Nawasalimu kwa jina la Jamuhuri ya muungano wa Tanzania.
Moja kwa moja kwenye mada. Mheshimiwa Rais wetu mpendwa mama yetu mama Samia Suluhu Hasani amjipambanua na kweli ukimuangali usoni unaona kabisa kuwa mama hapendi mambo ya dhulma ikiwemo kodi.
Hoja yangu ni juu ya mali ilizojimilikisha...
Kama kulipa kodi ni uzalendo, basi rais wa nchi ndiye anayepaswa kuwa mzalendo namba moja.
Kama Tanzania ni nchi ya Usawa, basi haiyumkiniki wawepo watu katika nchi hii wawe ni wavuja jasho, wanaokamuliwa kodi kwenye mishahara yao lakini kuna jingine la watanzania haohao mfano rais na Majaji...
Mbunge wa Jimbo la Same Mashariki, Anne Kilango Malecela, ametaka suala la kulipa kodi kwenye majengo kuangaliwa vizuri akisema, "Mkaliangalie vizuri huko mtaani. Tusidanganyane, kuna mkanganyiko!"
Ameshauri jambo hilo kuwekwa vizuri kwa Wananchi na kueleweka anayelipa Kodi hiyo ni nani kati ya...
Sukari ni kiungo mhimu kabisa kwenye maisha ya Mtanzania, haijalishi matajiri au maskini lazima atumie sukari.
Binadamu woote bila kujali mzima ama mgonjwa lazima atatumia sukari.
Ndio maana sukari ikiadimika nchi inatikisika.
Lakini ajabu tunapunguza kodi kwenye Pombe. Yaani Watanzania...
Ukinunua gari Zanzibar utalipa Kodi na ukifika Tanganyika utalipa tena kubwa tu, na sio gari tu fridge, TV, Simu n.k
Ni hivi ni rahisi kuingiza vitu Zanzibar kutoka nje hasa falme za Kiarabu lakini si rahisi kuvitoa Zanzibar kuviingiza bara.
Tuendeleee na mazungumzo au tuachane nayo?
Mapendekezo ya bajeti ya 2021/2022 ni kwamba moja ya vyanzo vya fedha iwe ni kodi ya laini za simu.
Kila laini ya simu kwa mujibu wa mapendekezo yaliyosomwa na waziri wa fedha itakatwa kati ya Tshs 10/= mpk Tshs 100/= kwa kila siku. Bila kusahau VAT na makato mengine yaliyokuwepo yataendelea...
Waziri wa fedha amesoma bajeti na tunaendelea kuichambua kipengele kimoja baada ya kingine. kwa ufupi ni kwamba wanasiasa wameshindwa kutatua changamoto zetu.
Wakati taifa likiwa katika mtanzuko mkubwa wa ajira na kuhimiza vijana wetu waegemee zaidi kilimo hasa cha umwagiliaji, Serikali...
Nimeona wengi wakipiga miluzi kuhusu Kodi zilizoongezwa hasa kwenye Luku, miamala ya simu, kadi za simu na kwenye mafuta (petrol na diesel).
Ilikuwa bado kidogo tu na Mimi niingie mtego wa makamanda kwenye kulalamika.
Kwanza kwanza kabisa yapaswa ieleweke kuwa hakuna nchi duniani inaweza...
Kitendo cha Waziri wa Fedha kupendekeza kodi ya majengo ikatwe kwenye manunuzi ya umeme kinapaswa kufafanuliwa vizuri ili wananchi waelewe vizuri.
Hii ni kwa sababu nyumba nyingi zina wapangaji na ambao ndio walipaji wa bili ya umeme kwa vile wao ndio wanaoutumia, ziko nyumba ambazo wenye...
Habari zenu wakuu,
Mimi ni binti ambaye nilikua nimeajiriwa kama mhasibu kwa takribani miaka mitano. Nimejifunza mengi katika nafasi hiyo ya uhasibu kwa sababu kampuni niliyokua naifanyia kazi ilikua ni consultation company hivyo tulikua tunafanya kazi za kampuni tofauti tofauti hivyo nikapata...
Nawasalimu kwa salamu ya mama.
Pamoja na nia nzuri ya kugharamia afya ila kiukweli kodi kwenye huduma za Simu ikiwemo miamala ya fedha siungi mkono inalenga kutuumiza.
Mbona kuna vyanzo vingi hasa kwenye Vinywaji laini na vikali, kodi kwenye wapangishaji wa nyumba kubishana nk?
Hapo...
Bajeti ni makadirio ya mapato na matumizi ya serikali
Leo Bungeni Dodoma, Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba anatarajiwa kuisoma bajeti ya serikali ya mwaka wa fedha 2021/22
Lazima kutambua wakati wote benki ya dunia ni benki tu kama zingine kipaumbele chake ni faida. Wenye hisa wakubwa ni marekani na nchi za ulaya. Kwa mfumo wa kibepari wafaidika namba moja na benki ya dunia ni mabepari wakubwa wa nchi hizo.
Kutokana na hivyo nchi changa sio rahisi kupata...
Huyu binti ambaye niliwahi kuleta taarifa yake ya kuninyima mzigo licha ya kulala kwake siku 2. Wadau walitoa maoni yao nikawaelewa. Nikambana kwanini alifanya vile akasema ni woga tu( nahisi ni bikira).
Nikaendelea naye chatting and so. Kaniomba nimwongezee pesa alipie chumba nikampa ahadi...
Jamaa alipata kiwanja Mbezi Beach siku nyingi sana. Kazini alikua anafanya kazi kwenye mradi wa Danish, alikutana na mke wake hapo. Walienda kuishi wote Denmark baada ya mkataba wa mke wake kuisha.
Kule jamaa alijifunza kazi za kulea wazee. Alianza kujenga nyumba yake ya Mbezi Beach kwa ramani...
Kama wananchi maskini na wasio uhakika wa maisha yao wanakamuliwa kodi zao kisha zinatumika kulipa wabunge wa namna hii basi ni maumivu makubwa kwao
Kwamba bunge ambalo ni sehemu ya wanannchi ambao lilituma wawawakilishi wao alafu hao wawakilishi wanaenda Bungeni kama wamevaa nguo za disko na...
Habari wakuu,
Nimeona gari beforward nimependa na nataka kuagiza. Ishu inakuja sasa gari CIF yake ni 3585 USD lakini TRA wao wame calclualte kwwa CIF ya 2709USD. Hapo calculation ya mwisho itakuwaje wakati wa kuitoa bandarini.
"Katika mazishi Wazee Chato walimuomba Rais Samia mkoa wakidai ni ahadi ya mtangulizi wake.kwa hekima akasema ataangalia vigezo.Kama Mbunge Mstaafu jirani Muleba Kusini najua vigezo havipo.Wazo halitekelezeki. Wazee jirani na sisi naamini tutapewa nafasi kushauri"Anna Tibaijuka
---
Anaandika...
Mabibi na mabwana niko safarini kuelekea pande za Burigi katika kutia shime juhudi za kizalendo zenye mashiko zilizoasisiwa na hayati mzee baba katika kulisukuma gurudumu la utalii wa ndani, mbele.
Niliyoyashudia njiani hasa kuwahusu wale waliozowea kubrashi viatu kwa kutumia pesa za wengine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.