China yatuma ndege 71, meli 7 za kivita kuelekea Taiwan

Raphael Thedomiri

JF-Expert Member
Sep 1, 2019
442
728
Wizara ya Ulinzi ya Taiwan imesema jeshi la China limetuma ndege 71 za kivita na meli saba katika kile ilichokiita "maonesho ya saa 24 ya uchokozi" dhidi ya kisiwa hicho.

Taiwan imesema ilifuatilia hatua za China kupitia mifumo ya makombora ya ardhini na kwenye vyombo vyake vya majini.

Beijing imekasirishwa na namna ambavyo Rais wa Marekani Joe Biden anavyoichukulia Taiwan hasa baada ya kusema kwamba Washington itailinda Taiwan kijeshi.

Hapo jana, China ilifanya luteka za kijeshi karibu na Taiwan kujibu kile inachosema ni "chokochoko na njama" kati ya Marekani na kisiwa hicho kinachojitawala.

China inadai Taiwan ni sehemu ya milki yake na imeweka wazi kwamba ikibidi itakinyakua kwa nguvu na katika siku za karibuni imeongeza shinikizo la kijeshi, kidiplomasia na kiuchumi dhidi kisiwa hicho.

chanzo
dw.
 
Iddi Amin kwa ukanda wetu angeweza kutuvusha, tatizo mzee mchonga aliamua kutumiwa na mabeberu wa kiingereza, ndio maana mimi kwangu Magufuli atabaki kuwa my best president ever in Tanzania..
Amini aliyeua ndugu zetu Kagera na kujimegea ardhi kwa nguvu ndo mtu wa maana kwako!!!??? Nyie watoto wa 90s kuendelea mnapaswa kurudi shuleni kujifunza historia ya nchi yenu. Babu na Baba zako waliteswa na hilo gaidi unaloliona shujaa alafu kwa "ujinga" wako wa kutojua mambo unakuja kulisifia! Ovyo kabisa.
 
Eti watu wa 90s, age is just a number, hata wapumbavu huzeeka, sijui kama na wewe haumo kwenye hiyo genre….

My point is, ideology za Iddi Amin ndio msingi wa hoja yangu, achana na propagandists akiwemo mzee wetu wa Taifa… hiyo mipaka ya nchi you so proud of where made in Germany by white folks, puppets ndio waliachiwa nchi kipindi cha uhuru hewa, amini usiamini hilo. Iddi alijua kuwakera waliotugawa na alikuwa na mpango kutuunganisha by force kuwa kitu kimoja, huoni siasa za mzee wetu na muungano wa kubembelezana kuchang’anya udongo kimazingaombwe ulivyo acha kero za Muungano mpaka kesho?….

Amerika walikuwa na mtu anaitwa Abraham Lincoln, ilikuwa ni ku-conquer states nyingine by force, ama sivyo tusingekuwa na the big USA today… Babu na bibi zangu wapo from Southern part of Africa all the way up to Israel.

Mtu kama wewe utamuona Putin kichaa, pia utaona NATO ni wendawazimu ila nikuhakikishie the smartest minded person or a nation is about expansion. Kaa hapo hapo kwa kutulia kama dormant community of East Africa. Kagame angekuwa president wa Uganda au Tanzania au hiyo Kongo tungeongea mengine.
 
Kauwa wapi? Idi Amin alichokozwa! Tatizo Historia ya Tanzania inapotosha sana watu.
 
Kama taarifa huna basi tafuta clip za Idi akijitapa kuuteka mkoa kwa kagera na kuufanya sehemu ya Uganda, kipindi hicho vita bado haijaanza na hakukuwa na chokochoko zozote kutoka Tanzania.
Hata kama una chuki na CCM au serikali hupaswi kuvuka mipaka kwa kuichukia nchi yako.
Kwa mbali sana naona chembechembe za udini.
 
Una akili fupi sana, siwezi kujibizana na mjinga wa kiwango hiki!
Kwamba uko tayari ndugu zako wauawe kisa tu kuna mlevi mmoja anataka kuchukua sehemu ya ardhi isiyokuwa yake!? Mipumbavu kama wewe ni ya kunyonga kabisa.
 
Kwa uwezo huo wa kufikiri halafu unaweza kukuta una mke na watoto hyo family ya kuonewa huruma
 
Kama taarifa huna basi tafuta clip za Idi akijitapa kuuteka mkoa kwa kagera na kuufanya sehemu ya Uganda, kipindi hicho vita bado haijaanza na hakukuwa na chokochoko zozote kutoka Tanzania.
Hata kama una chuki na CCM au serikali hupaswi kuvuka mipaka kwa kuichukia nchi yako.
Kwa mbali sana naona chembechembe za udini.
Museveni na wenzake walikua wakifanya nini kwenye misitu ya tabora na Tanga wakiwa na silaha!?
 
Una akili fupi sana, siwezi kujibizana na mjinga wa kiwango hiki!
Kwamba uko tayari ndugu zako wauawe kisa tu kuna mlevi mmoja anataka kuchukua sehemu ya ardhi isiyokuwa yake!? Mipumbavu kama wewe ni ya kunyonga kabisa.
Akina museveni walikua wanaenda kuhujumu Uganda na kurudi kabla ya hiyo 1978
 
Back
Top Bottom