kuanzia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Israel kwenye kesi ya ICJ - nchi 52 kutoa ushahidi kuanzia Feb 19-26

    Wanakumbi. 🚨🇮🇱ISRAEL KWENYE KESI YA ICJ - NCHI 52 KUTOA USHUHUDA KUANZIA FEB 19-26 Kesi za ICJ zitaendelea hadi Februari 26. Baadaye, majaji wanatarajiwa kuchukua miezi kadhaa kujadili kabla ya kutoa maoni ya ushauri. Kikumbusho: Hata iwe uamuzi gani, ni juu ya nchi kote ulimwenguni kutunga...
  2. JamiiForums Tanzania Kifo cha Lowassa kuombolezwa kwa Siku 5 kuanzia leo

    Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametangaza siku tano za maombolezo kuanzia leo February 10,2024 kufuatia kifo cha Waziri Mkuu Mstaafu wa Tanzania, Edward Lowassa (70) ambaye amefariki Dunia saa nane mchana leo katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) Jijini Dar es Salaam...
  3. JamiiForums Tanzania Ziara za Makonda, malalamiko ya wananchi kutotendewa haki na watumishi, ni kuanzia mwaka 2021 hii maana yake nini?

    Wasalaam Tanzania. Nimekuwa mwingi wa kufuatilia mikutano ya ndugu Paul Makonda mwenezi wa CCM. Amekuwa akipokelewa na wananchi kwa wingi na mabango mengi yenye malalamiko dhidi ya watumishi wa Serikali n.k Kila ambaye amekuwa akipeleka malalamiko, anapoulizwa ni tangu lini, wengi wao...
  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Serikali yashusha Bei ya kununua Umeme kuanzia leo

    Shirika la Umeme la Kenya Power limetangaza nafuu ya punguo la bei ya Umeme kwa Wakenya baada ya kupunguza tozo za tokeni katika ukaguzi wa hivi punde wa bei ya umeme. Katibu Mkuu wa Nishati Alex Wachira alifichua kuwa gharama ya umeme kwa aina zote itapunguzwa kwa Ksh3.44 kwa kila uniti...
  5. JamiiForums Tanzania Nina hamu sana ya kusikia kuna mabadiliko madogo/makubwa ya Baraza la Mawaziri, Ma RC's na DC's kuanzia sasa

    Nitafurahi mno nikisikia kuna mabadiliko haya kwani kwangu mimi GENTAMYCINE naona Overall Performance ya Mawaziri, Wakuu wa Mikoa na Wilaya kwa sasa ni below standard (very poor) Natumai kwakuwa Mteuwaji Mkuu huwa Ananisoma sana GENTAMYCINE na tuko nae hapa JamiiForums tena hii mida ya Saa 10...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Ukweli upoje kuhusu stori kwamba JWTZ ilibaki Uganda kuanzia 1978 hadi 1983 na katika kipindi hicho Uganda lilikuwa koloni letu kwa muda?

    Ni story ambayo naisikia kwa muda mrefu sana tangu nikiwa shule ya msingi. Ningependa kujua ukweli wake wa uhalisia uliokuwepo. Kiutawala Uganda ilikuwa chini ya Tanzania hata baada ya Uganda kupata marais katika hicho kipindi? JWTZ waliondoka kwa hiari ama ni Jeshi la NRA la Museveni...
  7. JamiiForums Tanzania Mwanamke atakayepata Marks kuanzia 75% anaweza kuwa Mke wangu

    Kwema wakuu! Ngoja tupitishe muda kwa stori kidogo. Zifuatazo ni vigezo na Marks ambazo Mwanamke yeyote aki- score kuanzia 75% anaweza kuwa mke wangu. 1. Awe Mwanamke Mrembo na Mzuri ( Marksi 30) I. uzuri wa sura 10% ii. Shape 👉🏼 Kibindo, Chura aka msambwanda wa kati 10% iii) Rangi maji ya...
  8. JamiiForums Tanzania Mikoa 8 kukumbwa na Mvua kubwa kwa siku 5 kuanzia Januari 30, 2024

    Mikoa ya Lindi, Iringa, Mtwara, Mbeya, Songwe, Njombe na Ruvuma inatarajiwa kupata Mvua za Juu ya Wastani kuanzia Januari 30, 2024 ikiwa ni siku chache tangu Mikoa ya Dar na Morogoro ikumbwe na Mafuriko. Kwa mujibu wa taarifa ya Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) Mvua hizo zinaweza...
  9. JamiiForums Tanzania TANESCO ni national embarrassment, kuanzia mwezi ujao walipwe nusu mshahara mpaka tatizo la mgao litakapoisha

    Nimejiuliza sana, chanzo cha mgao huu wa umeme ni nini haswa? Kuongezeka kwa wateja, uchakavu wa mitambo? What exactly? Mambo yote hayo sio dharura, taasisi yenye vision na mission inapaswa kuyaona hayo na kujipanga miaka kadhaa nyuma kabla hayajatokea. TANESCO ni punda asikwenda bila kiboko...
  10. JamiiForums Tanzania Wahindi waliharibu kizazi cha 90-2000, ila kuanzia kizazi cha sasa lawama tuwatupie serikali au wasanii kwa ujumla wao

    TAMADUNI ni msingi na nguzo ya Taifa hatutaweza kuwa jamii endelevu ikiwa tamaduni zetu tumezitupa kabisa kama Taifa tutapoteza kitambulisho kwenye makutano ya nchi nyengine ila ubaya siyo kupoteza utambulisho tu! bali kupotea kwa misingi ya tamaduni ambazo kimsingi ndiyo nyenzo ya maadili kuna...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan atafanya ziara ya Kitaifa nchini Indonesia kuanzia tarehe 24 – 26 Januari 2024

    21 January 2024 Dkt. Samia Suluhu Hassan atafanya ziara nchini Indonesia kuanzia tarehe 24 – 26 Januari 2024 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan atafanya ziara ya Kitaifa nchini Indonesia kuanzia tarehe 24 – 26 Januari 2024, kufuatia mwaliko wa Rais wa...
  12. JamiiForums Tanzania Rais Wallace Karia wa TFF hivi kuanzia aanze kuongoza pale TFF amefanya nini mpaka sasa?

    Wakuu habari zenu, Naomba kuuliza hivi huyu raisi wetu wa mpira wa miguu amefanya nini kwenye kipindi chake cha uongozi? Maana watu wanasema kwenye kipindi chake taifa stars imeshiriki AFCON mara 2,Nataka kujua lakini yeye amefanya kitu gani maana inaweza kuchangiwa na simba na yanga kushiriki...
  13. JamiiForums Tanzania Nafasi za ajira Jeshi la Magereza kwa vijana kuanzia kidato cha Nne

  14. T

    JamiiForums Tanzania Rais Ruto atangaza kuanzia Januari 2024 matibabu Kenya ni bure.

    Msikilize mwenyewe hapa. https://twitter.com/ntvkenya/status/1726228842904244275?s=19
  15. JamiiForums Tanzania Hivi Wazee wetu wa kuanzia Miaka ya 70 hawa Mabinti wa 20's na 30's Mnaowaoa na Kuzaa nao huwa hampigiwi na hambambikiwi Watoto kweli?

    Hivi kweli jamani kwa haya Maisha yetu ya Kiafrika ( hasa Kitanzania ) huku Wazee wetu nao wakiwa na Changamoto mbalimbali za Kiafya kutoka na Umri wao huo kwenda wanaweza kuwa na Uwezo wa Kumbebesha Mimba Mabinti wa miaka kati ya 25 hadi 35 na Kuzaa? Je, hapa siyo kwamba hawa Wazee wetu wa...
  16. P

    JamiiForums Tanzania Je, biashara ya Uwakala inalipa? Nina milioni 2, inatosha kuanzia?

  17. M

    JamiiForums Tanzania Hospitali binafsi kutopokea kadi za NHIF kuanzia Januari 1 2024

  18. JamiiForums Tanzania Mliozaliwa kuanzia 1990 hadi 1997 someni hapa, msome Kwa umakini

    Habari zenu vijana (Mimi pia ni kijana) Kama upo ndani ya huo umri nilioutaja hapo juu nnaomba unisikilize Kwa makini hasa wale ambao wanajiona Bado ni wadogo. Sasa ivi wewe kijana upo katika umri wa kujijenga kiuchumi wewe pamoja na familia iliyopo kiunoni mwako Leo hii wewe tunakuita kijana...
  19. JamiiForums Tanzania Kuanzia leo mimi sio Mkatoliki tena, wala kanisa lisinizike, liendee na ushoga wake

    Sikubaliani na kanisa kuhalalisha dhambi badala ya kukema dhambi. Kuanzia leo mimi si Mkatoliki tena, ninamkataa shetani na kazi zake zote. Wasinizike wala kunipa huduma zozote wanazodhani ni za kiroho. Sitahamia kanisa lolote, bali nitaendelea kumuabudu Mungu katika roho na kweli Waefeso...
  20. JamiiForums Tanzania Taasisi zote makini za kijamii huweka misingi imara ya itikadi zao kuanzia kwa watoto. CHADEMA jifunzeni kwa chipukizi CCM

    Kwa siku kadhaa nimeshangazwa na wafuasi wa chama cha Mbowe kushambulia idara ya chipukizi iliyo chini ya UVCCM kana kwamba ni jambo la ajabu sana kuwahi kufanyika. Wanaoshangazwa na uwepo wa chipukizi wanatakiwa kujikumbusha kuwa chipukizi CCM haijaanza leo. Ni idara ambayo ipo kwa miaka mingi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…