Kuna ulazima sare za shule za msingi kufanana nchi nzima?

tangu mwaka 1964 mpaka leo sare ni nyeupe na bluu! ninini hiki kisichobadilika? kwanini kila shule isiwe na sare zake kulingana na jiografia ya eneo husika
Tabora manispaa wanafunzi wote wa kiume wanavaa khaki na wasichana sketi za kijani kwa upande wa Shule ya msingi.
 
Mie sioni ubaya wowote, uniformity

Sawa na kujiuliza Kuna sababu yeyote mitaala ya shule msingi ama sekondari kufanana?
 
Kwenye mashati kote wanafanana- rangi nyeupe, isipokuwa kwenye sketi na kaptula. Shule nyingine wanavaa khaki, nyingine samawati.
 
tangu mwaka 1964 mpaka leo sare ni nyeupe na bluu! ninini hiki kisichobadilika? kwanini kila shule isiwe na sare zake kulingana na jiografia ya eneo husika
Mbona hazifanani mkuu, au ni vile una-colour blindness?!
 
Back
Top Bottom