Mambo 5 ya kuyajua kwenye mapenzi pindi yanapobadilika usipate athari kubwa

Jul 14, 2021
25
26
Hukizunguzia mapenzi hakuna yaliyomuacha kila mtu yamemgusa kwa namna moja au nyingine. hapa chini nmeandika mambo 5 ambayo unatakiwa kuyajua ili uhepukane na athali kubwa za mapenzi.

1) MWAMINI MWENYEZI MUNGU
Ukimuamini mwenyezi mungu utakuwa mtu wa subla, na subla inamfanya mtu asikurupuke kwenye Jambo loloto kwa hiyo hii itakufanya kuepukana na matukio ambayo yataathiri maisha yako.

2). TAMBUA KILA KITU KINA MWISHO
Jamani vijana wenzangu tutambue kila kitu kina mwisho ukiona Kuna mabadiliko kwenye mahusiano yako jua mwisho umefika kwaiyo ukilazimisha mana unataka kukataa mwisho kitu ambacho hakiwezekani.

3). KUBALI MABADILIKO
Kila kitu kinabadilika kwenye hi dunia kutokana mabadiliko hayo huna budi na ww kuyakataa. mf. zamani wanawake walikuwa wa mama wa nyumbani, lakini siku hizi na wao wanangaika kutafuta kwaiyo mwanaume ukitaka mkeo awe mama wa nyumban utagombana na mkeo mwisho mahusiano yavunjika

4).USIFOSI MAPENZI
Kadli unavyofosi mapenzi na kumfatafata mtu ndivyo unaongeza maumivu na maumivu yanavyo kuwa makali ndo chanzo cha kufanya mambo ya ajabu na kuathili maisha yako.

5). BINADAMU AMILIKIKI
Kwenye huu ulimwengu utamiliki vitu vyote lakini sio binadamu mwenzeko, binadamu anajiendesha kwaiyo uwezi kummiliki angle zote, kwaiyo ukimwambia kitu kimoja atakubali kingine hatofanya kwaiyo uwe fair. lakini ukitaka afanye kila kitu unachokitaka. Chanzo cha migogolo mwisho ambayo itakufanya uone mapenzi magumu. Wewe kijana mwezangu mtazani ishi na mambo matano ayo ili tuepukane naathari kubwa za kimapenzi.
 
Jaman vijana wenzangu tutambue kila kitu kina mwisho ukiona Kuna mabadiliko kwenye mahusiano yako jua mwisho umefika kwaiyo ukilazimisha mana unataka kukataa mwisho kitu ambacho hakiwezekani.

3). KUBALI MABADILIKO

Kila kitu kinabadilika kwenye hi dunia kutokana mabadiliko hayo huna budi na ww kuyakataa. mf. zamani wanawake walikuwa wa mama wa nyumbani, lakini siku hizi na wao wanangaika kutafuta kwaiyo mwanaume ukitaka mkeo awe mama wa nyumban utagombana na mkeo mwisho mahusiano yavunjika

4).USIFOSI MAPENZI

Kadli unavyofosi mapenzi na kumfatafata mtu ndivyo unaongeza maumivu na maumivu yanavyo kuwa makali ndo chanzo cha kufanya mambo ya ajabu na kuathili maisha yako.

5). BINADAMU AMILIKIKI

Kwenye huu ulimwengu utamiliki vitu vyote lakini sio binadamu mwenzeko, binadamu anajiendesha kwaiyo uwezi kummiliki angle zote, kwaiyo ukimwambia kitu kimoja atakubali kingine hatofanya kwaiyo uwe fair. lakini ukitaka afanye kila kitu unachokitaka. Chanzo cha migogolo mwisho ambayo itakufanya uone mapenzi magumu. Wewe kijana mwezangu mtazani ishi na mambo matano ayo ili tuepukane naathari kubwa za kimapenzi.
usicheze na mapenzi wewe!!! Kile ni Kifo???!

Yaani nimuache Kirahisi tu mutu niliyempenda unaumwa wewe?

Dawa zooote hizi tena bei rahisi tu!!! Ukiniacha wallah!! ntakuroga mpaka utambae kwa ulimi. Na hkn dawa ya kukuponya!!!kamwe huoi tena.

Hujawahi kupenda wewe ukaona roho inavouma km kidonda kila ukimuona au bado mtoto weye...

labda mie ndo nikuache hapo sawa....lkn siyo kuachwa mwee!! Shughuli pevu!

Ukiona mtu anaachwa kiubwete anacheka jua kabisa hajapenda huyo..

Hujawahi sikia mapenzi yana run Dunia?? Ulidhani waliosema hivi walikuwa wanachoma nguru???

Endelea na huo mchezo iko siku utaangukia mikono htr inayopenda kweli!!!!! utaimba haleruya milele....

Elewa mapenzi ni moto htri usiukaribie.

Mbaya zaidi ukiwa na hela.nyumba.gari.meli.elimu.handsome.cheo.madaraka.ndege nyingi.mabasi.treni...Weee.
 
Hukizunguzia mapenzi hakuna yaliyomuacha kila mtu yamemgusa kwa namna moja au nyingine. hapa chini nmeandika mambo 5 ambayo unatakiwa kuyajua ili uhepukane na athali kubwa za mapenzi.

1) MWAMINI MWENYEZI MUNGU
Ukimuamini mwenyezi mungu utakuwa mtu wa subla, na subla inamfanya mtu asikurupuke kwenye Jambo loloto kwa hiyo hii itakufanya kuepukana na matukio ambayo yataathiri maisha yako.

2). TAMBUA KILA KITU KINA MWISHO
Jamani vijana wenzangu tutambue kila kitu kina mwisho ukiona Kuna mabadiliko kwenye mahusiano yako jua mwisho umefika kwaiyo ukilazimisha mana unataka kukataa mwisho kitu ambacho hakiwezekani.

3). KUBALI MABADILIKO
Kila kitu kinabadilika kwenye hi dunia kutokana mabadiliko hayo huna budi na ww kuyakataa. mf. zamani wanawake walikuwa wa mama wa nyumbani, lakini siku hizi na wao wanangaika kutafuta kwaiyo mwanaume ukitaka mkeo awe mama wa nyumban utagombana na mkeo mwisho mahusiano yavunjika

4).USIFOSI MAPENZI
Kadli unavyofosi mapenzi na kumfatafata mtu ndivyo unaongeza maumivu na maumivu yanavyo kuwa makali ndo chanzo cha kufanya mambo ya ajabu na kuathili maisha yako.

5). BINADAMU AMILIKIKI
Kwenye huu ulimwengu utamiliki vitu vyote lakini sio binadamu mwenzeko, binadamu anajiendesha kwaiyo uwezi kummiliki angle zote, kwaiyo ukimwambia kitu kimoja atakubali kingine hatofanya kwaiyo uwe fair. lakini ukitaka afanye kila kitu unachokitaka. Chanzo cha migogolo mwisho ambayo itakufanya uone mapenzi magumu. Wewe kijana mwezangu mtazani ishi na mambo matano ayo ili tuepukane naathari kubwa za kimapenzi.
Ingawa umechelewa kujiunga JF namshukuru mungu kwa kusoma uzi wako, nina imani kwamba una maarifa mengi ubado hujaanza kuyatumia...
 
Back
Top Bottom