kodi

  1. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Hivi kama kodi zinajikata zenyewe kwa njia ya mitandao kuna haja ya kujaza watu wa kodi maofisini?

    Kwa nilichokuja kugundua ni kwamba kodi nyingi sasa zinatokea kwenye miamala ya simu tunayotuma na kupokea. Kwa njia hiyo inamaanisha kwamba zikijikata tu zinaingia, moja kwa moja kwenye akaunti ya kodi hivyo automatically zinajihesabu zenyewe. 😅😅😅😅😅😅😅 Sasa kama mambo mazuri ndio hayo nilikua...
  2. Frustration

    JamiiForums Tanzania Kampuni za simu zimepunguza vifurushi vya internet tena

    Vodacom na Tigo walikuwa na kifurushi cha @1000tsh dk 100, sms 100 na 1Gb 3days au kwa @1500 tsh kwa 7days. Sasa hivi voda cha 3days wameweka 800MB na tigo 750MN. Airtel ndio wameua zaidi in short jionee mwenyewe. Najua serikali ina mkono au baraka zake hapa.
  3. Opportunity Cost

    JamiiForums Tanzania Kadogosa wa TRC, Badala ya kutetea Kodi za Watanzania yeye amekuwa mpiga debe wa Mkandarasi Yepi Markez. Je, tuendelee kumuamini?

    Habari wadau.. Nimesoma habari kwenye gazeti la the Citizen kwamba kuna mvutano Kati ya Mkurugenzi wa TRC ndugu Kadogosa na Mamlaka ya Usimamizi wa Manunuzi ya Umma yaani PPRA Kuhusu kutoa tenders za ujenzi wa reli vipande vya makutopola Tabora na Tabora Isaka yaani lot 3 na 4. Kwamba bwana...
  4. Nyendo

    JamiiForums Tanzania TRA: Hatukumtuma Sabaya kukusanya kodi

    KAIMU Meneja wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Mkoa wa Arusha, Kayobio Majogoro(41), ameieleza mahakama kwamba ofisi yake haikuwa na taarifa kwa aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro Lengai Ole Sabaya, kuongoza kikosi kazi maalumu kwenda kukusanya kodi katika Jiji la Arusha...
  5. E

    JamiiForums Tanzania Umoja wa mechanical engineers Tanzania (TME), tunaomba mashine zote za uzalishaji zisamehewe kodi

    Uzalishaji ndiyo nguzo kuu ya uchumi katika nchi yoyote na nguzo kuu za uzalishaji katika nchi ni mbili. Uzalishaji wa kilimo na uzalishaji wa bidhaa za viwandani. Mechanical engineers ndiyo nguzo ya uzalishaji wa viwandani na sisi tunaiomba serikali yetu iweke msamaha wa kodi katika mashine...
  6. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Rais, Mawaziri, Wabunge wa maafisa/watumishi wengine wa Serikali hawalipi kodi lakini ndiyo wanapangia wengine kiasi cha kodi cha kulipa

    Salama. Huwa viongozi na watumishi wa serikali wakijinasibu kuwa wanalipa kodi, lakini kilogic watu hawa hawalipi kodi hata kidogo, badala yake ni watumia kodi. Wataalamu waliochunguza swala hili walikuja na mfano ufuatao. Ikitokea nchi ikakusanya kodi sifuri, basi kuanzia Rais, Waziri...
  7. Influenza

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Mhandisi aswekwa ndani kwa kutafuna Bilioni tatu za mradi wa maji. Adai kujenga Kibanda cha mabati cha 'site' kwa Milioni 100

    Waziri wa Maji, Prof. Makame Mbarawa ameamuru Jeshi la Polisi kumkamata na kumuweka mahabusu Mhandisi Alistides Kanyomo wa kampuni ya Mbesso Construction kutoka Jijini Dar es Salaam Kwa tuhuma za ubadhirifu wa zaidi ya shilingi bilioni tatu za Ujenzi wa mradi wa Maji Katika Bonde la Mwakaleli...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Nyerere: Serikali corrupt duniani kote hazikusanyi kodi hubaki kukimbizana na Wamachinga barabarani

    Nyerere: Serikali corrupt duniani kote hazikusanyi kodi hubaki kufukuzana na wamachinga barabarani hata Italy pale wana mzigo wa madeni. Kumbukumbu ya miaka 22 baada ya kifo cha Nyerere Chanzo: ITV
  9. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni nchi ya kodi na matumizi ya kodi?

    WanaJf, Salaam! Nimefanya utafiti mdogo kwenye sekta ya viwanda nikagundua mrundikano wa tozo, kodi, na ushuru vinavyotozwa na Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan. Kwa mfano kwa wilaya ya Bukoba mmiliki wa kiwanda cha kuongeza tofali za block hukutana na kodi, ushuru na tozo hizi:- (i)...
  10. Analogia Malenga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu yazuia kodi ya mauzo

    Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya alitaka kampuni zilipe kodi ya 1% kwenye jumla ya mauzo kwa mwaka Sheria hiyo ingeipatia Kenya jumla ya Ksh. Bilioni 21 sawa na takribani Tsh. Bilioni 441.74 Mahakama Kuu ya Kenya imesema kotoza kodi hata kwa waliopata hasara ni kinyume cha Katiba. Kampuni nyingi...
  11. JF Member

    JamiiForums Tanzania TRA wamekuja ofisini kwetu wakitaka kukagua hesabu za 2012 Hadi 2017

    Hii imekaaje wadau. Hapa tunaulizana mbona wameanzia kote huko. Shida ni nini? Mi najua sheria ni miaka mitano nyuma. Wataalamu tuelimishane, maana nina mpango wa kuwabishia wakija kukagua.
  12. Richard

    JamiiForums Tanzania Serikali ya awamu ya tano ilikusanya kodi Trilioni 1.3 kwa mwezi, leo awamu ya sita yakopa fedha hizohizo kutoka IMF kwa matumizi yaleyale

    Katika kile serikali inachoamini kufufua uchumi ulokwamishwa na janga la UVIKO-19, mapema mwezi ulopita wa August iliandika barua ya kuomba mkopo IMF. Katika barua hiyo ambayo iliandikwa na waziri wa fedha Mwigulu Nchemba na Gavana wa BOT Florens Luoga, serikali imeahidi matumizi mazuri ya...
  13. Mayunga234

    JamiiForums Tanzania Hii ni aibu kubwa sana kwa Harmonize

    Nasema tena hii ni Aibu kubwa sana kwa Harmonize Waliobahatika Kuangalia ICU leo watanielewa Harmonize kwa Kujimwambafai Instagram aha Anaongoza ila in Real life ni anasikitisha hivi kweli Msanii anashindwa kuclear rent anayodaiwa na mwenye nyumba yake yaani analeta Ustar hadi kwenye Kulipa Kodi...
  14. K

    JamiiForums Tanzania SoC01 Machinga Tanzania ni wafanyabiashara wakubwa walioumizwa na mfumo wa kodi

    Utangulizi Nimetembelea Kariakoo Mara nyingi ninapopata fursa ya kufika Dar es salaam. Nimefanya tafiti kwanini bidhaa inayouzwa na machinga iwe nafuu kuliko bidhaa hiyohiyo eneo like inayouzwa dukani? Ukweli ni kwamba Kariakoo na masoko makubwa nchini hakuna machinga Bali Kuna kundi la watu...
  15. P

    JamiiForums Tanzania Sakata la Wamachinga: Suluhisho pekee ni Serikali kuhimiza wananchi kufanya biashara rasmi kwa mujibu wa sheria na kusimamia maslahi ya pande zote

    Salaam; Hivi karibuni mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Mh Amos Makalla ametoa maagizo ya kuwataka wamachinga waliopanga bidhaa zao barabarani kuondoka mara moja katika maeneo hayo. Maagizo haya yametokana na mgogoro uliopo kati ya wafanyabishara rasmi waliopanga katika maduka dhidi ya wamachinga...
  16. OLS

    JamiiForums Tanzania Misamaha ya kodi haina ulazima kwa Tanzania, ndio sababu ya kuwakaba raia wa chini kwa tozo

    Misamaha ya kodi mara zote huwa ni kwa jili ya wawekezaji ambao misamaha hiyo husababisha mapato mengi kupotea na kwenda kumkaba asiye na kitu, ambaye ni mwananchi wa chini kutoa tozo, ushuru, ada nk. Sababu wanayosema ya kutoa msamaha wa kodi ni kuvutia uwekezaji, sababu ambayo ni mfu kwa kuwa...
  17. MchunguZI

    JamiiForums Tanzania Spika na Bunge lake; ni maadili au hasira ya kutotaka kulipa kodi? Mwigulu aliyeshauri tuhamie Burundi je?

    Haingii akilini kwamba bunge linatumia muda mwingi kujadili sehemu ya kazi za mbunge. Eti Gwajima Mbunge, anajadiliwa kwa kuhoji maamuzi ya serikali Eti Silaa Mbunge, anajadiliwa kwa kusema anachohisi ni ukwepaji kodi kwa wabunge! Sasa kinachoendelea ni muendelezo wa kuhojiwa na kamati baada ya...
  18. Opportunity Cost

    JamiiForums Tanzania Ukwepaji huu wa kodi kwenye minada, Serikali na TRA Mnazidiwa mbinu na Wafanyabiashara Wahuni?

    Umofia kwenu. Nimesoma makala moja imenisikitisha kidogo Kuhusu ukwepaji kodi unafanyika kwenye biashara za minada huku TRA ikiambulia hasara. Haiingii akilini mfanyabiashara akadhamilia kukwamisha mnada kwa kutaja bei kubwa alafu anatokomea na nyie mlioandaa functions mnaishia kula hasara za...
  19. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Rais anatumia kodi zetu vibaya, Royal Tour yake haina faida ni Ufujaji wa pesa za Maskini

    Rais alipaswa afikirie mambo makubwa ya msingi na kuachana na uigizaji anaoufanya kwa kutumia pesa zetu vibaya. Toka ameteuliwa kuwa Rais anazunguka tu. Hatulii kufanya kazi. Nchi hii watu wanaiba ye hana hata habari ana talii tu. Haya mambo ni ufujaji wa pesa za umma. Badala yake ndo...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Waziri Bashungwa akamatwe kwa kuchezea Fedha za walipa kodi

    Hii nchi tunashindwa tuiweke kundi gani, kundi la masikini au tajiri? hivi huu ufujaji wa hela mnauelewa kweli yaaani stars kushinda mechi moja tu hata bado haijafudhu waziri anatoa hela anagawa kwanini usitoe zako mfukoni, haya mambo ndio yanafanya tuendelee kukwepa kodi na tozo
Back
Top Bottom