Wapi nitapata Packaging zenye Quality Kubwa (Luxury) Dar?

Black Panther X

JF-Expert Member
Sep 4, 2014
227
650
Natafuta luxury packaging kwa ajili ya bidhaa za vyakula kama makopo na mifuko. Pia nahitaji watu wanaoandaa package za maboksi yaliyoprintiwa au kuprint katika mifuko.
 
Back
Top Bottom