Mzee Hussen Kheri umeacha Darsa kubwa Ulimwenguni katika Mahusiano

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,471
23,742
Ni miaka zaidi ya 30 nakufahamu mzee wewe wa kipekee kabisa katika suala la mahusiano.uliwahi sema hutogombania K hata iweje.kama mtu mwingine atakula K ya mkeo ukagundua wala si Issue ya kumind.

Itaoshwa tu nawe utaendelea kula kwa wakati wake. Mzee kheri umefariki ukiacha Urithi Ulimwenguni wa watoto zaidi ya 60 kutoka kwa mama mbalimbali.

Kisa ambacho sikisahau ni siku mkeo alipotega mtego wa kugundua mtoto wako anatembea na mama yake mdogo. Mkeo usiku sana aliamka baada ya kusikia mlango wa chumba cha mtoto wako umefunguliwa.

Akaamka na kunyata akamwona mtoto anaingia chumba cha mama yake mdogo akiwa na bukta tu kwenda kumgegeda.mkeo alitoka na kwenda funga mlango kwa nje akapiga ukunga kukuita.

Mzee Kheri uliamka na Panga mkononi ukiwa na bukta tu kukimbilia nje uwani na kumkuta mkeo anasema mwanao...kaingia kwenda kutiana na mama yake mdogo.kauli yako iliacha gumzo sana.

"Aaargh mimi nilidhani kuna wezi humu ndani kumbe dogo anaenda kuosha rungu?" Ukarudi zako ndani ukisonya kuamshwa kwa mambo ya kipuuzi.

Watu wakasema "shamba la bwana kheri na mbuzi wa bwana kheri yote kheri tu"

Hukuwa una gumisha maisha.kwako maisha yalikuwa kitu rahisi na si magumu kama tunavyodhani.

Sasa umewatoka ndugu zako,jamaa na marafiki. Hasa hasa watoto wako tunawaza watakavyojazana hapo kwako... Uwasalimie huko ulikoenda. Mahusiano ni kuenjoy kilichopo na ulisema usibinafishe nafsi na mwili wa mtu. Tumia achana nao na wengine nao watumie.
 
Apumzike salama kiukweli ni somo kubwa sana hasa ukilinganisha na mambo yanayotokea maofisini,makazi ya polisi, vyuoni ni mda wakubadilisha mtazamo
 
"...Usibinafsishe nafsi na mwili wa mtu..." nimependa hiyo. R.I.P
 
Kama anabadilika mambo ya msingi unamwambia tu epeleke moja kwa moja K yake sehemu husika anakoona kunafaa. Wala haina haja ya kugombana.

Ubaya mwanamke akianza kuchepuka anabadilika,heshima na wajibu wake wa nyumbani anasahau
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom