Kikundi Cha AlQuds Brigades Chaonesha Kombe la Vita (Trophy) ililotwaa Kibabe kutoka Jeshi la Mazayuni Ghaza.

FaizaFoxy

Platinum Member
Apr 13, 2011
92,883
109,212
Video ya kile kinachoitwa 'kombe la vita' imetolewa na Brigedi za Al Quds za Islamic Jihad. Video hiyo inaonyesha ndege isiyo na rubani ya Israel 'Sky Racing' iliyodunguliwa na wapiganaji wa Islamic Jihad wakati wa makabiliano ya Ghaza. Maelezo yaliyotajwa kwenye drone yalisomeka: "Sky Racing Drone Model No. 528." Jina la mtengenezaji, Elbit Systems, pia limetajwa kwenye drone. Wakati huo huo, mbali na Hamas na Islamic Jihad, kundi la tatu la Ghaza pia linaongeza mashambulizi. 'Mujahideen Brigades' imetoa video ya shambulio la roketi dhidi ya vikosi vya Israel.

Chanzo: #alquds #islamicjihad #mujahideenbrigade #israelpalestineconflict #israeliarmy #idf #palestine #gaza

Licha ya ndege hiyo pia wameonesha silaha zingine za kisasa walizoziteka kutoka kwa mazayuni ambazo sasa wanazitumia kuwatandikia mazayuni. Jionee:

View attachment 2849854
kwa nn unawachukia sana wakristo??unataka kila mtu awe muislam?
 
Fungulia uzi tuje kukujibu, hapa umeona pametajwa "Wakristo"?

Hakuna Muislam anaemchukia Mkristo au wa dini nyengine yeyote yule. Uislam unatukataza kabisa hilo na ndiyo maana leo hii unauona Ukristo upo Tanzania, waliouleta Ukristo ardhi walikaribishwa na Waislam.

Usome uzi vizuri ujibu mada iliyopo. Au unadhani mazayuni ni "wakristo"?
 
Video ya kile kinachoitwa 'kombe la vita' imetolewa na Brigedi za Al Quds za Islamic Jihad. Video hiyo inaonyesha ndege isiyo na rubani ya Israel 'Sky Racing' iliyodunguliwa na wapiganaji wa Islamic Jihad wakati wa makabiliano ya Ghaza. Maelezo yaliyotajwa kwenye drone yalisomeka: "Sky Racing Drone Model No. 528." Jina la mtengenezaji, Elbit Systems, pia limetajwa kwenye drone. Wakati huo huo, mbali na Hamas na Islamic Jihad, kundi la tatu la Ghaza pia linaongeza mashambulizi. 'Mujahideen Brigades' imetoa video ya shambulio la roketi dhidi ya vikosi vya Israel.

Chanzo: #alquds #islamicjihad #mujahideenbrigade #israelpalestineconflict #israeliarmy #idf #palestine #gaza

Licha ya ndege hiyo pia wameonesha silaha zingine za kisasa walizoziteka kutoka kwa mazayuni ambazo sasa wanazitumia kuwatandikia mazayuni. Jionee:

View attachment 2849854
Mafunidi tabata wa palestina lazima waunde kopi yake.
 
Hawa hapa wameshawahishwa kwa mabikira....

The IDF has successfully targeted four out of seven senior Hamas brigade commanders, the Israeli military's Arabic spokesperson Avichay Adraee wrote Thursday on X.

"The IDF continued to dismantle Hamas's Gaza brigades," Adraee wrote.

View: https://twitter.com/AvichayAdraee/status/1737814602216304883?ref_src=twsrc%5Etfw%7Ctwcamp%5Etweetembed%7Ctwterm%5E1737814602216304883%7Ctwgr%5E45cdfe706fcbb3684967e14ba12b3f34cf46d4f7%7Ctwcon%5Es1_&ref_url=https%3A%2F%2Fwww.jpost.com%2Fbreaking-news%2Farticle-779017

"Of the seven senior brigade commanders, four have so far been liquidated, leaving only three senior commanders within the chain of command."

Wanne tu, tazama post #1 wameibuka wengine elfu nne, hao ni hatari kuliko Hamas.
 
Mbona kidogo sana hao?

Jiulize mama'ko anaenda kufanya nini huko? Kuwaibia mapambio wazee wa tec? Kama yupo hai mshauri arudi kwenye Uislam tukutane huko, hajachelewa.
Unadhani yupi bora kati ya anayeenda kuimba mapambio na anayeenda kupigwa pvmbu?unaonekana unapenda sana ngono wewe na hivi unaonekana umeanza kuuingia uzee sijui wakati wa usichana wako ilikuwaje.

Yaani upigwe miti duniani na wanaume mbalimbali tena unasubiri ukapigwe na group la wengine 72 randomly huko kwa alah?
 
Hizi imani.. masheikh wamehukumiwa kunyongwa hakuna wa kuwatetea, wanatia huruma tu.
Wanadai wameonewa lkn mwanzo waliaminishwa watapata 72 bikras
Ni ukosefu mkubwa wa akili na maarifa ya kujitambua.

Mungu gani awe busy kugawa bikra kwa watu wanaoenda kwake wakiwa na damu za watu aliowaumba yeye mikononi mwao?logic ndogo sana lakini watu wazima wanashindwa kuing’amua.
 
Back
Top Bottom