kabila. Wamasai ni moto wa kuotea mbali. 1. Sokoine - Monduli 2. Lowassa - Monduli Weka Hapo Msuya , Kilimanjaro. Sio Kila mahali unamchukua hapo Kiongozi.
  10. JamiiForums Tanzania Tutakua na kazi ya kufanya installation ya softwares za kufanya citation na kuweka references kwenye report

    Kuna wakati mwingine unaweza ukawa unaandika report na ukatakiwa kuweka citation na references. Lakini kwa kutokujua ukajikuta unaanza kufanya citation na references manually. Kwa dunia ya sasa kila kitu kinafanyika automatically. Kufanya citation na kuweka references manually kunakufanya...
  11. JamiiForums Tanzania Mwandishi wa habari Cyprian Musiba arejeshewe mazingira ya kufanya kazi tena amejifunza

    Kama mada ilivyo hapo juu kwa kuwa inadaiwa kuna 4R (Reconciliation, Resilience, Reforms and Rebuilding) kwamba zinatibu vidonda vya kuumizwa kiakili, kimwili, kiuchumi na kijamii basi nafasi hiyo ifunguliwe kwa mwandishi mkongwe Cyprian Musiba ili kuchangamsha zaidi myambuliko wa siasa za...
  12. JamiiForums Tanzania Niambie ni mambo gani ya ajabu ulishawahi kufanya ukiwa na hasira hadi ukikumbuka unaweza kucheka na kujionea aibu kwa wakati mmoja...

    Signed out
  13. JamiiForums Tanzania Watendaji wa JamiiForums watembelea hifadhi ya Ngorongoro baada ya kufanya tathmini ya mipango na maandalizi ya mwaka 2024

    Baada ya kufanya tathmini ya Mipango ya mwaka 2024 na maandalizi yote, Watendaji wa JamiiForums walifanya ziara za kujifunza katika maeneo mbalimbali ya Utalii ikiwemo eneo la Hifadhi ya Ngorongoro
  14. JamiiForums Tanzania Kwani ni lazima Serikali kufanya miradi mikubwa wakati kuna kampuni zinaweza kukaribishwa kufanya miradi hiyo ili pesa ikatumike sehemu nyingine

    Dp world ni sawa kuja kuwekeza bandarini ila kinacho fanya watu kupigia kelele ni ili la mikata mibovu ambayo kila kukicha serikali ikidondokea pua na kuishia patupu. Kweli hipo miradi ambayo zinafanya bila serikali kama ya uchimbaji madini lakini hakuna manaufaa kwa wananchi wake wala faida...
  15. JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Marekani kufanya mnada wa kuuza vitu nchini

    Ubalozi wa Marekani Dar es Salaam unapenda kutangaza kuwa itauza mali mbalimbali katika mnada utakaofanyika tarehe 10 Februari 2024, kuanzia saa 3 asubuhi. Mnada huu utaendeshwa na kufanyika UNIVERSAL AUCTION CENTRE, iliyoko karibu na Golden Resort, Lion Street, Sinza, Dar es Salaam (Angalia...
  16. JamiiForums Tanzania Putin to Visit Turkey in First Trip to NATO Country Since War

    Subscribe Politics Putin to Visit Turkey in First Trip to NATO Country Since War Russia has forged ties with Turkey as relations with EU soured Talks with Erdogan expected to focus on energy, war in Ukraine Vladimir Putin Photographer: Gavriil Grigorov/AFP/Getty Images By Selcan...
  17. Y

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua namna ya kufanya akaunti ya youtube ilipwe

    Habari naomba kujua namna ya kufanya akaunti yangu ya YouTube ilipwe
  18. JamiiForums Tanzania Yanga yatinga 20 bora ya vilabu vilivyotumia gharama kubwa zaidi kufanya usajili Mwaka 2023

    Kwa mujibu wa report za FIFA za hivi karibuni kuhusu gharama za usajili na uhamisho wa wachezaji, imeonyesha vilabu vikubwa kama Al Ahly, Mamelodi, Pyramids vikiendelea kuonyesha sababu ya wao kuwa bora huku zikiendelea kuwekeza katika kununua wachezaji wenye ubora ili kuendelea kusalia katika...
  19. JamiiForums Tanzania FIFA Ripoti: Zaidi ya Tsh. Trilioni 23.3 zilitumiwa na Vilabu kufanya Usajili mwaka 2023

    Zaidi ya vilabu 1000 vya soka duniani vilitumia dola bilioni 9.63 katika uhamisho wa mwaka jana na kusajili ongezeko la 48.1% la takwimu kutoka 2022. Wachezaji wa kitaalamu walichangia 31% ya takwimu za uhamisho lakini walitawala matumizi ya klabu. Wachezaji kumi bora walitumia 10% ya pesa...
  20. JamiiForums Tanzania MOI kufanya upasuaji kwa kutumia Robot

    Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI), Profesa Abel Makubi amesema Taasisi hiyo inatarajia kuanza kutoa huduma za kitabibu kwa kutumia roboti ndani ya miaka mitatu ijayo. Akiongea kwenye mahojiano maalum Prof. Makubi amesema “Sasa hivi tunafanya evaluation tuweze...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…