kodi

  1. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kwamba Serikali ya Tanzania haiwafahamu wenye nyumba kiasi cha kumkata mpangaji kodi ya Majengo ni uongo wa kiwango cha chini sana na ni wizi

    Kodi ya Majengo imelipwa ndani ya nchi hii kwa miaka na miaka , kwa kipindi kirefu ililipwa kwenye Halmashauri na kuwa mapato ya Halmashauri husika ili kusaidia miradi mbali mbali , mimi mwenyewe nina nyumba 2 kwenye halmashauri ya Temeke , nafahamu ninachoandika , Jina langu linafahamika vema...
  2. chiembe

    JamiiForums Tanzania China, Marekani na Ulaya walitozana sana kufikia hapo. Maendeleo ni gharama, serikali isigeuke nyuma!

    Watanzania waelewe, serikali haina vyanzo vingine vya mapato zaidi ya kodi ya Watanzania. Watanzania tunataka maendeleo,barabara nzuri,reli,umeme, shule,hospitali, miji iliyopangika,maji, serikali yenye ufanisi,ulinzi na usalama,lakini ili upate vitu hivyo lazima ugharamikie kwa tozo na kodi...
  3. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Wabunge wasio na huruma waliamua tuwalipie kodi wenye nyumba

    Kwamba kwa nyumba za kawaida tutakatwa buku kila mwezi. Waliopanga kwenye magorofa buku tano. Hivi hawa wabunge ni wawakilishi wa wa wananchi? Hakuna jinsi wacha tuwalipie kodi wenye nyumba.
  4. kwenda21

    JamiiForums Tanzania Tatizo si kulipa ila ni kumlipia mwenye nyumba ili hali kodi nampa

    Tulipeni Kisha wenye nyumba tukaeni chini nao tuzungumze,wakate kwenye usafi na vitu vya usafi
  5. Life2

    JamiiForums Tanzania Kodi na Tozo zinazowaumiza Watanzania: Tumekosea wapi ili tutubu?

    Ndugu zangu Watanzania tumekosea wapi mbona siku hadi siku mambo yanazidi kuwa tight sana mtaani huku. No pesa ukitumia ka hela kako kidogo unakutana na makato ya ajabu,ukiweka Vocha usalimie ndugu & jamaa napo tabu. Day after day wanakuja na mbinu mpya sio kwa ajili ya kumpa ahueni Mtanzania...
  6. yello masai

    JamiiForums Tanzania Kodi ya Jengo au Kodi ya Mita ya LUKU?

    Binafsi sina jengo, ila kuna sehemu nimeweka umeme kwa ajili ya kazi zangu. Lakini sio kwenye jengo maana kazi hii nafanya sehemu ya wazi. Sasa bwana leo nikasema ngoja ninunue umeme wa 2,200 nione kama nitakatwa kodi ya jengo wakati sina jengo. Sijaamini kilichotokea, umeme wa 2,200...
  7. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Wapangaji waijulishe TRA kuwa nyumba si zao ili TRA isifanye kosa kuwatoza kodi ya jengo

    Ili kuondoa mgogoro kati ya mwenye nyumba na mpangaji TRA iwatake wapangaji wapeleke namba zao za mita na kuiwezesha TRA iwaondoe kwenye kulipishwa kimakosa. Hata hivyo tatizo litabaki pale mwenye nyumba na mapangaji wanatumia mita moja ambapo mwenye nyumba atalazimisha wapangaji walipe kodi ya...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Ukiitisha maandamano kupinga Tozo za Simu na Kodi za Majengo kupitia LUKU, watu wengi wanaweza kujitokeza

    Ni imani yangu hivi sasa yakiitishwa maandamano ya amani kupinga hizo tozo, maandamano hayo yanaweza kuwa makubwa na yakaweka historia katika hii nchi. Iwapo nguvu zitatumika kuzuia maandamano hayo, si ajabu hata askari walafanya kazi yao chini ya kiwango kwani nao ni wahanga wa hizi kodi...
  9. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Nataka kufungua kesi kupinga kodi ya jengo kupitia Luku lakini sioni wa kunitetea mahakamani

    Haki yangu ya msingi naona imeporwa, nataka kufungua kesi dhidi ya malipo ya kodi ya jengo kupitia Luku ila shida iliyopo ni hao ninaowategemea wana maslahi na nafuu waliyoipata, wakili ananyumba anapangisha yeye mzigo wa kuilipia kodi wamemtua na hakimu naye nyumba yake anapangisha naye mzigo...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Kodi ya majengo kuanza kukatwa kwenye Luku kuanzia Agosti 20, 2021. Je, Serikali imekosa Dira, mbinu zimewaishia?

    Naomba kuuliza maswali machache. Ni sababu ipi hasa ya msingi iliyopelekea kutoka mfumo wa malipo wa zamani kuleta mfumo wa sasa? Kwa hiyo kwanzia agost 20 kodi ya jengo inalipwa na mpangaji? Vipi kuhusu nyumba ambazo kila chumba kina mita yake? Vipi kususu mpangaji mmoja ambaye kapanga...
  11. Ndebile

    JamiiForums Tanzania Ukwepaji Kodi: Waziri Mwigulu mbinu ulizosema ni za zamani sana

    Nikupe mfano, muagize mtu wa "kawaida" ambaye muonekano wake ni wa kawaida yaani asiwe kama ofisa flani hivi aende duka maarufu hapa Mwanza linanoitwa Mwanza Huduma: wanauza vifaa vya ujenzi anunue sementi, mabati, nk pale kuna mbinu mpya. Unapewa risiti halali kabisa ya TRA na unaambiwa ni ya...
  12. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Usambazaji wa umeme vijiji (REA) Ilikuwa mbinu ya kuongeza idadi walipa kodi ya Majengo?

    Leo Nyumba duni zenye umeme ukinunua umeme lazima utakatwa kodi ya jengo, hii ni kwa sababu hakuna mfumo wowote TANESCO unaoonyesha nyumba duni na nyumba bora. Mfumo wao unatambua namba ya mita tu baasi. Je, ule usambazaji wa umeme wa REA vijijini ulilenga kuongeza kodi zaidi ?
  13. BestOfMyKind

    JamiiForums Tanzania Thesis ya Mwigulu Nchemba phd

    Tasnifu ya Mh. Nchemba iliyompa phd pale UDSM
  14. Prof Koboko

    JamiiForums Tanzania Hii Kodi ya Majengo mbona ni utata? Ninawaza tofauti

    Ninajiuliza, kama mwanzo kodi hizi zilikua zinalipwa na wamiliki wa majengo, imekuaje mzigo huu utupiwe kwa wapangaji? Hii ni haki siyo uonevu? Kwanini nisifikiri kuwa viongozi wetu huko juu ndio wengi wao wanamiliki majumba mengi kama miradi yao wanataka kukwepesha mzigo huu kwao? Kwanini...
  15. Francis fares Maro

    JamiiForums Tanzania Kulipa kodi ni maendeleo

    Ndugu wanabodi, Nimefwatilia Kwa kina mijadala hii ya Tozo na Kodi ya majengo Niseme machache! Tulipe kodi kwasababu Kodi ndio msingi wa maendeleo yetu,bila Kodi nchi Itakua ngumu sana hii,hizi Kodi ndio tunaona mabarabara, vituo vya Afya, watumishi kupandishwa madalaja, madarasa, Elimu Bora...
  16. Kamamaa

    JamiiForums Tanzania SoC01 Mfungwa sio mnyama, alipwe, alipe kodi

    Mfungwa anapomaliza kifungo na kurudi uraiani anakuwa kama mtoto. Hana kazi, hana mali na wakati mwingine hata utu wake huonekana tofauti. Anaweza kuonekana kama mhalifu kama wengine wengi ambao wakitoka jela huwa na sura za kutisha. Huonekana si kitu. Hana mbele wala nyuma na waswahili husema...
  17. Opportunity Cost

    JamiiForums Tanzania Changamoto za kuwa uchumi wa kati ni maumivu ya kodi kuwa juu

    Wakati tunashangilia kuingia Uchumi wa Kati basi ujue Tulikuwa tunashangilia yafuatayo; 1.Nchi kuhama kutoka kupewa mikopo nafuu na ya mda mrefu na kukopeshwa mikopo ya Kibiashara. 2.Kukoma au Kupungua kwa misaada ya wahisani.kama misaada ya kibajeti nk 3.Kuanza kujitegemea kwa kila...
  18. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Ukiitegemea biashara yako mpya ikulishe, ikulipie kodi ya nyumba na kadhalika, jiandae kuanguka

    Habari wakuu, Ukosefu wa ajira serikalini, taasisi mbali mbali, viwandani n.k imekuwa ndio chanzo cha vijana wengi mpaka wazee kukimbilia kwenye biashara, Wengi tunapoanza biashara huwa hatuna uelewa wa kutosha, maarifa tunayoyapata kwa kuulizia ulizia kwa watu, mtandaoni au kwa ndugu na...
  19. MR TOXIC

    JamiiForums Tanzania Kodi ya miamala ya simu ni mbinu mpya ya upigaji?

    Ni wiki chache tu tangu serikali ianzishe kodi ya miamala ya simu kwa madai kwamba mapato yatakayotokana na tozo hizo yataenda kufungua barabara za mjini na vijijini. Lakini juzi, waziri huyo huyo aliyetuaminisha kwamba barabara zitajengwa kwa kodi inayotokana na tozo ya miamala ya simu...
  20. MSHINO

    JamiiForums Tanzania Tozo Mpya za Miamala: Pigo kwa Sekta ya Mawasiliano nchini

    A new government levy on mobile money introduced last month in Tanzania has sparked outrage from citizens due to the significant increase in costs. With 26 million people, almost half the country’s population, using mobile money the surge in prices has been felt widely. The tax, which has...
Back
Top Bottom