Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,708
- 5,711
Suala la taifa letu kuwa na katiba mpya tusiliangalie kwa upande mmoja tu wa shilingi.
Katiba tuliyonayo ina mapungufu makubwa sana ambayo hayamnufaishi mwananchi wa kawaida mwenye maisha duni.
Wananchi wanahitaji katiba itakayowapa nguvu ya kuonekana kuwa wana maamuzi kwenye nchi yao.
Tunahitaji katiba ambayo tutaweza kuwafuta kazi mawaziri wasiofaa kama Mwigulu Nchemba sisi kama wananchi, sio mpaka aliomteua amfute kazi.
Vipi kuhusu wananchi wa kawaida kuwa na uwezo kudai haki za ndugu zao waliouliwa na vuombo vya dola? Maana kwa sasa wananchi hawarusiwi kufungua kesi. Mpaka jamhuri tu ifungue kesi.
Hawa wananchi ambao sasa hawarusiwi kufungua kesi ndio hawa ndugu zao wanauliwa na askari wasiopenda haki bila makosa huku haki za ndugu zao zikipotea.
Wengi wa hawa wananchi wa kawaida na wenye maisha duni ni wafuasi na wapenzi wa Ccm
Hivyo tuache kuzuia upatikanaji wa katiba mpya. Maana itakuwa na manufaa makubwa kwa taifa letu.