Maadui wakubwa wa taifa hili wamekuwa siku zote ni ujinga, maradhi na umasikini.
Miaka 60 ya uhuru leo tungali humo humo.
Hali halisi tishio jipya la corona
Leo hii pamoja na tahadhari zote za wataalamu wabobezi, ujinga ungali umetughubika vilivyo.
Kwa maana halisi, ujinga ni kudhani wajua...