kuelekea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Vitenge na kanga vyasambazwa nchi nzima kuelekea siku ya wanawake Duniani, kete nzuri kuelekea 2025

    Wanawake wa Tanzania wamepewa kanga zakutosha na vitenge kuelekea siku ya wanawake Duniani. Wanawake wengi wamejipanga Kuvaa vitenge kusherekea siku ya wanawake Duniani. Wanawake wengi watabeba mabango yaliyobeba ujumbe wa kisiasa kuhusu mwanamke mwanasiasa. Wanawake wengi watalipwa kushiriki...
  2. ninosi

    JamiiForums Tanzania Habari njema kwetu Tanzania Prisons kuelekea mechi ya leo dhidi ya Yanga Sc

    Kuelekea mechi ya leo kati ya Yanga SC na Tanzania Prisons.. Msemaji wa Tanzania Prisons anena haya wakati akihojiwa na kituo kimoja cha redio:- Mtangazaji: Kuelekea mechi ya leo, je katika timu yenu kuna majeruhi yoyote? Msemaji: Benjamini Asukile yupo salama.. Pia wachezaji wenzake wote wako...
  3. Ngongo

    JamiiForums Tanzania Traffic maeneo ya Bomang’ombe kuelekea Daraja la Kikavu wanavuna hela bila uoga

    Sasa ni wazi kila mtu anakula kulingana na urefu wa Kamba yake. Askari wa usalama barabarani eneo la Bomang’ombe kuelekea daraja la kikavu wamekuwa wakikwapua fedha za maderava bila uoga wa aibu. Wamekuwa wakiendeleza tabia mbovu na mbaya kama wale jamaa waliofungua Account China. Ukifika...
  4. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Ndege ya Shirika la Precision Air iliyokuwa ikitokea Dar es Salaam kuelekea Dodoma yalazimika kutua kwa dharura

    Shirika la Ndege la Precision Air limethibitisha kuwa ndege zake mbili zimeshindwa kufanya safari zake kama kawaida baada ya ndege moja kupata hitilafu na nyingine kulazimika kutua kwa dharura. Precision Air imethibitisha hilo kupitia Taarifa yake leo Februari 03, 2023 ikibainisha kuwa, moja ya...
  5. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Kuelekea 2025: Rais Samia kuvuna kura za vijana, wanawake, wapinzani

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ZIPO kila dalili kwamba Dkt. Samia Suluhu Hassan, atagombea nafasi ya urais anayoishikilia sasa katika uchaguzi mkuu ujao – miaka mitatu kutoka sasa. Mbali na “kufokea” waliozusha kwamba hatagombea na yeye mwenyewe kueleza kwamba...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Ramadhani Mlao aunguruma mkoani Shinyanga kuelekea maadhimisho ya miaka 46 ya CCM

    Jumatano, Jan 25, 2023. Shinyanga mjini, Shinyanga. Mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa Cde Ramadhani Mwishehe Mlao (MNEC) amezungumza na wanachama wa CCM mkoa wa Shinyanga kuelekea maadhimisho ya miaka 46 ya CCM katika wilaya ya Shinyanga mjini mkoani Shinyanga. Katika ziara hiyo ya...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Waliopata Ubunge Bila kupingwa(kupitia uchaguzi) wachukizwa na Mkakati WA chadema kuelekea 2025

    Makada wa CCM wasio na ushawisho Kwa wananchi wameanza kuona Giza mbele ya siasa baada ya chadema kurejea Kwa kishindo. Wengi wametokea kuwa washauri WA chadema wakitaka chadema isikubali maridhiano na ccm badala yake chadema uendelee na kupambana na dola. Wanaelewa kwamba katika dola kuna...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya: Kuelekea Jan 25 tunayo ya kujifunza kutokea Gambia

    Harakati za mapambano ya kujikomboa hazijawahi kuwa rahisi. Harakati hizi zinahitaji uongozi mahiri wenye kuweka maslahi ya taifa mbele dhidi ya maslahi yote binafsi. Ujio wa Mh. Tundu Lissu Jan 25 unapaswa kuonekana nI mbaraka kamili kutokea kwa Mola na kwa hakika na aje na wenzake. Mama...
  9. J

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda kujenga SGR kuelekea Kenya kwa kuwatumia wakandarasi wa Yapi Merkezi. Je, SGR ya Tanzania itaweza ushindani wa Kenya na Uganda?

    ..Kwanini Tanzania imeshindwa kuwashawishi Uganda kujenga SGR kuelekea kwetu, na sio Kenya? ===== Uganda yafuta mkataba wa China kutengeneza reli ya SGR, yaichagua kampuni inayojenga reli ya Tanzania Serikali ya Uganda imechukua uamuzi huo wa kusitisha mkataba wa Kampuni ya China Harbour...
  10. Raphael Thedomiri

    JamiiForums Tanzania China yatuma ndege 71, meli 7 za kivita kuelekea Taiwan

    Wizara ya Ulinzi ya Taiwan imesema jeshi la China limetuma ndege 71 za kivita na meli saba katika kile ilichokiita "maonesho ya saa 24 ya uchokozi" dhidi ya kisiwa hicho. Taiwan imesema ilifuatilia hatua za China kupitia mifumo ya makombora ya ardhini na kwenye vyombo vyake vya majini...
  11. Patriot

    JamiiForums Tanzania Watu 'Powerful' 12 ni akina nani hadi waachiwe kuharibu Bonde la Ihefu?

    Ni taarifa inayoonesha kwamba hatutaendelea. Tuna kundi la watu wa hovyo, lakini wanaitwa ni powerful! Kwa maoni yako endelea;
  12. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Mambo Matano (5) ya kusisimua ambayo unatakiwa kuyafahamu kuelekea Fainali ya Kombe la Dunia hii leo

    Leo majira ya saa 12 jion kwa saa za Afrika Mashariki kutakua na tukio la kidunia pale Nchini Qatar. Mchezo wa leo utapigwa katika Dimba la Lusail. Match itakua baina ya Miamba ya Ulaya France dhidi ya Miamba ya Amerika kusini Argentina. Katika kuelekea Fainali hii yafuatayo ni mambo 5 Ya...
  13. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Safari Kuelekea Ikwiriri Tamasha la Bi. Titi Mohamed

    SAFARI KUELEKEA IKWIRIRI TAMASHA LA BI. TITI Juma hili kuelekea Tamasha la Bi. Titi lilikuwa na shughuli nyingi kwangu. Ingia toka ya waandishi na makamera yao ya TV yakishushwa kutoka kwenye magari ikawa jambo la kawaida nje ya nyumba yangu. Napokea simu baada ya simu. Haukupita muda...
  14. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Viongozi sasa waanza zoezi la kuwachapa fimbo wapiga Kura kuelekea 2025

    Hili nalo nendeni mkalitizame , mie niko Kwa Biden
  15. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Msiyokuwa na kazi kuelekea 2023 punguzeni kucheza dili za hatari

    Hakuna watu wanacheza Dili za hatari Kama Ma-jobless, that's why wengine wamekataa kuajiriwa na kulipwa ujira wa kijiko wa laki sita hadi Saba. Hii ni kwasababu wanacheza dili za hatari.
  16. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Wajumbe wa NEC-CCM waliopata kura zaidi ya 269 ni hazina kwa CCM kuelekea 2025, wateuliwe

    Dkt. Samia, Mwenyekiti wa CCM Taifa, wajumbe waliyopata kura tajwa hapo juu ni hazina nzuri na inayoweza kutumika chama na serikali yako. Kundi hilo lisiachwe bure au lisirudi mitaani bure, ni watu ambao wanaweza kukitumikia chama na serikali yako. Kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, watu...
  17. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Tuwakumbuke Mashujaa wa Uhuru Waliosahaulika Kuelekea 9 December: Abbas Max (1918 - 1992)

  18. Sicario poison

    JamiiForums Tanzania Msaada wa tatizo la korodani ya mtoto mchanga kupanda juu kuelekea tumboni

    Wasalam JF, Wakuu nina kichanga cha miezi mitatu,tangu akiwa na mwezi mmoja nimekuwa nikimwambia mama yake amchunguze vizuri hasa sehemu za siri. Akawa ananiambia mtoto ana korodani moja sikuchukulia serious kwakuwa alikuwa mdogo nikasema labda bado hayajakua vizuri. Leo hii nimemchunguza...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Kuelekea mkutano mkuu wa CCM Taifa, natamani kuona uongozi mpya wenye ushawishi

    Amani iwe nanyi, Awali ya yote napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutujalia afya njema, amani, upendo, umoja na mshikamano kwa taifa letu. Ni mengi makuu Mungu ametenda maishani mwetu kustahili shukrani kuu. Pia, nakipongeza CCM kwa kudumisha utamaduni wa kuandaa chaguzi za kidemokrasia...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Vijana kufanya maandamano kumuunga mkono Rais Samia kuelekea 2025

    Vijana wanne kwa kila wilaya wameandaliwa kufanya maandamano Mkoani Dodoma baada ya mkutano mkuu wa uchaguzi wa UVCCM. Maandamano hayo yatakuwa ya kuonyesha vijana wanamuunga mkono Mama Samia awe mgombea pekee wa CCM Mwaka 2025. Pia vijana hao watatoa tamko kali sana kwa wanaompinga Mama Samia...
Back
Top Bottom