kufanya maamuzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Jenga nguvu ya kufanya maamuzi

    1. Fanya tathmnini ya kila uamuzi unaotaka kuufanya jua matokeo yake, faida na hasara pima uzito wa matokeo hayo kisha chagua njia sahihi ya kuamua kulingana na matokeo uliyoyapata. 2. Washirikishe watu ili kupata ushauri kisha pima ushauri wao ukilinganisha na tathmnini yako. Ila usipokee...
  2. JamiiForums Tanzania Mbunge wa Mtwara Mjini afichua jinsi CCM inavyolazimisha wanachama kugombea ubunge kinyume na matakwa yao

    Mbunge wa Mtwara mjini anatoa ushahidi mwingine juu ya uzalimu wa CCM, sikiriza hiyo toka Mtwara mjini.
  3. JamiiForums Tanzania Wazazi ndio chanzo cha kuharibu ndoto za vijana wengi wanapotaka kufanya maamuzi ya kujichagulia wakasome nini vyuoni

    Mtoto akifikisha miaka 18 huyo sio mtoto sababu kashakuwa huru wa kufanya maamuzi nini anataka kwenye ndoto yake. kuna mada nyingi hapa jf nikiona wazazi wakiomba ushauri mtoto asome nini ? kwa nini wazazi tusiwape uhuru wa kujua wanataka nini na kuwashauri kuliko kulazimisha wasome wasicho...
  4. JamiiForums Tanzania Kipi kitakuongoza kufanya maamuzi ya kuchagua kiongozi wako katika uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu ujao?

    Utazingatia chama cha siasa na itikadi yake tu, Utazingatia ilani, sera, mipango, dira, mbinu, uelekeo na mikakati ya chama husika, katika kutatua changamoto mbalimbali na kuleta maendeleo kwa wananchi? Utazingatia Elimu, umakini, uadilifu, umahiri, maelezo na ushawishi wa mgombea kwenye...
  5. JamiiForums Tanzania Serikali imewataka wananchi kufanya maamuzi mazuri ya matumizi ya kifedha kulingana na malengo waliyojiwekea, ikiwemo kuweka akiba

    ELIMU YA FEDHA: KUIBUA MABADILIKO YA KIFEDHA KIGOMA Na Chedaiwe Msuya,WF, Kigoma Serikali imewataka wananchi kufanya maamuzi mazuri ya matumizi ya kifedha kulingana na malengo waliyojiwekea, ikiwemo kuweka akiba, kupanga matumizi, na kudhibiti deni, ili kuepuka changamoto za kifedha...
  6. O

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tunaitaka Tanzania ya watanzania shupavu, hodari na imara wenye kufanya maamuzi sahihi na kwa haraka

    UTANGULIZI Dunia iliumbwa kwa misingi ambayo ni sawia kabisa. Nikiwa na maana ya kwamba kila pande ya dunia kuna namna ilipewa rasimali ambazo zitawasaidia wakazi wa eneo hilo, kuweza kuendesha maisha na kuyafanya yawe rahisi. Wenzetu wa bara la ulaya wana ufinyu wa rasilimali na hali ya hewa...
  7. G

    JamiiForums Tanzania Vijana mnaotafutana kwa kukaribiana umri mnakosea sana, inachangia sana migogoro. Sijutii kufanya maamuzi ya kuoa kwa gap la miaka 10

    Binafsi nilioa nikiwa na 28 mke wangu muda huo akiwa na 18, Kwa sasa naenda 36 mwenzangu yupo 26 kumekuwa na pattern kubwa ya vijana kutafutana waoane kwa kigezo cha kukaribiana ama kulingana umri. Sababu kuu huwa ni "nioe binti mdogo tutaongea nae nini" Niwajuze tu kwamba kwenye ndoa ni...
  8. JamiiForums Tanzania Mzazi jukumu lako ni kunifundisha jinsi ya kufanya maamuzi sahihi na sio unifanyie Maamuzi

    MZAZI JUKUMU LAKO NI KUNIFUNDISHA JINSI YA KUFANYA MAAMUZI SAHIHI NA SIO UNIFANYIE MAAMUZI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Wewe ni wewe. Mimi ni Mimi. NI kweli wewe ni mzazi na mimi ni mtoto. Lakini hiyo haimaanishi kuwa wewe ni Mimi. Utabaki kuwa mzazi lakini hautakuwa mimi na mimi sitakuja...
  9. JamiiForums Tanzania Mpira wa 'Adidas Euro 2024' itatumia "Microchip" kuwasaidia waamuzi kufanya maamuzi ya mpira wa mikono

    'Microchip' ilitumika katika mfumo wa 'semi-automated offside decision-making' katika Kombe la Dunia la FIFA la mwaka jana nchini Qatar. 'Microchip' ndani ya mpira wa Adidas wa Euro 2024 itatumika kuwasaidia waamuzi kufanya maamuzi ya mpira wa mikono kwenye michuano ijayo ya majira ya joto...
  10. JamiiForums Tanzania Uwazi ni kanuni ya msingi kwa Waandishi wa Habari wakitarajiwa kutoa Taarifa kwa Umma ili Wananchi waweze kufanya maamuzi sahihi

    Waandishi wa habari mara nyingi huandika matukio ya kisiasa na matendo ya wanasiasa, na wanasiasa hutegemea utangazaji wa vyombo vya habari kuwasiliana na umma. Hata hivyo, kudumisha tofauti ya wazi ya majukumu ya waandishi wa habari ni muhimu kwa utendaji wa demokrasia yenye afya, ambapo...
  11. JamiiForums Tanzania Kati ya mwanasiasa na mwanataaluma yupi apewe kipaumbele kufanya maamuzi yenye kugusa maslahi ya watu na Taifa?

    Ni kaswali nimekaa tu nikatafakarii nikaona hemu niwaletee na ninyi wadau? Wanasiasa na wana taaluma someni comment za wadau mtapata kitu.
  12. JamiiForums Tanzania Rais Samia nakushauri watose sasa Spika (Tulia) na PM (Majaliwa), sakata la bandari limekumaliza kisiasa!

    Haihitaji kubishana kwa chochote, suala la Bandari limefifisha kabisa nyota ya kisiasa ya Rais Samia, kwa hali ilivyo sasa Rais Samia akisema akagombee hata udiwani katika kata yoyote ile Tanganyika huenda akaangukia pua. Watu wengi waliokuwa wanamuona Rais Samia kama rais bora wa mfano, kwa...
  13. JamiiForums Tanzania Jiulize haya ili uweze kufanya maamuzi haraka na ujipunguzie mzigo wa mawazo (stress)

    Maamuzi ndio yanachagua tufanye nini, tufanye nini na maisha yetu, au tufanye nini na wapenzi wetu. Ili kufanya maamuzi kwanza inabidi kujiuliza; ~ Ni kitu gani nataka? ~ Kitanifanya nijisikiaje? ~ Je, kitanisaidia kusonga mbele? ~ Ni kitu gani ningependa kitokee? Ukishajipatia majibu ya hayo...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Tetesi: NATO na USA kufanya maamuzi magumu kuiokoa Dunia na WW3

    Zipo Tetesi ambazo sio rasmi ila sasa uwenda Tetesi hizo zikawa kweli japo yatupasa kujiandaa kwa lolote linaweza tokea hasa ukizingatia tembo wanapo pigana nyasi ndio zinazo umia. Kwa muda mrefu sasa USA na washarika wake wameamua ku mute mjibu Russia kwa maneno na Vyombo vya Habari kama pale...
  15. JamiiForums Tanzania Wanaume huwa tunasema hatuongozwi na hisia tunafata logic, sasa hasira na maumivu kwenye mapenzi yanatoka wapi?

    Huu ni wimbo wetu wanaume, kwamba sisi hatuongozwi na hisia, kwenye kuangalia kitu na kufanya maamuzi tunafata logic na kuwaambia wanawake ni viumbe wanaoongozwa na hisia. Sasa hasira na maumivu kwenye mapenzi yanatoka wapi? Maumivu hayo si ni matokeo ya hisia? Pisi kali ikikupiga tukio...
  16. JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kwa Rais kufanya Maamuzi ya Kiserikali katika Sikukuu Kubwa za Kiimani?

    Nategemea na hata Sikukuu ya Idi (ya Wiki Mbili zijazo) na ile ya Krismasi bila kuisahau ile ya Idi al Haji na zenyewe pia Rais Samia ataendeleza huu Utamaduni aliouanzisha leo wenye kutuachia Maswali mengi Vichwani wale Binadamu Wachache sana tuliobarikiwa Akili Kubwa na Mwenyezi Mungu. Je...
  17. JamiiForums Tanzania Serikali iache kufanya maamuzi ya mihemko kwenye masuala ya elimu

    Kumekuwa na changamoto kubwa sana viongozi wa Serikali kuja na maamuzi ya mihemko sana linapo kuja tukio lolote lisilofaa lililofanywa na mwalimu. Idara zote zina watu wenye mapungufu sasa tatizo lililopo kwenye Serikali hii kila kiongozi huwa ni msemaji wa elimu na huwa wanakuja na maamuzi...
  18. JamiiForums Tanzania Kama kweli ndivyo ilivyo, basi ni vigumu kwa viongozi kama hawa kufanya maamuzi yenye tija kwa taifa

    Kwa picha na ujumbe huu kutoka kwa kiongozi mkubwa wa serikali, hakika bado tuna safari ndefu. Mwingine alipost amebeba gunia begani. Je, ina maanisha nini? Kwamba hatuna nyenzo za kurahisisha kazi au hatuna maarifa? Huyu naye kula huku amesimama na soda mkononi, atatusaidia kweli kufikiri kwa...
  19. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Serikali mnaopenda kufanya maamuzi ya kujijenga binafsi kisiasa muache. Sikubaliani na hili tamko la RC Mtaka

    RC Mtaka ni kiongozi mzuri lakini naona huwa anavuka kabisa mipaka labda kwa kujua au kutokujua ila mwishoni huonekana ni kama vile maamuzi binafsi ya kujijenga kisiasa. Mara kadhaa ameshawahi kuleta misuguano hadi na waziri wa elimu kutokana na maamuzi yake ambayo huwa hataki kabisa yapingwe...
  20. JamiiForums Tanzania Tatizo siyo kutokufanya bali ni kufanya maamuzi

    Nadhani tunapotoka; Wote tumekuwa tukipigia kelele Mamlaka makubwa ya Rais (hilo ndio Tatizo), ndio maana nililaumu kipindi cha JPM kuamua yeye kama yeye na siyo wadau kuhusu miradi (eti Miradi ya JPM na sio ya Watanzania), au Taasisi ya Rais kufanya maamuzi ya Mahakama na siyo taasisi husika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…