kodi

  1. Rais Samia Suluhu: Kusanyeni kodi kwa kutumia akili, sio nguvu

    Mheshimiwa Rais Mama Samia amemuonya Waziri wa wizara ya Fedha kuacha kutumia nguvu kwenye kukusanya kodi badala yake watumie akili. Mama Samia ameonya tabia ya Watendaji wa Serikali kutumia nguvu kukusanya kodi, kufungia biashara zao, kunyang'anya fedha kwenye akaunti kisa Sheria inawaruhusu...
  2. H

    Endapo hatutokusanya kodi kwa wingi, tutapata wapi fedha za kuendeshea nchi?

    Endapo hatutokusanya kodi kwa wingi Je tutapata wapi fedha za kuendeshea nchi? Mfano naomba mnisaidie maswali haya: 1. Tutapata wapi fedha za kuwalipa wafanyakazi mishahara kila mwezi? 2. Tutapata wapi fedha za kuwakopesha wanafunzi wa vyuo vikuu mikopo ya elimu? 3. Tutapata wapi fedha za...
  3. Ni wakati wa machinga, mama ntilie na wafanyabiashara wadogo kulipa Kodi halali

    Najua wapo watakao sema ni ukatili, hapana. Kama ambavyo wafanyakazi wanao lipwa sh hata laki nne kwa mwezi hukatwa Kodi kila mwezi, ni wakati wa wafanyabiashara tajwa kulipa Kodi halali itakayo kusanywa na TRA, sio hivyo vitambulisho vya 20,000 ambayo hatujawahi kuambiwa huwa inakwenda wapi...
  4. Mama Samia ameingia kwenye mtego wa wafanyabiashara kubembelezwa kulipa kodi, tumekwisha!

    Maombi yangu siku zote ilikua mama asiingie mkenge wa wafanya biashara maana tunajua kitakachotokea. Bahati mbaya mama ameuvaa mkenge wa wafanya biashara. Tusitegemee chochote cha maana kufanyika kwa miaka 4 ijayo. Mama mwenyewe amekiri kua kwa kauli yake makusanyo yatashuka, unajiuliza kwa...
  5. Tundu Lissu: Bila kuweka taxpayers bill of rights walipa kodi wataendelea kuonewa na kupata dhuluma.

    Ni ushauri mzuri kabisa ambao kama ukifuatwa basi mambo ya kubambikia kesi watu na walipakodi kuonewa kutakwisha. Hii kitu Lissu aliisema sana wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu
  6. Kwenu nyie watoza kodi ; Rais Samia kawambia kilichosemwa mwaka 1776. Mnakwama wapi nyie TRA na wizara ya Fedha na Mipango?

    In The Wealth of Nations (1776), Adam Smith argued that taxation should follow the four principles of:- fairness-that taxation should be compatible with taxpayers' conditions, including their ability to pay in line with personal and family needs; certainty-meaning that taxpayers should be...
  7. Ili kupata kodi ya mapato ya trilioni 2 na zaidi, Serikali itumie sensa kikamilifu na itambue raia wanaozaliwa na wanaotimiza umri wa miaka 18.

    Suala la sensa katika nchi yoyote ile ni muhimu sana. Sensa hutoa picha halisi ya idadi ya watu katika nyumba katika nchi nzima. Sensa pia hutoa taarifa rasmi ambazo zitasaidia serikali kupanga namna ya kutoa huduma mbalimbali nchini kama usafiri, elimu na afya. Hivyo kila nyumba katika nchi...
  8. Z

    Wafanyabiashara wa Tanzania hawataki kabisa kulipa kodi, wana tatizo gani vichwani? Too much kulia lia

    Nimeona clip ya Naibu waziri wa Kilimo, Bashe na baadhi ya wakulima wa bustani pale Arusha, wakijieleza kwa kudeka sana, na kueleza eti kodi ni kubwa. Kodi yenyewe ni 18%. Huu ni uzembe ktk biashara na ni tatizo la mazoea. Wakati mukilenga kumtisha rais, kumbukeni pia kuna maelezo ya kupanua...
  9. F

    TTCL huu ndio muda wenu wa kuvuna wateja wa voda, tigo, airtel, nyinyi shusheni bei ya internet - kodi tra wanawasamehe ki siri siri

    TTCL ni shirika la uma, limefufuka ila halina wateja wa kutosha Sasa huu ndio muda wa kuvuna wateja.. serikali iwabebe kama ilivyoibeba NHIF... Tigo, voda , hallotel mtawapora wateja wote
  10. Natafuta chumba cha kupanga cha 50,000/= nina kodi ya miezi 6

    Ndugu wa Tegeta Ndugu wa Mbezi Beach Ngugu zetu wa goba mupoo Chumba cha 50,000/= 6 months nalipa Wapangaji wasizidi wa 3 Mwenye nyumba asiwepo mazingira gari iwe inafika hapo Gypsum Tiles muhimu Ikiwa master ni vizuri zaidii... Msaada jamani
  11. Rais Samia: Kila mwenye nia ya Urais 2025, aache mara moja

    RAIS SAMIA AAWAAPISHA MAWAZIRI, MANAIBU WAZIRI NA KATIBU MKUU KIONGOZI Rais wa Jamhuri ya Muungano, Samia Suluhu amewaapisha mawaziri nane, na manaibu waziri 8 na Katibu Mkuu Kiongozi Ikulu Dodoma. Katibu Mkuu Kiongozi Hussein Katanga amechukua nafasi ya Bashiru Ally. Mwaziri walioapishwa ni...
  12. Uhusiano kati ya kodi na shughuli za Maendeleo

    Kuna uhusiano mkubwa kati ya kodi na shughuli za maendeleo zinazofanywa na Serikali. "Tunapotaka Serikali ifanye shughuli zaidi za maendeleo kwa fedha tunataka Serikali itumie fedha zaidi. Na kama Serikali haina fedha zaidi tunataka izipate, yaani iongeze kodi (Nyerere, 1968, uk. 20) " Ukitaka...
  13. B

    Ni yapi maoni ya wabunge wa CCM kuhusu hoja ya makusanyo ya Kodi iliyotolewa na Mhe. Rais?

    Naanza kujiuliza upi msimamo wa Waziri wa Fedha kwenye kukusanya mapato? Bado ataendelea kusimamia mfumo wa mabavu? Makamu wa Rais pia alikuwa Waziri wa Fedha wakati wafanyabiashara wananyanyaswa, leo trilioni mbili anazoelekeza litakusanywa kwa mfumo wa zamani au njia aliyoelekeza Rais...
  14. Kumuonya Waziri wa Fedha kutokutumia nguvu kutokukusanya kodi pasipo kubadili Sheria za Kodi haitawezekana

    Kwanza nianze kwakumpongeza mh Rais wetu mama Samia kwani zipo dalili zote kwamba ameanza vizuri kwenye mambo ya kodi hatahivyo yapo mambo lazima yatizamwe vizuri. Ni wazi kwamba kwa namna TRA ilivyozoea/kuzoeshwa kukomesha wafanyabiashara ni ngumu sana kuondoa misuguano kati ya...
  15. Mwigulu Nchemba kuongoza Wizara ya fedha ni pigo kubwa kwa Wafanyabiashara na Walipa kodi

    Wakuu naomba kutangaza kwamba ninayo maslahi kwenye suala hili maana mimi ni mfanyabiashara wa ndani na nje ya nchi , ni mlipa kodi Kwa takribani miaka sita sasa Sisi wafanyabiashara wa nchi hii tunahenya , makadirio ya kodi kubwa , vitendea kazi tunavyoagiza kutoka nje ya nchi zikiwemo matirio...
  16. Wakenya: Serikali ondoeni lockdown tuna kodi za kulipa, njaa ni janga pia

    Wakenya washinikiza kuondolewa kwa masharti ya kuzuia corona Baadhi ya makundi ya kijamii nchini Kenya yametishia kufanya maandamano ya kupinga masharti ya kudhibiti maambukizi ya corona. Wiki iliyopita Rais Uhuru Kenyatta alipiga marufuku usafiri wa kutoaka na kuingia majimbo matano...
  17. MUONGOZO: Mambo ya kuzingatia unaponunua gari lililotumika ndani ya Tanzania

    Baada ya kusikia watu wengi 'wakiumizwa' na 'kupigwa' wakiwa kwenye harakati za kutafuta usafiri uliotumika nchini, nimeona sio mbaya nikitoa ushauri ni jinsi gani unaweza kuepuka majanga kwenye zoezi hilo. Naandika kama mnunuzi au muuzaji wa aina hio ya magari, kwahio siegemei upande wowote na...
  18. Serikali bila kufungua viosk vya kukatia tiketi hili la electronic ticket hamtoweza, wajanja wa mabasi ndio tegemeo lao kukwepa kodi

    Wana JF, Baada ya Serikali kutoa tamko la kukata ticket kieletroniki sasa wafanyabiashara wa Mabus kwa kushirikiana na brokers au madalalie wa ticket. Kibaya zaidi hupewi ticket baada ya kutoa fedha. Leo nimejifunza kitu gari no. T 195DAV KVC Safari karibu abaria wote hawana ticket. Jambo...
  19. Kodi kubwa kwenye magari kwa kigezo cha kulinda mazingira haijaleta ufanisi wowote

    Wakati serekali ikikazana kuongeza kodi kwenye magari mtumba(used) kwa kigezo za kulinda mazingira imeonyesha kutokua na ufanisi wowote. Kodi imeongezwa ili wananchi waache kununua magari yaliyotengenezwa miaka mingi na kununua ya miaka ya karibuni ili kulinda maizingira. Je, idadi ya magari...
  20. Taifa lisilokusanya kodi haliwezi kujiendesha. Awamu hii ya tano inajinasibu kukusanya tri 2. Je, Watanzania wananufaika?

    Bandugu bana Jf, ni wazi kuwa taifa letu linajinasibu kuwa lipo vizuri kimapato. Pamoja na mdororo wa uchumi ulioletwa na Covid 19, leo hii tril mbili zinatinga hazina. Je, haya mapato yanawanufaisha watanzania? Kwamba miundo mbinu, elimu afya na sekta muhimu zimekuwa stable? Leo hii Mtanzania...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…