kombe

Kömbe is a kind of börek from [[Sivas, Malatya Province Turkey. It exists in both the cuisine of Turkey and that of Azerbaijan and is popular among both Turkish and Azerbaijani people.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Kumbe walikuwa wanaumia na hoja ya kombe la looser ilikuwa ni kujifariji tu

    Makolo msimu huu wanatia huruma sana. Leo wanafurahi lakini kila siku humu wanasema hilo ni kombe la looser. Sasa kama ni kombe la looser, hiyo furaha inatoka wapi? Wengine walipoona Yanga ametinga fainali, wakaanza kuipongeza ila sio kwa kupenda bali kwa kuumia na leo tumewajua. Niwaulize tu...
  2. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Niliandika hapa na ninaandika tena hakuna kisokolokwinyo chochote kinachoweza kuchukua kombe kwenye ardhi ya mwarabu.

    Mwarabu hajawahi kuwa ndezi kwenye vitu serious, eti tunaenda kumfunga kwake 🤣🤣🤣
  3. S

    JamiiForums Tanzania Yanga anakwenda kutwaa kombe ugenini kwa kupindua meza kama alivyofanya Tunisia

    Hiki ndio kinakwenda kutokea huko ugenini tarehe 03/06/2023. Yanga ushindi ni popote ugenini au nyumbani. Waarabu hawataamini kama ilivyotokea kwa wale Waarabu wa Tunisia. Goli moja walilopata Yanga ndio itakuwa chachu kwa Yanga na ndio litawapa nguvu ya kupambana tofauti na kama wangefungwa...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Kinda Nigeria aacha gumzo Kombe la Dunia U20

    Nahodha na beki wa timu ya Taifa ya Nigeria U20 inayoshiriki World Cup ya U20 huko Argentina, kinda mwenye miaka 17, Daniel Kolocho Bameyi imebainika kuwa alidanganya. Imezoeleka wachezaji wengi wa Kiafrika wanadanganya umri, lakini kwa Bameyi imekuwa tofauti kabisa. Bameyi katika taarifa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kila la heri kwa USM Alger kuelekea mchezo wa fainali ya mkondo wa kwanza kombe la Shirikisho barani Africa dhidi ya Yanga

    shalom shalom Tusipangiane ipi timu ya kuishabikia, suala la uzalendo halipo kwangu. Natanguliza salamu za heri kwa timu ya USM Alger katika mbungi itakayopigwa hapo kesho.Kila la heri katika kulisaka taji la kombe la shirikisho hapo kesho.
  6. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Eti Yanga sc ndiyo watabeba kombe la CFCC kwenye huu uwanja thubutu

    Wananchiiii hapa ndiyo mnasema mnaenda kubeba kombe? 😝😝😝
  7. Expensive life

    JamiiForums Tanzania USM Alger Bingwa Kombe la Shirikisho

    Tunawapongeza Yanga kwa hatua hii mliofikia hakika ni kubwa sana kwenu na kwa nchi kwa ujumla. Kwa mazingira ya mechi yalivyo USM ni bingwa. Najua mtapinga ila huo ndio ukweli hata nyie mnajua, na ndio maana mmeshaanza kuhangaika kwa waganga ili wawasaidie mmeshachelewa.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Wapenzi, mashabiki na marafiki wa klabu ya USM Alger tukutane hapa tujiandae kuupokea ubingwa wa kombe la Shirikisho 2022/2023

    Shalom shalom Hekoheko marafiki na mashabiki wa klabu ya Union Sportive de la Médina d'Alger maarufu kama USM Alger au USMA. Mara baada ya kuibamiza klabu ya Asec mimosas hapo jana jijini Algers nchini Algeria kwa kichapo kizito cha mabao mawili bila ya majibu ,tunarejea tena kuwawinda underdog...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mwaka wa Yanga huu, kavunja kila aina ya rekodi Kombe la Shirikisho

    Kampiga na kumtoa nje ya michuano Mwarabu (Club Africain), hakuna timu Tanzania imewahi kumfunga Mwarabu akiwa kwenye ardhi ya nyumbani kwake ndani ya dk. 90! Kampiga Rivers nyumbani kwake ambapo alikuwa hajawai kufungwa tokea 2021 kwenye uwanja wake wa nyumbani, tukumbuke na Whydad Casablanca...
  10. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Jeff Leah: Yanga itafungwa 3-0 na Marumo na nina uhakika haitofuzu Fainal wala kuchukua kombe

    Mchambuzi nguli mwenye kujua vizuri kiingereza Goeff Leah kutoka sports headquarters Efm amesema ana uhakika Marumo atashinda tena goli kuanzia 3-0 na Yanga hatofuzu na hivyo ndoto za ubingwa zitaishia hapo. Mimi kama mjumbe siuwawi, njooni mtoe ya moyoni, mtiririke na kuserereka
  11. Fundi mahiri wa Ujenzi

    JamiiForums Tanzania Ikitokea Yanga kachukua kombe la Caf. Je, atashiriki klabu bingwa au atashiriki CAF ili kulitetea?

    Naomba ufafanuzi juu ya Hilo.
  12. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Yanga kuwa mabigwa wa Ligi ya Tanzania bara na mabingwa wa kombe la shirikisho la CAF ni historia ya kipekee

  13. vibertz

    JamiiForums Tanzania Sio mbaya wanasimba wenzangu kombe letu la kufa kiume ni kubwa kulikuwa makombe yote

    Sisi wanasimba furaha yetu tulishazimaliza na kuwapongeza kwa mafanikio yetu ya msimu huu baada ya timu kutoka Morocco. Sisi kauli ni ile ile hatuwadai benchi la ufundi, hatuwadai wachezaji na hatuwadai viongozi hakika malengo yetu ya msimu tumefanikiwa. Tuna kombe la robo fainali, kombe la kufa...
  14. msela wa mbagala

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Fainali waliyofika makolo ya kombe la Comred Abiola hawakutoa medali za mshindi wa pili

    Mwenye ufafanuzi wa hili jambo atupe elimu kidogo. Inawezekanaje mshindi wa pili wa kombe akakosa medali??
  15. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awapongeza Yanga FC kutinga nusu fainali ya CAFCC. Wameandika historia kubwa

    “Pongezi kwa Klabu ya Yanga kwa kutinga Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho (CAF Confederation Cup), na kila la kheri katika maandalizi mliyoanza sasa kwa mchezo ujao. Mmeandika historia jalili. Mmetuheshimisha sana. Hamasa yangu inaendelea, na sasa imeongezeka. Kaifanyeni kazi.”
  16. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Ipo siku Yanga ikitwaa CAFCL Simba watasema washatwaa pia hilo kombe, tuweni nao makini

    Yanga baada ya kuonekana anaenda semi final simba wakatoka huko waliko wakasema washawahi cheza fainal ya Confederation Cup inachekeshesha sana. Hivi niulize nani anauzi au ana taarfa inayosema simba ishacheza Fainali iliyosemwa almost 2 months ago au hata mwezi mmoja uliopita kama kuna taarfa...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Thamani (Value) ya Kombe la CAF Champion v/s CAF Confederation

    Kwema Wakuu, Kuna haya Makombe mawili ya Africa baadhi ya Watu wanayachanganya. Yaani wanashindwa kujua value ya Kombe flani kwa level fulan ni ipi. Sasa hapa natumia common measurement ya value in term of zawadi watakazopata washiriki kulinganisha Ili ujue Timu yako iko katika thamani ipi.
  18. Half american

    JamiiForums Tanzania Hawa Mamelodi wapewe tu kombe lao

    Hii timu kwa msimu huu imezidi kuwa tishio kwenye CAF champions league. Uwanjani wanakupa kila unachokitaka, mpira mzuri, umiliki wa mpira, magoli mazuri na matokeo mazuri. Naweza kusema wamekamilika mpaka sasa kwa michezo ambayo tumeshaishuhudia ndani ya Ligi ya mabingwa Afrika. Nnawiwa...
  19. technically

    JamiiForums Tanzania Utabiri Yanga kuchukua kombe la shirikisho mwaka huu

    Yanga itachukua kombe la shirikisho mwaka huu natabiri na itakutana fainal na Rabat. Yanga ndiye bingwa wa confederation cup. Simba atatoka morocco na fainal. Nusu ni Waydad vs mamelodi na kule ni Esperance de tunis vs Al Ahly. Watakutana wababe wa africa mamelodi na Al Ahly Mamelodi ndiye...
  20. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Kwa maslahi mapana ya mpira wetu Tanzania, kombe la FA libebwe na Azam FC

    Naweza nisieleweke, ila kimantiki na kimahesabu Simba, Yanga na Singida big Stars wanacheza mashindano ya CAF next season. Wasiwasi wangu muwakilishi wa NNE itakuwa timu gani? Kwa haraka ukipiga hesabu za ukweli utagunduwa Azam ndio atakuwa mshindani mzuri wakipata nafasi hiyo. Hivyo Mimi...
Back
Top Bottom