Kimtazamo, kodi hii ni muhimu lakini haitekelezeki. Kodi hii huwezi kuita progressive maana imegusa maisha ya wananchi ambao hata basic needs ni shida. Yaani lower end zile charges ni exorbitant.
Nini kifanyike;
Tozo zitoe nafuu mpaka 50k TZS na kwenye miamala ya juu yake ziwe ndogo ili ku...