kubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Familia za watuhumiwa ni sababu kubwa ya watu kushikiliwa na Polisi bila dhamana

    Sijui wangapi mna ‘personal experiences’ za kushikiliwa na Polisi kwa kosa lolote lile. Ni kweli Watanzania wengi ni wanyonge sana hasa wanapokuwa mbele ya dola. Hata wenye hela huwa ghafla wanageuka wanyonge hata haki zao zinapogandamizwa. Kwa mazingira na mazoea ya Kitanzania, bado wengi...
  2. Je, ufisadi na ubadhirifu ndio tatizo pekee kubwa kwa nchi za Afika?

    Nimetafakari sana na kujiuliza juu ya hili swali. Maana hata kabla ya kurudi kwa mfumo wa vyama vingi hapa Tanzania na nchi nyingine nyingi za Africa, sababu kubwa iliyoletwa na taasisi kama World Bank na nchi nyingi za wahisani ilikuwa ni kudhibiti ubadhirifu na ufisadi. Wahisani na World...
  3. Kwanini mwaka 1997 ilinyesha mvua kubwa sana ya El Nino lakini maziwa hayakuleta mafuriko?

    (SEE SWAHILI VERSION BELOW: SOMA CHAPISHO LA KISWAHILI CHINI) Big earthquakes might make sea level rise worse. Here's how. The Samoan islands are sinking faster than expected due to warming alone, and a pair of huge quakes is likely to blame. Source: Big earthquakes might make sea level...
  4. D

    CHADEMA inamuandaa mgombea wao wa urais kwa siri kubwa

    Taarifa za ndani zinasema kuwa anaandaliwa Mzee Mabere Nyaucho Marando kuwa mgombea urais kupitia CDM. Mwanasheria huyo nguli ambaye pia ni watu wa mwanzo kuasisi mfumo wa vyama vingi ataibuka kama upepo wa kisuli octoba 2020 hili kufuana na Dkt Jonh Pombe Magufuli.
  5. Nasikia kutakua na beach party kubwa Jumapili ya kusherehekea ushindi dhidi ya Corona

    Kuna mipango kabambe inaandaliwa ya kufanya beach party kubwa sana ya kushangilia ushindi dhidi ya Corona Jumapili na kuna tetesi Diamond platnumz akaongoza shamra shamra hizo, hii imekaaje?
  6. USHAURI: Bado sijaoa, nimeasili watoto wawili kutoka kituo cha kulelea Watoto Yatima bila kutarajia napata changamoto kubwa ya maneno kutoka kwa ndugu

    Habari zenu ndugu zangu, ku-adopt mtoto yatima ilikuwa ni ndoto na lengo langu la mda mrefu sana na hili lilinifanya niwe natembelea vituo vya kulelea watoto yatima na kutoa msaada mara nyingi pale ninapojariwa kitu. Mwaka jana nilienda kutembelea kituo flani cha yatima ili kutoa...
  7. S

    GE2020 Majigambo ya Wana-CCM kuwa Wapinzani hawataambulia chochote: Napata hisi watapa pata pigo kubwa na takatifu litalofuta kabisa ndoto zao na tegemeo lao

    Hivi sasa ni kawaida kusoma au kusikia maoni ya wana-CCM kuwa wapinzani katika uchaguzi mkuu wa baadae mwaka huu hawatapata chochote huku wakiwalenga zaidi CHADEMA na kwa kiasi fulani ACT-Wazalendo. Kuhusu NCCR, kila mwenye akili anaelewa nini kinaendelea na ndio maana huwasikia wakiishambulia...
  8. Afro East ni balaa kubwa

    The first East Africa album trending in Nigeria for two months non stop by @harmonize_tz who recognized as the number one ☝ artist in East Africa right now ,what so special about this album, got the Africa sound, literally what is your favorite song from it? Wanaija wamekubali huu mziki, sasa...
  9. Tatizo sio Magufuli, Watanzania tuna tatizo kubwa zaidi

    Kwa muda mrefu nimefuatilia mijadala na makala mbali zinazohusu taifa letu. Nimeona wengi wakilalamika, wakikosoa hata kutukana mamlaka kubwa zaidi ya nchi yetu. Nilichogundua Watanzania wengi wanaelekeza lawama kwa mtu, wanamkosoa sana Rais wetu, wanamzodoa kwa hatua mbalimbali lakini hawajui...
  10. Uingereza: Idadi ya vifo kwa wanaoguziwa nyumbani ni kubwa kuliko walioko hospitali

    Vifo vinavyotokana na CoronaVirus vya wagonjwa wanaouguziwa nyumbani inaongezeka kwa kasi kuliko wale wanaoguziwa hopitalini Ofisi ya Takwimu ya Uingereza yasema Katika wiki iliyoisha Mei 1, vifo vya CoronaVirus viivyotokea katika nyumba binafsi vilikuwa ni 35.7% ya vifo vyote, na idadi hiyo...
  11. H

    Wasafi media leo watafanya tukio kubwa

    Mkurugenzi na CEO wa Wasafi media Diamond Platnumz amethibitisha leo kutakuwa na press pale Wasafi head quarter kwa kampeni inaitwa " Chuma kimeingia" .Tukio Hilo litarushwa kuanzia saa 5 Asubuhi wasafi tv, Wasafi FM na Channel yao ya YouTube Wasafi media haijulikani nikutambulisha mtangazaji...
  12. Fahamu gunduzi kubwa zilizoanza kuvumbuliwa Afrika (Misri) kabla ya Wazungu

    Salute Nakumbuka kipindi nipo secondary kwenye masomo yangu pendwa hasa Biology karibia kila terminology nililiyokua nasoma kwenye definition yake ilikua inaanza na maneno “it’s a Greek word”, swali kubwa nililokua nabaki nalo na mpaka sasa hua najiuliza ni kwamba..Je wagiriki ndio watu wenye...
  13. Chato inafaa kujengwa Ikulu kubwa baada ya Dar es Salaam

    Chato ni eneo zuri ki ulinzi kwa kiongozi ikibidi zaidi ya Dar es salaam na Dodoma 1. Kiusalama imezungukwa na ziwa Lina visiwa zaidi ya 60; Ni rahisi kuondoshwa kupitia njia ya Maji 2. Ulinzi : Kuna vikosi vikubwa vinne . Biharamulo,Ngara, Rwamishenye,Kaboya na Kwa Mbali Mwanza . Kiulinzi...
  14. Nini kitatokea endapo litachimbwa shimo kubwa kutokea upande wa pili wa dunia?

    Tukiachana na layer na sifa zake kwa kuongezeka joto kadri mtu unavyo zidi teremka chini ya ardhi Layer zenyewe zikiwa zinajulikana kama, -mantle(2) -crust(1) -core(3) Je unaisi itakuaje mtu akichimba shimo kutoka pande moja ya dunia shimo litokee upande wapili je akiruka kudumbukia kutoka...
  15. J

    Tatizo letu kubwa lipo kwenye mfumo wetu wa Elimu ndiyo maana tunazalisha viongozi dhaifu

    Habari wana jamvi, Nimefuatilia kwa muda mrefu jinsi mambo yanavyo endelea nchini mwetu katika nyanja mbalimbali, nimegundua kuwa tatizo ni kubwa mno hasa kwasababu linaanzia kwenye mfumo wetu wa Elimu. Mwishoni nitajitahidi kufafanua. Kifupi ni kwamba waliotakiwa kuongozwa ndio wanatuongoza...
  16. Zitto aituhumu Serikali kuficha takwimu za wagonjwa na vifo vya COVID-19, adai Zanzibar pekee vifo ni 32 na wagonjwa 235

    Kwa mujibu wa ripoti ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar SMZ iliyochapishwa kwenye ukurasa wa kijamii wa Twitter wa mbunge Zitto Kabwe ambayo imetoka ndani ya Serikali, inaonyesha kuwa mpaka jana mei 6, 2020 Zanzibar ina visa vya COVID 235 na vifo vitokanavyo na ugonjwa huo vipatavyo 32...
  17. Kelele na hofu kubwa ya COVID-19 ni filamu ya Mission Impossible 2 (2000) kwa vitendo?

    Are the Pharmaceutical industries running the show? Hii kelele na hofu kubwa ya COVID-19 ni kama filamu la Mission Impossible 2 (2000) kwa vitendo?. Mataifa yote duniani tuna chezeshwa mchezo kama wa kampuni ya kusadikika iitwayo Biocyte Pharmaceuticals wa kutengeneza Chimera Virus na tiba...
  18. Kwanini asilimia chache tu ya wanaume wa Ki-Africa ndio huoa Wazungu na kati ya hao asilimia kubwa huoa wazee?

    Hili suala mimi binafsi limekuwa likinitesa sana pamoja na kuwa nje kwa mda mrefu na mahusiano tofauti tofauti lakini linapokuja suala la kuoa napata wakati mgumu sana nikiwa naamini kwamba mwanamke wa ndoto yangu atatoka ukanda wa Africa mashariki. Na hii sio kwangu tu black wengi ambao...
  19. Rais Kagame amesema , Rwanda itategemea sayansi katika mapambano dhidi ya CORONA

    Rais Kagame amesema Rwanda itategemea science katika mapambano dhidi ya CORONA. Amesema hayo akijibu swali la mwandishi alie muuliza kuhusu dawa ya Madagascar, "tunategemea zaidi Sayansi kuna mengi ya kujifunza kuhusu hiki kirusi na namna ya kukabiliana nacho " alisema Kagame. ======== On May...
  20. Je, ni msanii gani Tanzania unatumia nguvu kubwa sana kumtetea utafikiri unalipwa?

    Hey Hey! Note: COVID-19 is REAL Chagua kwa uangalifu wa kumskiliza. BACK TO THE TOPIC. Je, ni msanii gani hapa Tanzania umekuwa unaumia sana akitukanwa au kukosolewa na hivyo kupelekea wewe kutumia nguvu kuuubwa sana kumtetea mitandaoni na vijiweni utadhani unalipwa?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…