Uchaguzi 2020 Tundu Lissu amewahoji wafanyabiashara wanavyolipa kodi TRA kama nani?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,962
141,961
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA ambaye ndio mgombea urais wa JMT wa chama hicho mh Tundu Lissu amewahoji wafanyabiashara wa pembejeo sokoni kariakoo namna wanavyolipa kodi zao TRA.

Lissu alitaka pia kujua kama wafanyabiashara wana uelewa wa usahihi wa kodi wanayolipa.

Chanzo: ITV habari.

My take; Tundu Lisu amewahoji wafanyabiashara akiwa kama nani?

Maendeleo hayana vyama!
 
Yanakuhusu nini

Yanihusu vp wakati anagombea uraisi? vp na wewe zmekuruka? alafu mwambieni achane nywele bana, anagombea position kubwa sana: mambo ya kwenda sehem bila kuchana nywele yaishie kwenye lile jengo la kupangisha pale ufipa
 
Back
Top Bottom