kubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GE2020 Ushauri: Makonda chukua fomu ugombee Urais kupitia upinzani hasa UDP, una nguvu kubwa sana na ushawishi kwenye jamii, utashinda kwa kishindo

    Makonda ni moja ya wanasiasa mahiri mwenye kipaji cha hali ya juu, ana ushawishi, ana watu, ana nguvu kubwa,anapendwa,anakubalika, anajua kujenga hoja. Yote hayo sana CCM hawakuyaona,wakamkataa kwenye kura za maoni,kumkataa kwao walikuwa wanatimiza tu injili ya "jiwe kuu la pembeni". Kwa kuwa...
  2. "Kipita kushoto" cha Msamvu ni kikubwa kuliko vyote Afrika Mashariki na Kati na mzani wa Dakawa-Dumila una eneo kubwa kuliko mizani yote Tanzania

    Kwa wale wasafiri mtakubaliana na Mimi juu ya andiko hili. Keep left ya Msamvu ndio yenye kipenyo/mzingo mkubwa kuliko vyote East and Central Africa. Na mzani wa Dakawa-Dumila ndio wenye eneo kubwa sana kuliko mizani yote Tanzania. Una urefu wa almost km 1 na upana mkubwa sana huku ukirembwa na...
  3. Lupaso, Mtwara: Rais Mstaafu, Hayati Benjamin William Mkapa azikwa kwa Heshima

    Historia ya Benjamin Mkapa MFULULIZO WA MATUKIO MBALIMBALI YALIYOTOKEA WAKATI WA MSIBA NA MAZISHI YA HAYATI MZEE BENJAMINI WILLIAM MKAPA WANANCHI WASIMAMA BARABARANI KUAGA MWILI WA RAIS MKAPA Wananchi wa maeneo mbalimbali ya Dar es Salaam, wameonekana wakisimama barabara kuonyesha heshima kwa...
  4. Risala ya Dkt. Shein: Kifo cha Mkapa kimeacha pengo kubwa katika uongozi na maendeleo

    KIFO cha Marehemu Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Bejamin William Mkapa kimeacha pengo kubwa katika uongozi na maendeleo ya Tanzania, Afrika na duniani kote kwa mchango wake uliooendelea kuhitajika ndani na nje ya mipaka yaTanzania. Rais wa Zanzibar na...
  5. Membe: Rais Mkapa alithamini sana matumizi ya akili kubwa katika uongozi

    Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania, Bernard Membe amesema kuwa Rais wa Awamu ya Tatu, Benjamini Mkapa, alikuwa Kiongozi wa dunia, mshauri wa masuala ya Uchaguzi na kinara katika kulisaidia bara la Afrika kutatua migogoro bila kuchoka Amesema siku zote Mkapa alikuwa anathamini akili...
  6. J

    Misa ya Mkapa: Nimeona tofauti kubwa kati ya maaskofu wa Katoliki na wale wa makanisa kama la Gwajima!

    Kuanzia uvaaji, nidhamu ya ibada hadi swala la kuzingatia muda maaskofu wa Katoliki wako vizuri. Nimesikiliza mahubiri ya mhashamu baba askofu Ngalale Kumtwa hayakuwa na mbwembwe wala malalamishi bali yalijaa busara, hekima na upendo. Kiukweli ipo tofauti ya kutosha kabisa baina ya maaskofu wa...
  7. Y

    Je, ni ipi sababu kubwa ya ongezeko la singo maza kwa sasa?

    Natumai hamjambo wanabodi. Miaka ya sasa kumekuwa na ongezeko kubwa sana la singo maza mitaani, je sababu kubwa ya ongezeko hili hasa ni ipi kati ya zifuatazo: 1. Malezi mabovu ya wazazi wa sasa 2. Utandawazi 3. Kizazi cha sasa ndo kilivyo karibu tujadili
  8. GE2020 Wana JF, nipeni Pole. Msinicheke wala msinibeze; nimegombea ubunge Kawe kupitia CCM nimeambulia kura 1. Ama kweli CCM ina wenyewe!

    Wanabodi, Hili ni bandiko la ombi maalum kwa Wana JF wenzangu, nawaombeni sana mnipe pole na msinicheke, wala msinibeze, kujaribu kugombea ubunge wa Kawe kupitia CCM, nimeambulia kura 1! Japo nimeshindwa kwa kupata kura moja, lakini sababu za mimi kugombea ni very valid na very genuine...
  9. Kuna siri gani kubwa huwa imejificha nyuma ya Walinzi 'Mabodigadi' wa Marais (Viongozi) ulimwenguni?

    1. Anaweza kusimama muda mrefu bila kuchoka wala kutikisika hata kama Inzi ametua Mdomoni au Jichoni. 2. Hasikii Haja Ndogo mara kwa mara kama tulivyo Sisi wengine ambao kila baada ya dakika 45 tunaenda Kukisalimia Choo. 3. Hata ikitokea akasikia (akapatwa) na Haja Kubwa awapo Kazini kuna...
  10. Ahadi za faida kubwa, hufanya masikini wengi watapeliwe kirahisi

    Maskini hutapeliwa zaidi na hii ni sababu kubwa, weka laki moja baada ya miezi mitatu utarudishiwa laki tatu Utapeli kimsingi upo tangu enzi na kila mtu anaweza kutapeliwa kwa namna moja au nyingine James Randi alisema, No matter how smart or educated you are, you can easily be deceived. So no...
  11. GE2020 Mama Salma Kikwete achukua fomu ya kuwania kuteuliwa kugombea jimbo la Mchinga kupitia CCM

    Salma Kikwete ambaye ni Mke wa Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete amechukua fomu ya kuwania Ubunge Jimbo la Mchinga, Mkoani Lindi kupita Chama Cha Mapinduzi (CCM) Machi 2017, Salma ambaye ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM aliteuliwa na Rais Magufuli kuwa Mbunge wa Jamhuri ya Muungano wa...
  12. GE2020 Wakili Methusela Gwajima amechukua fomu kuomba ridhaa ya kuteuliwa kugombea ubunge jimbo la Kawe kupitia CCM

    Wakili Methusela Gwajima leo Iulai 15, amechukua fomu kuchuana na kaka yake Askofu Josephat Gwajima pamoja na watia nia wengine ambao wamechukua fomu kuwania Jimbo la Kawe kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Habari Star TV Tanzania Unaweza kudhani ni Hatua nzuri ila hapa kwa Jicho la...
  13. Tuwe wakweli: Ubunge umekuwa rahisi na usiotisha tena. Kuna wa kulaumiwa au kupongezwa?

    Mimi si mtu mzima sana ingawa nami najongea miaka ya kuweza kugombea Urais wa Tanzania kwa mujibu wa Katiba yetu ya sasa(miaka 40). Hatahivyo, nimekuwa mfuatiliaji mkubwa wa siasa na mambo ya kinchi tangu nikiwa mdogo. Leo, nitalizungumzia Bunge kama Mhimili mmojawapo wa dola. Mingine, wengi...
  14. D

    Mkandarasi anayejenga lami Kigamboni baada ya daraja (Mnadani) hazingatii kanuni za ujenzi; ni kero kubwa kwa wapita njia

    Mkandarasi aliyepewa kumalizia kuweka lami eneo korofi baada ya kuvuka daraja la Kigamboni (Mnadani) amegeuka kero kubwa Sana kutokana na staili yake ya ujenzi usiozingatia kanuni za ujenzi! Kanuni za ujenzi zinamtaka Mkandarasi kutumia Alama na michoro (posters) kutoa maelekezo kwa watumia...
  15. S

    GE2020 Wabunge wa CHADEMA waliokataa kununuliwa wana nafasi kubwa sana ya kuchaguliwa tena na hii ni ishara ya anguko la wale waliouza utu wao

    Kwa mtazama wangu, matokeo ya kura za maoni ya watia nia wa CHADEMA, yanadhihirisha jambo moja kubwa: Wabunge waliokataa kuuza utu wao, wameaminika sana kwa wananchi na hivyo wana nafasi kubwa sana ya kushinda katika uchaguzi kama walivyoshinda katika kura za maoni. Mfano ni matokeo haya ya...
  16. Utegemezi wa Wadada kwa Wanaume au wapenzi wao

    Kwa asilimia kubwa wadada wengi ni wategemezi kwa wanaume au wapenzi wao, hata kama wao wana kazi nzuri inayowalipa vizuri lakini bado watategemea cha mwanaume wake. Kwa hali hiyo wakuu si bora uoe au utafute mpenzi (mdada) ambaye ni jobless tu. Cha kwake ni cha kwake, na cha kwako ni cha kwenu...
  17. Kuna wimbi kubwa la vijana wanofanya kazi online

    Blogging Forex Affiliate marketing Freelancers, n.k Hata saa iliyoganda inaweza kuwa na msaada kama muda unaendana na pale ilipogandia lakini zaidi ya hapo ni hasara kubwa. Kumekuwa na wimbi la vijana kujifungia ndani muda wote wakiwa wanatafuta pesa mtandaoni kwa niia nlizozitaja hapo juu...
  18. Hivi sifa kubwa ya kuteuliwa na Rais kwenye nafasi za utumishi wa Umma ni kuwa kada kindaki ndaki wa CCM?

    Tumemsikia mara kwa mara Rais Magufuli wakati akihutubia akisema kuwa maendeleo hayana vyama, akimaanisha kuwa serikali yake haina upendelo linapokuja suala la maendeleo ya nchi, kuwa kila mwananchi anayo haki sawa Lakini, maneno hayo yana tofauti kubwa katika utendaji wake katika uteuzi wake...
  19. J

    Sifa kubwa ya mwanamke mdangaji

    Leo nataka ujue namna ya kujua mwanamke ambae anadanga. Yani ile umemfia ile mbaya unajitahidi kuhudumia lakini sasa hujui kama anadanga. Sifa yao kuu ni moja tu: UONGO. Sikiliza sana ulimi wao, sifa kubwa ya mwanamke mdangaji ni uongo na pretence.
  20. Aliyekuwa Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari na Willy Qulwi Qambalo wa Karatu wajiunga CCM na kupokelewa na Mwenyekiti wa UVCCM Taifa

    Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki kupitia Chadema, Joshua Nassari na mbunge wa sasa wa Karatu, Willy Qulwi Qambalo wameondoka rasmi ndani ya chama hicho na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM). Wamepokelewa na Mwenyekiti wa UVCCM Taifa pamoja na viongozi wengine wa Chama mkoa wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…