Rais Samia anasema eti suala la kipaumbele kwake ni uchumi kwanza halafu mambo ya katiba mpya ni ya baadae huko mbeleni.
Ningependa kumkumbusha Rais Samia kuwa, hoja ya Katiba Mpya ni hoja nyeti, ni suala muhimu sana na haliwezi kuwa option ya pili katika mambo yanayopaswa kufanyika nchini kwa...
baada
fedha
graph
hoja
jaji
kasi
katiba
katiba mpya
kelele
kodi
kuimarisha
kusaidia
mama samia
matatizo
mkono
mpya
nyumbani
rais samia
samia
samia suluhu
siku
siku 100
suluhu
uchumi
utawala
Makusanyo ya kodi za Tanzania hayafikii malengo kwa sababu ya vitu vitatu vikubwa
1. Machinga: Hatuwezi kuwa na kundi la watu wasiolipa kodi na wawe na haki kuliko walipa kodi. Huwezi kuruhusu wamachinga kuuza vitu vipya bila kodi na sehemu yoyote na hata mbele ya maduka ya walipa kodi...
Habari za leo.
Ukiwa ni tarehe 30/06 asubuhi toka saa kumi na mbili asubuhi system ya kupokea taarifa iko chini na inachukua muda mrefu sana kuload.
Tunaomba mfanye jambo ili matakwa ya kisheria yatekelezwe. Sheria inataka mpaka tarehe 30 sasa kufanya system iwe na issue wakati tunajua...
Kuna mambo kama hatuwezi kuyakomalia basi hata mengine tuachane nayo. Maana yake hatujui tunataka kufika wapi! Suala la wabunge kukatwa kodi si la kupunguzia sauti. Si kwa mapato ya taifa tu bali pia kwa kuweka misingi bora ya elimu ya kulipa kodi.
Hivi mbunge anaombaje miundombinu na huduma...
Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema kuwa ipo haja kwa watoto wadogo kuanza kuelimishwa juu ya umuhimu wa kulipa kodi ili watoto wakue wakijua kwamba ukwepaji wa kodi ama upokeaji na utoaji wa rushwa ni jambo la aibu katika familia.
Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu...
Wasalaam, mfanyakazi wa kawaida analipwa kima cha chini 370,000 na anakatwa kodi asilimia 9 lakini Mbunge analipwa mamilioni na hakatwi kodi hii sio sawa Serikali ya CCM mnanyonya maiti damu.
Tanzania ni moja ya nchi masikini zilizojaliwa kuwa na utitiri wa viongozi kuanzia Wilaya mpaka Taifa viongozi hao waliligharimu taifa fedha nyingi sana kuliko hata za watumishi wote wa serikali tuna wakuu wa wilaya 140, Wakurugenzi 200 wakuu wa mikoa 26 makatibu tawala wa wilaya 140 makatibu...
Swali la kipima joto la leo
Ipi haja ya kuwepo kwa TRA kama wanaoteuliwa kuelimisha mambo ya kodi sio TRA wala hawana elimu hiyo.
Je, kuna haja ya kuendelea kusomesha watanzania shahada za mambo ya kodi (Taxation)?
Je, fedha za kuwalipa hao wanaoelimisha zinatoka kwenye mfuko upi? Je, kwanini...
Nchi imekuwa ya kusadikika kweli, kila siku wanabuni mbinu mpya ya kuwakamua wasiojiweza, wenye uwezo mdogo wa kuendesha maisha yao ili matumbo yao yaneemeke.
Baada ya kubuni mbinu za kuwainua wananchi ili wapate walipa kodi wengi wao ndio wanazidi kuwakamua na kuwatia umaskini
Wawakilishi...
Huku Bunge la Tanzania likitishiwa na Ndugai kwamba wasipo pitisha Bajeti Rais atavunja Bunge, Kwa upande wa Majirani zetu kwao ni tofauti kabisa.
Tanzania Bunge lilihitimisha Mjadala wa bajeti kwa kupitisha kwa kishindo bila hata mabadiliko.
Pamoja na utata wa kodi kama ya majengo kulipwa kwa...
Niliwahi kuandika kuhusu huyu Waziri wa Fedha anajiitaga mchumi wa daraja la kwanza! Huyu ni miongoni mwa mawaziri ambao ni mzigo kwa Watanzania!
Leo Bwana Mwigulu akiwa Bungeni amewatangaza watu watatu kuwa mabalozi wa kodi, Mobeto, Samata na Edo Kumwembe. Sasa twende taratibu, tatizo la kodi...
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba amewateua Mbwana Samatta, Hamisa Mobeto na Edo Kumwembe kuwa mabalozi wa kuhamasisha ulipaji kodi. Mbali na hao amewateua wanasiasa wengine kuwa mabalozi wa elimu ya kodi, ili kuhakikisha wananchi wanalipa kodi bila kushurutishwa.
=========...
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema watapendekeza kuanzisha chjombo cha msuluhishi wa masuala ya kikodi ili kuepuka kero zilizopo.
Mwigulu amesema hali ilivyo kwa sasa mtu akifanyiwa makadirio ya kodi na asipokubaliana nayo, analazimika kumfuata huyohuoyo aliyemkadiria...
Kwa Mheshimiwa Waziri wa Fedha na Mipango.Kwa kuwa vilabu hivi viwili yaani Simba na Yanga (Young Africans) ni vilabu vikubwa vya mpira wa miguu tena vina wapenzi kwa mamilioni nazo zitozwe kodi kama biashara zingine zozote.
Mpira ni biashara ndio maana wanaoingia kuwatazama wanalipa viingilio...
Dar es Salaam. Baadhi ya wahariri wanaounda Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) wamehoji mpango wa Serikali kuendelea kugharamia miradi waliyodai haina tija kwa kuongeza kodi na tozo kwenye bajeti ya Serikali.
Wakizungumza leo Jumamosi Juni 19, 2021 katika mjadala wa uchambuzi wa bajeti ya...
Tukifanya hivi tutakuwa tumepanua wigo wa makusanyo ya Kodi kwa maana ya idadi ya walipa kodi wangeongezeka.
Tutapata hela nyingi, na karibia kila mtanzania atashiriki ktk ulipaji wa Kodi na ujenzi wa taifa kwa ujumla.
Tutachangia hela kidogo sana (Tsh 50/= per kilo) lkn fedha itakuwa nyingi...
Kwanza ieleweke wazi kuwa kodi ya itayolipwa na wananchi kupitia manunuzi ya vocha za simu ni sawa na kodi ya kichwa waliokuwa wanatoza wakoloni kisha tukairithi na baadae kuondolewa miaka tisini baada ya kuwa ni kodi inayodhalilisha watu.
Kwamba ukiongeza salio unakatwa pesa ili kuchangia...
Mwigulu Nchemba, ambaye siku zote ametueleza kwamba yeye ni mchumi mbobezi aliefaulu degree yake ya uchumi pale Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kwa daraja la kwanza, anakuja kutufafanulia Watanzania kwamba serikali imefanya ufikirio saa katika suala la kodi ya laini ya simu ili isiwaumize...
Kwa kweli wananchi wa Tanzania hasa wafanyakazi wa serikali wamesota sana kwa miaka 6 iliyopita. Kuiishi miaka yote hiyo bila kuongezewa mshahara wakati ghalama za maisha zikiendelea kupanda kwa kweli siyo mchezo.
Hapa lazima tuwapongeze hawa wafanyakazi. ingekuwa nchi za wenzetu has kama za...
"Hali ya barabara vijijini ni mbaya mno, bado tuna vijiji miaka 60 ya uhuru havina barabara kabisa na kwingine unakuta hakuna Zahanati wala vituo vya afya so tunaamini tutakoa maisha ya wananchi wetu wengi kwa kodi hii tumeweka kwenye mafuta"
Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.