Nawashwa kwenye njia ya haja kubwa

Hzo ni minyoo,huenda dawa haijazifikia tu,endelea kusubir zaid tatzo litaisha.

Hzo minyoo huwa na tabia ya kisenge sana zinasababsha muwasho kwenye marinda ili ujikune kwa vidole baadae usahau uweke vidole mdomoni ili viendeleze circle life yake,hayo ni mayai yake ndo yanakuwasha,yametagiwa kwenye marinda,kwahyo utajkuna baadae unayaweka mdomon yanaenda kuanguliwa kwenye utumbo mwembamba
 
images (47).jpeg

Kwanini chips? Kwasabab zawekwa kwenye sahani ambalo halijakaushwa vizuri maji
images (45).jpeg


Kwanini kqchumbari? Maandalizi yake yameandaliwa na mikono michafu mtu kajikuna huko na yeye anakata nyanya na wewe baadae unaenda kula.
images (46).jpeg

Kwanini mihogo? Kwasababu mmenyaji hajajisafisha vyema mikono hivyo kujisababishia maambukizi tumboni.

Suluhisho? Waone madaktari.
 
Back
Top Bottom