Natafuta Kiwanja kilichoko mbele ya barabara kubwa (Budget-8m)/Goba/Bunju/Salasala/Madale nk)

rodgers123

Senior Member
Jul 12, 2015
159
125
Habari .

Natafuta kiwanja kuanzia maeneo ya Goba/Bunju/Salasala/madale nk ambacho kipo pembezoni mwa barabara kubwa.
Kiwanja kinachofaa kwa kuweka biashara.
Mwenye nacho ani DM.
Shukrani.
 
mkuu kwa bei hio Goba huwezi pata...Goba ni hot cake sana siku hizi..kwa bei hio ni kiwanja kilichopo ndani ndani
 
Habari .

Natafuta kiwanja kuanzia maeneo ya Goba/Bunju/Salasala/madale nk ambacho kipo pembezoni mwa barabara kubwa.
Kiwanja kinachofaa kwa kuweka biashara.
Mwenye nacho ani DM.
Shukrani.
Vipo ila bei zake, naanzia 45m
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom