kubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    JamiiForums Tanzania Rais Samia na Wasaidizi wake wapunguze pressure; support aliyonayo ni kubwa sana

    Tukio la juzi la police kuvamia wa mama wa chadema ilikuwa ni aibu sana, yaani wame react baada ya Mbowe kusema atapeleka watu barabarani? Trust me hata leo Chadema wakisema wanaingia barabarani hawatapata sapoti ambayo polisi wanadhani itakuwepo, punguzeni mihemko ya kitoto. Tena kama...
  2. JamiiForums Tanzania INAUZWA Tunauzwa vitu mbalimbali (Pazia, Chuma za Pazia, Net, Kava za Makochi, Mashuka nk)

    Je Umechoka muonekano wa sofa zako na ungependa kuzipa muonekano wa tofauti na wakisasa zaidi? SALE SALE SALE Sofa la mmoja ni 30000 Sofa la wawili ni 44,000 Sofa la watatu ni 54,000 ●Tuma kochi zako WhatsApp 0713691101 upate ushauri na sample za cover zilizopo 1: Hazipauki wala kuchuja...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Madai ya Katiba Mpya: inawezekana CHADEMA wana baraka za Rais ila kwa siri kubwa

    Jicho la tatu linaniambia kuwa huenda Mama ana agenda ya Katiba Mpya ila anajua wenzake hawaitaki, hivyo kaamua kuwatumia CHADEMA kwa siri kubwa kuamsha madai ya Katiba Mpya. CHADEMA wanaweza kuendelea na hii agenda bila vikwazo huku MATAGA wakiwa hawelewi halafu mwisho wa siku Mama anawaunga...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Hawa watu wanaondoka kawaida au kuna system inawaondoa kwa kutumia akili kubwa sana?

    Habari Wakuu, Inafika hatua naanza kujiuliza hawa watu wanaondoka katika mazingira ya kawaida tu au kuna system inawaondoa kwa kutumia mbinu zilizoenda shule? Yaani Bwana yule na watu wake wa karibu, wanaondoka mmoja baada ya mwingine, huku yule mwingine akiponea chupuchupu baada ya kudaiwa...
  5. JamiiForums Tanzania Waziri wa Mambo ya Nje: Wawekezaji na Wafanyabiashara sasa wanarudi, foleni Wizarani ni kubwa

    Namsikiliza mama Waziri hapa anasema kuwa hali ilikuwa mbaya ila Wawekezaji wanarudi kwa kasi, foleni za Wafanyabiashara kutoka nje zimekuwa kubwa, na baadhi ya mabalozi wakiri kurahisishiwa kazi na mtindo wa Samia alioanza nao kwani kabla kujitetea kulikuwa ni kwingi mno. SOURCE TBC 1 SIKU...
  6. M

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba kubwa kwenye kiwanja hekari 1 na nusu - Madale

    Habari! Nyumba kubwa (haijaisha) yenye sifa zifuatazo ikiwa ndani ya kiwanja chenye ukubwa wa Hekari 1 na nusu inauzwa: 1. Sebule kubwa (6M × 8M) 2. Dining room kubwa (4M x 4M) 3. Jiko kubwa (3M x 5M) 4. Vyumba vitatu vikubwa, kimoja master 5. Public toilet 6. Stoo kubwa. 7. Kuna miembe na miti...
  7. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini kusafirsha mwili au maiti toka nchi za nje Ni gharama kubwa sana

    Wadau ebu leo tujadili ili kwanini kusafirisha maiti ni gharama kubwa mno kuliko kusafiri mtu ukiwa mzima na ikiwa maiti inakuja tu kama cargo na mtu unakaa ata vip lakini uwezi kuwa na gharama za maiti yaani nabaki najiuliza sipati jibu.
  8. JamiiForums Tanzania Web developers let's change Tanzania's government web applications look and feel!

    Wakuu za kushinda, natumaini ni wazima wa afya, moja kwa moja nishukuru wadau wote pamoja na kuwa hatufahamiani ila laweza kuwa wazo zuri na jema, mtapendekeza wenyewe. Nilikaa chini na kutafakari kwa kifupi wala si kwa kina hivyo nimeleta hoja hii wadau mchambue tuone. Hizi interface za...
  9. JamiiForums Tanzania Fremu kubwa sana ya biashara inapangishwa mbezi mwisho

    Fremu kama inavyoonekena ipo mbezi mwisho mitaa ya mbezi kwa Yusuf. Inafaa kwa biashara mbali mbali kama duka,ofisi,medical laboratory,dispensary,microfinance, nursery and daycare,tuition center na nyingine nyingi. Bei ya kupanga fremu ni laki tano kwa mwezi . Ukihitaji kuona fremu nicheki 📞...
  10. P

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai, mtumie Katibu wa Bunge kwa majukumu yanayomhusu

    Mh SPIKA, Bunge ni mhimili wenye idara na vitengo ndani ya ofisi ya Bunge. Mh SPIKA, Katibu wa Bunge anaweza kutolea ufafanuzi wa jambo la utendaji wa ofisi ya Bunge inapohitajika kwa waandishi wa Bunge. Mh SPIKA, Mambo ya malipo halali/si halali wajibu watu wa ofisi ya Bunge/Hazina au Katibu...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Kama kuna kosa kubwa kwa miongo 3, hili la mfumo wa uajiri kisiasa limezidi

    Nazungumzia mfumo Wetu wa uajiri na siasa zetu za vyama namna lilivyoathiri. Ukweli ni kwamba tumeendekeza siasa ambapo chama kilichoshinda Iwe Kwa haki au mizengwe ndio kinaunda serikali na Kuwa na ushawishi kwenye Ajira zote nyeti. Hatimae kwa takriban miongo mitatu sasa athari iko wazi...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Chama cha Mapinduzi charidhishwa na kutambua juhudi kubwa zinazochukuliwa na Serikali ya Rais Samia katika Sekta ya Uwekezaji

    Chama cha Mapinduzi kimesema kinaridhishwa na kutambua jitihada kubwa zinazochukuliwa na serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan katika sekta ya uwekezaji ambapo mazingira ya mazuri ya kuaminika na kuvutia ya uwekezaji nchini yamepelekea milango ya uchumi wa nchi kuanza kufunguka kwa kasi...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini kama Taifa Corona ni tishio kubwa?

    Maadui wakubwa wa taifa hili wamekuwa siku zote ni ujinga, maradhi na umasikini. Miaka 60 ya uhuru leo tungali humo humo. Hali halisi tishio jipya la corona Leo hii pamoja na tahadhari zote za wataalamu wabobezi, ujinga ungali umetughubika vilivyo. Kwa maana halisi, ujinga ni kudhani wajua...
  14. P

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa na Machinga (Jeshi kubwa)

    Majiji na Miji mingi kwa kipindi cha miaka kadhaa iliyopita imekuwa ikijenga masoko mazuri ya ghorofa kama masuper market yenye thamani kubwa. Machinga/Mjasiria Mali ana tabia za maisha ya bata. Tania hizi zimefanya vizimba kukosa wateja. Je, tunatatua tatizo kujenga masoko ya maghorofa au...
  15. P

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli ameacha legacy ya kuthubutu kufanya kitu bila ya kuomba ruhusa kwanza kwa mfadhili yeyote

    Viongozi wa kisiasa wana kazi ngumu sana. Kutakiwa kumridhisha kila wanayemuongoza kwa kadri ya uwezo binafsi, ni mtihani mgumu. Ni vigumu kwa kila anayeongozwa na kiongozi fulani kuwa na mtazamo ule ule kama wa mtu mwingine. Naamini kabisa kwamba hayati John Magufuli hakuwa na sifa ya kiongozi...
  16. JamiiForums Tanzania Kwa Kauli hii ni rasmi kuwa Msemaji wa Yanga SC Hassan Bumbuli ana Akili Kubwa kuliko Wanayanga wote na mpaka Injinia Hersi wa GSM

    "Hivi ni kwanini Waandishi wa Habari wa Michezo wa Tanzania mnapenda sana Kuzusha na Kutuchonganisha Yanga SC na Vilabu vyenye hao Wachezaji mnaotuhusisha nao kuwa tumeshawasajili? Ukweli ni kwamba mpaka hivi sasa naongea nawe hivi Yanga SC haijasajili Mchezaji yoyote yule kutoka nchi yoyote na...
  17. JamiiForums Tanzania Walimu wa English medium wana nafasi kubwa ya kufunga ndoa na wazazi wakina Junior

    Wale wazazi vijana wengine walipata watoto wakiwa vyuoni na kuingia katika soko la ajira wakiwa ni wazazi bila ndoa. Wenginge walitengana na wenza, wengine walifiwa hupelekwa. Kama uwezo upo, hakuna asiyependa elimu nzuri kwa watoto wake. Wakina Junior wengi hupelekwa kusoma English Medium...
  18. JamiiForums Tanzania Tunaosimama na Sabaya hatuipingi Serikali, tunapambana dhidi ya dhuluma na uonevu kwa waliojitolea kupambania Taifa

    SABAYA FOR CHANGE (S4C) Another day, better than Yesterday. Katika simu na jumbe nyingi nilizopokea swali lililojirudia mara nyingi ni "Iwapo Sabaya anashtakiwa na Serikali, je nyinyi mliosimama kwa upande wa sabaya mmeamua kupambana na Serikali?" UFAFANUZI WA KWANZA: Well, Hatupambani na...
  19. JamiiForums Tanzania Kurudisha kodi ya kichwa nyakati hizi za ulimwengu ulioendelea ni aibu kubwa. Mwigulu Nchemba kuwa na aibu. Mbona kuna vyanzo mbadala vingi

    Kwanza ieleweke wazi kuwa kodi ya itayolipwa na wananchi kupitia manunuzi ya vocha za simu ni sawa na kodi ya kichwa waliokuwa wanatoza wakoloni kisha tukairithi na baadae kuondolewa miaka tisini baada ya kuwa ni kodi inayodhalilisha watu. Kwamba ukiongeza salio unakatwa pesa ili kuchangia...
  20. JamiiForums Tanzania Kundi la vijana ni silaha kubwa ya mageuzi vizazi vijavyo hapa nchini Tanzania

    Ndugu wanajamvi leo nataka nigusie kuhusu wimbi letu la vijana wa hili taifa la Tanzania: Moja, vijana tupambane katika kutafuta riziki ya kila siku vijana tujikubali na tuweze kuuachia ubongo uweze kutafsiri vyema namna ya kupambana na maisha ya kawaida ya kila sikh na so kutegemea mtu ama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…