Kufanana na watu wengi hii imekaaje?

Troublemaker

JF-Expert Member
Jun 8, 2015
19,912
38,574
Hello JF

Nimejikuta nalazimika kuleta uzi sasa maana hii imeanza kunishangaza.

Tangu nakuwa ni kawaida kukutana na watu then wananiambia nimefanana na either ndugu yao fulani au jamaa zao. Imefika hatua now nimekuwa wengine mpaka hunipiga picha. Wakawaonyeshe wahusika. Ikafika muda nikawa nahesabu na kunote mahali, mpaka sasa ni zaidi ya watu 15 ambao nishakutana nao kisha wakanifananisha na jamaa zao.

Ingawa binafsi kihalisi nishakutana na watu watatu ukitutazama ni kama mapacha au ndugu wa tumbo moja. Uzuri mwingine nilikuwa nimemtangulia kidato shule moja.

Kiukweli inashangaza sana.
 
Zamani nilikua nafananishwa na watu wengi mara huyu aseme kaniona Dodoma mwingine Kigoma mara hivi mara vile...

Ila maisha yalivyochanganya na kunichapa sura yangu asili ikapatikana. Sasa hivi nina miaka 12+ sijawahi sikia hiyo kauli.

Nikwambie tu bado una sura ya maziwa ya mama, maisha hayajachanganya... Huoni watoto wachanga wengi wanafanana?
 
Mi nilifananishwa na watu watatu afu wa NNE nikaja onana nae mi mwenyewe airport.... Mwanamke mwenzangu ....aisee nilishtuka hata kumsimamisha niliogopa....ila tulipogongana macho tulitazamana kwa muda mrefu afu kila MTU hamwambii kitu mwenzie....Mimi mwili ulisisimka...nilijihisi upendo wa hali ya juu usioelezeka(ni kama mshtuko ulikuwa wa furaha..hata sielewi) ...njia nzima tangu tupishane ni full kugeukiana.Daaa,kumbukumbu isiyosahaulika
 
Hello JF

Nimejikuta nalazimika kuleta uzi sasa maana hii imeanza kunishangaza.

Tangu nakuwa ni kawaida kukutana na watu then wananiambia nimefanana na either ndugu yao fulani au jamaa zao. Imefika hatua now nimekuwa wengine mpaka hunipiga picha. Wakawaonyeshe wahusika.
Ikafika muda nikawa nahesabu na kunote mahali, mpaka sasa ni zaidi ya watu 15 ambao nishakutana nao kisha wakanifananisha na jamaa zao.

Ukiza vizuri labda baba yako anajua kitu kwa huyo mliesoma nae.
 
Hello JF

Nimejikuta nalazimika kuleta uzi sasa maana hii imeanza kunishangaza.

Tangu nakuwa ni kawaida kukutana na watu then wananiambia nimefanana na either ndugu yao fulani au jamaa zao. Imefika hatua now nimekuwa wengine mpaka hunipiga picha. Wakawaonyeshe wahusika.
Ikafika muda nikawa nahesabu na kunote mahali, mpaka sasa ni zaidi ya watu 15 ambao nishakutana nao kisha wakanifananisha na jamaa zao.

Ingawa binafsi kihalisi nishakutana na watu watatu ukitutazama ni kama mapacha au ndugu wa tumbo moja. Uzuri mwingine nilikuwa nimemtangulia kidato shule moja.

Kiukweli inashangaza sana.

Sasa mkuu we huoni jinsi unavyofanana sana na Ronaldinho Gaucho?😀

Nakumbuka wakati niko shule sekondari kuna siku marafki zangu wamenifata wananiambia "aisee mwanetu kumbe una mdogo wako kahamia hapa hata hutuambii...?" Kuja kukutana na huyo mdogo wangu sasa... ni kama dagaa kwa jinsi tulivyofanana!! Sijui aliishia wapi yule dogo
 
Mi nilifananishwa na watu watatu afu wa NNE nikaja onana nae mi mwenyewe airport.... Mwanamke mwenzangu ....aisee nilishtuka hata kumsimamisha niliogopa....ila tulipogongana macho tulitazamana kwa muda mrefu afu kila MTU hamwambii kitu mwenzie....Mimi mwili ulisisimka...nilijihisi upendo wa hali ya juu usioelezeka(ni kama mshtuko ulikuwa wa furaha..hata sielewi) ...njia nzima tangu tupishane ni full kugeukiana.Daaa,kumbukumbu isiyosahaulika
Hamkuongea?
 
Hello JF

Nimejikuta nalazimika kuleta uzi sasa maana hii imeanza kunishangaza.

Tangu nakuwa ni kawaida kukutana na watu then wananiambia nimefanana na either ndugu yao fulani au jamaa zao. Imefika hatua now nimekuwa wengine mpaka hunipiga picha. Wakawaonyeshe wahusika.
Ikafika muda nikawa nahesabu na kunote mahali, mpaka sasa ni zaidi ya watu 15 ambao nishakutana nao kisha wakanifananisha na jamaa zao.

Ingawa binafsi kihalisi nishakutana na watu watatu ukitutazama ni kama mapacha au ndugu wa tumbo moja. Uzuri mwingine nilikuwa nimemtangulia kidato shule moja.

Kiukweli inashangaza sana.
Kuwa makini na matapeli.
 
Sote sisi ni ndugu toka kwenye shina moja
 
Zamani nilikua nafananishwa na watu wengi mara huyu aseme kaniona Dodoma mwingine Kigoma mara hivi mara vile...

Ila maisha yalivyochanganya na kunichapa sura yangu asili ikapatikana. Sasa hivi nina miaka 12+ sijawahi sikia hiyo kauli.

Nikwambie tu bado una sura ya maziwa ya mama, maisha hayajachanganya... Huoni watoto wachanga wengi wanafanana?
inawezekana mi mwenyewe hili jambo limepungua kwa sababu yananichapa haswa
 
Mi nilifananishwa na watu watatu afu wa NNE nikaja onana nae mi mwenyewe airport.... Mwanamke mwenzangu ....aisee nilishtuka hata kumsimamisha niliogopa....ila tulipogongana macho tulitazamana kwa muda mrefu afu kila MTU hamwambii kitu mwenzie....Mimi mwili ulisisimka...nilijihisi upendo wa hali ya juu usioelezeka(ni kama mshtuko ulikuwa wa furaha..hata sielewi) ...njia nzima tangu tupishane ni full kugeukiana.Daaa,kumbukumbu isiyosahaulika
mm japo hufananishwa na watu wengne, sjawahi kujifananisha na mtu kwa sura!
wewe na wenzako macho yenu yana kitu cha ziada!!
 
Mi nilifananishwa na watu watatu afu wa NNE nikaja onana nae mi mwenyewe airport.... Mwanamke mwenzangu ....aisee nilishtuka hata kumsimamisha niliogopa....ila tulipogongana macho tulitazamana kwa muda mrefu afu kila MTU hamwambii kitu mwenzie....Mimi mwili ulisisimka...nilijihisi upendo wa hali ya juu usioelezeka(ni kama mshtuko ulikuwa wa furaha..hata sielewi) ...njia nzima tangu tupishane ni full kugeukiana.Daaa,kumbukumbu isiyosahaulika
Nae anatako kama lako
 
Mimi nahisi wakati Mungu ananiumba, nilikuwa kwenye toleo la watu wengi sana...
Kuanzia shule mpaka maisha ya kawaida nafananishwa kila leo...
Nimeshazoea, sielewi hao watu ni kina nani niliofanana nao hivyo!!!

Kuna mmoja niliona kwenye tangazo la nywele, yaani yule nimimi kabisa, ni kama nilikuwa najiangalia kwenye kioo...
 
Back
Top Bottom