kodi

  1. N

    JamiiForums Tanzania Mnaponogewa kukusanya kodi na tozo kwenye gesi ya kupikia, kumbukeni pia kujiandaa kukabili athari za kimazingira

    Kutokana na kupanda bei kwa gesi ya kupikia hivi sasa kuanzia alfajiri pilikapilika za bodaboda zilizobeba mafurushi ya mkaa mithili ya fuso zimeongezeka kwa spidi ya kimbunga. Hii inaashiria kwamba asilimia kubwa ya familia zilizokuwa zimeanza kutumia gesi zimerudi kwenye matumizi ya mkaa...
  2. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Mfanyakazi TRA: Toka nianze kazi TRA miaka 8, haupo wakati ukusanyaji kodi ulikubalika kama wa Hayati Magufuli

    "...wakati wa Magufuli ilifikia wakati wafanyabiashara wanagombania kulipa kodi kwa hiari yao." "...nakumbuka kuanzia 2018 ndiyo kipindi hasa wafanyabiashara nchini karibu wote wakubwa kwa wadogo walianza kugombania na kulipa kwa wakati kodi stahiki na tena wakati huo hata habari ya wao kutaka...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Serikali iwe makini na sheria mpya za kutoza kodi hasa BRELA, TRA N.K

    Kuna baadhi ya taasisi za serikali zinazokusanya mapato hivi karibuni zimepewa au kuanzaisha namna ya kuongeza mapato yao kupitia sheria mpya, Mfano BRELA wana sheria ya Kufile Beneficial Ower Details kabla 31, dec,21 kwa makampuni yote, na wanadai kutofanya ivyo faini yake ni...
  4. Adharusi

    JamiiForums Tanzania Rais Samia tunaomba Kodi za kuingiza magari zipungue tuwe kama Zanzibar

    Mhe Rais pole na majukumu,kazi yako unaifanya vizuri Sana ,#MitanoTena Sisi Wananchi wa Tanzania bara ,ukweli tumechoka na iki KIKIKOTOO cha ushuru WA kuingiza magari ,ushuru unazidi bei ya kununua gari ,mbona Zanzibar hawana ushuru WA kufuru namna hiyo Tuna amini Kodi ikupungua watu wengi...
  5. Kiturilo

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara Arusha wafunga maduka kwa muda usiojulikana

    Baada ya wafanyabiashara na Chadema kushangilia mateso ya kufungiwa biashara kwa wamachinga hatimae zamu yao imefika, kuanzia leo kodi ya maduka kwenye jiji la Arusha imepandishwa kwa 100% na kupelekea wenye maduka kugoma kwa muda usiojulikana. Wafanyabiashara wafunga maduka kisa kupandishiwa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Biashara zipi hazina kodi

    Nipo wilayani nafanya biashara 2.moja Ni ya kununua na kuuza mifugo, hakika sijawahi lipa Kodi, 2. Biashara ya chuma chakavu hii ina usumbufu mwingi, vibali polisi , rushwa , kutishwa tishwa, nataka kuacha niambie Ni biashara nyingine ipi ipo free from tax nifanye
  7. B

    JamiiForums Tanzania Waziri ang'aka akitaka Kodi za Pango la Ardhi

    Amesikika waziri Angelina Mabula akidai kodi kwa wananchi choka mbaya: Bila shaka hii ni juu ya kodi za pango la nyumba na tozo za Dr. Mwigulu zinazokusanywa juu kwa juu kupitia miamala ya simu. "Inafikirisha kuwa sehemu kubwa ya pesa hizi zinazokusanywa kwa nguvu kutokea kwa wananchi hawa...
  8. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kibonzo: Wapigiwa kura wanavyotumbua kodi yetu

  9. Kalunya

    JamiiForums Tanzania SGR zihurumieni kodi zetu

    Wasalamu sioni haja ya kujenga madaraja vivuko vya magari kwenye mapitio ya magari wakati kuna njia mbadala na nafuu kwanini msiinue reli kwa kuongeza ukubwa wa tuta treni ipite juu magari yapite chini kupunguza gharama kama mfano wa karavati kubwa gari zipite chini. Airport mbomoe nyumba...
  10. buffalo44

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Chumba Single Sinza, Magomeni Kanisani, Kawe, Mbezi au Goba

    Hello wakuu. Nipo natafuta chumba single. Kuanza life baada ya chuo. Naomba mwenye nyumba yoyote aliye maeneo hayo anisaidie room single Bajeti yangu ni 60k - 80k kwa mwezi. Dalali niseme hela yako inaniwia ngumu. Ikiwa 50% nipo tayari. Msaada wenu.
  11. B

    JamiiForums Tanzania Kodi anayolipa Mtanzania inamrejea kwa njia ipi? Inatosha?

    Leo ninapenda kueleweshwa hili la kodi tunazo lipa. Huduma kama vile - : Maji tunalipia Umeme tunalipia Elimu tunalipia Hospitali tunalipia barabara tunalipia Mtanzania anapata wapi Asante ya kodi yake na Masamaki, mamisitu, mazahabu, maalmasi, maserengeti ngorongoro
  12. Naantombe Mushi

    JamiiForums Tanzania Utatuzi wa wamachinga ilikuwa ni kuwatoza kodi. Hiyo ndo ingeleta Win-Win kwa machinga na Serikali

    Niliwahi kuleta uzi wangu hapa kuhusu hili suala mwezi August, kwenye stories of change kwa lengo la kutoa ushauri kwa serikali wa namna bora ya kukabiliana na hili suala...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, tafadhali usitumie kodi zetu kwa ajili ya CCM

    Nimeshangazwa sana kwa kitendo ulichofanya jana mkoani Arusha kuugeuza mkutano wa hadhara wa Rais wa JMT kuwa mkutano wa kisiasa wa CCM. Ninakukumbusha kwamba gharama zilizotumika jana ni kodi zinazotolewa na Watanzania wote na yamkini waliokuwepo uwanjani ni watanzania wa vyama vyote na...
  14. idoyo

    JamiiForums Tanzania Ni vita kati ya Wapigakura na Walipakodi. Mwamuzi anawataka wote, ila mmoja zaidi

    .
  15. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Makamba, Tatua suala la kodi ya pango kupitia ununuaji wa LUKU

    Mheshimiwa Waziri Makamba Inavyoonekana vijana/watu waliotengeneza mfumo wa kulipia kodi ya jengo kupitia ununuaji wa LUKU walichokifanya, ni kukata pesa kupitia kila namba ya simu itakayonunua LUKU bila kujali namba hizo tofauti zinanunua umeme kwa ajili ya mita moja. Mathalani kama Namba X...
  16. U

    JamiiForums Tanzania Mgao wa madarasa 20m, serikali iondoe Kodi , vifaa vya Ujenzi juu

    Ummy Mwalimu umegawa kila chumba Cha darasa 20m, kwasasa ni ngumu kwa bajeti hio, vifaa vya Ujenzi juu Sana, naomba mutoe special offers yaani tax exemptions kwa Ujenzi juu wa madarasa vinginevyo mtatumbua, au mjenge kwa matofali ya udongo then plasta tu ndo cement, halaf nondo moja tu Tena...
  17. Political Jurist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aweka Rekodi Makusanyo ya Kodi 1.9 Trilioni Mwezi Septemba 2021

    MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AWEKA REKODI MAKUSANYO YA KODI 1.9 TRILIONI MWEZI SEPTEMBER Na, Mwandishi wetu, Dar es salaam Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan amekuwa Rais wa kwanza Tanzania kuweka rekodi ya makusanyo ya Tshs. 1.9 trilioni kwa Mwezi September pekee. Taarifa hii ipo kwa usahihi...
  18. Numero Uno

    JamiiForums Tanzania Makato ya kodi

    TANESCO makato ya kodi yanakatwaje Nimenunua umeme kwa kutumia namba za simu tofauti lakini namba zote zimekatwa Namba zote zimenunua umeme kwa meter moja kwanini nimekatwa kodi?
  19. S

    JamiiForums Tanzania Kodi halali ni VAT nyingine zote ni wizi, amkeni

    Ukweli usemwe kodi ya uhalali katika nchi nyingi ni ile inayopewa jina la VAT na hutozwa pale unaponunua kitu. Ila hapa Nyumbani Tz kuna mlolongo wa kodi zisizo na miguu wala kichwa ila zinameno na zinatumaliza wananchi. Unaenda kununua mfano luku ya umeme mle ndani mna tozo tatu kuna hiyo ya...
  20. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Tony Blair kaja kumwona Mama Samia? Nina Masikitiko!

    Kati ya viongozi wa Uingereza waliowahi kunikatisha tamaa ni Tony Blair. Huyu alikuwa Waziri Mkuu wa Uingereza kati ya mwaka 1997 mpaka 2007. Wakati akipata Uwaziri Mkuu, ndiye alikuwa kiongozi kijana kuliko wote kwa miaka 185 ya historia ya Uingereza, na alikuwa na miaka 44 tu. Na alikuwa...
Back
Top Bottom