kkkt

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BigBro

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini ujenzi wa makanisa mengi ya KKKT huwa hauishi?

    Tangu nakua kule Keko Magulumbasi, kunapokuwa na ujenzi wa Kanisa la KKKT huwa miaka na miaka ujenzi haukamiliki. Mifano ipo Mingi tu. Tangu mwaka 1998 Kanisa la pale Korogwe Kimara KKKT ujenzi haujaisha. Segerea mwisho hadi kesho bado ujenzi haujaisha. Kibamba shule njia ya Kibwegere ujenzi...
  2. CRISTA

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza acha kulichafua Kanisa la KKKT

    Hivi karibuni hapa Jamii Forum tumeshuhudia Tamko kutoka kwa Askofu Bagonza likimshutumu Aliyekuwa Askofu Mkuu wa KKKT Dr.Fredrick Shoo. Kauli hii inasikitisha sana ikizingatiwa ni Kiongozi Mkubwa sana wa Kanisa la KKKT. Maswali ya muhimu kwako 1.Kwa Nini uliamua Kutoa Mambo ya KKKT...
  3. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Je, KKKT ni mpinzani mpya wa CHADEMA?

    Ninashangazwa na wafuasi wa CHADEMA siku ya leo wakimshambulia kiongozi mkuu wa Kanisa la kiinjili la kilutheri Tanzania, Askofu Malasusa na kubaki na mshangao mkubwa. Lema na wanachama wengine waandamizi wameongoza mashambulizi makali dhidi ya kanisa na kiongozi wake. Inasikitisha sana...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ashiriki Ibada Maalum ya kumuingiza kazini Mkuu Mteule wa KKKT, Askofu Dkt. Alex Malasusa, Azania Front, leo Januari 21, 2024

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Ibada Maalum ya kumuingiza kazini Mkuu Mteule wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Askofu Dkt. Alex Gehaz Malasusa, katika Viwanja vya Kanisa Kuu la Azania Front, Dayosisi ya Mashariki na Pwani jijini Dar...
  5. chiembe

    JamiiForums Tanzania Askofu Benson Bagonza: Askofu Malasusa anapokea uongozi wa KKKT kutoka kwa Dk Shoo huku kanisa likigubikwa na madeni yanayotokana na ubadhirifu

    Askofu Malasusa anakamata usukani wa kuongoza KKKT tarehe 21/1/2024. Askofu Benson Bagonza ameeleza kwamba kanisa hilo linegubikwa na madeni ya kutisha yanayotokana na ubadhirifu uliokithiri wakati wa uongozi wa Dk. Shoo. Bagonza ameeleza kwamba Kanisa hilo limekosa uhalali wa kukemea...
  6. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 KKKT nayo yajitosa Bungeni kutoa maoni yake kuhusu Sheria za uchaguzi

    Kanisa la Kiinjili la Kirutheri Tanzania , ni miongoni mwa Taasisi za Kidini zilizojitokeza mbele ya kamati ya Bunge kutoa maoni kuhusu miswada ya sheria za Uchaguzi . Kanisa hilo limewakilishwa na Askofu Shoo , ambaye pamoja na mambo mengine ameitaka kamati hiyo ya Bunge kuhakikisha maoni...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Akina RC, KKKT, SDA na Anglican msimchukie tu Mwamposa, bali jiulizeni mmekosea wapi na kawazidi nini sawa?

    Baadhi yenu baada ya kusikia leo Mwaposa ana Ibada yake ya Mkesha ya Vuka na Chako ( ambayo Demu wangu Kaniwakilisha ) mlivyo na Wivu, Chuki na Roho Mbaya zenu nanyi kwa Makusudi mkaandaa Mikesha yenu ili Waumini wenu wasiende Mkeshani Tanganyika Packers Kawe. Haya nyie KKKT. Kawe kwa mfano...
  8. sky soldier

    JamiiForums Tanzania KKKT, Walokole je, ni sawa kwa mwanamke alie kwenye hedhi kuendesha ibada?

    Hapo zamani KKKT hawakuruhusu ila nadhani walianza kuiga kwa Walokole. Je, kwa mwanamke alie kwenye mzunguko, ni sawa kuendesha ibada takatifu? Ni kinyume hata kwa agano jipya kitabu cha 1Timotheo 2 inayohusu maagizo ya utaratibu wa ibada. 1 Timotheo 2:12 >> "Simruhusu mwanamke yeyote...
  9. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania TANZIA Askofu Mstaafu wa Dayosisi ya Kaskazini ( KKKT) Dkt. Erasto Kweka afariki Dunia

    Taarifa zaidi zitaendelea kutufikia. Poleni kwa msiba mkubwa!
  10. Faana

    JamiiForums Tanzania TANZIA Tanzia: Msaidizi wa Askofu Dayosisi ya Kusini KKKT Dkt. Gabriel Nduye Afariki Dunia

    Taarifa zinasema Msaidizi wa Askofu wa Dayosisi ya Kusini ya KKKT Dr. Gabriel Nduye amefariki dunia leo kwa ajali ya gari. Imeelezwa kuwa Mchg. Dr. Gabriel Nduye amepata ajali baada ya gari lake kugongana na lori katika kijiji cha Ng'anda Njombe alipokuwa akirejea kutoka kwenye semina ya...
  11. Mpigania uhuru wa pili

    JamiiForums Tanzania Kama una shida ni ngumu sana kupata msaada kwenye kanisa la KKKT kama hawakujui

    Note Unahaki ya kumnyima mtu msaada sio dhambi au kosa ila usidhalilishe utu wake kama hauna nia au hutaki kumsaidia Upendo wa kweli unapimwa kwa watu usiowajua unawatreat vip usiowajua wanapohitaji msaada wako na sio unaowajua Kuna mwaka nilipitia msoto mkali nilikua mitaa ya ITV nikasema...
  12. figganigga

    JamiiForums Tanzania Sisi KKKT tunayo Huduma ya alama kwa Viziwi, Katoriki na Makanisa mengine mnakwama wapi?

    Salaam Wakuu, Sisi KKKT Dayosisi Mashariki na Pwani Katika ushirika wa Boko Jimbo la Kusini Magaribi, tumeadhimisha ibada ya siku ya Viziwi. Ibada inaongozwana Mkuu. Wa jimbo Mchungaji Godlove chagulilo. Wakalimani wapo kama wote. Je, Makanisa mengine mnakwamba wapi kuwahudumia watu...
  13. Kyamiki

    JamiiForums Tanzania DOKEZO KKKT Dayosisi ya Kaskazini Mashariki(Tanga) walipe madeni ya walimu wa Bangala na Lwandai sekondari

    Uongozi wa Kkkt Dayosisi ya kaskazini mashariki (KKKT-DKMS) wasidhulumu haki za watumishi wa Lwandai sekondari na Bangala seminari n.k Ni miaka kadhaa umepita tangu uongozi wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri-DKMs ubadilishwe toka kwenye uongozi wa Dr. Munga kwenda kwa Ask. Dr Mbilu Msafiri, na...
  14. Mjina Mrefu

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Wanaoliunganisha Taifa ni Taifa Stars na KKKT

    Habari wakuu, Zitto Kabwe ametoa kauli nzito sana ambayo aliichapisha ktk mtandao wa Twitter (X). Alisema, 'Nchi hii waunganisha Taifa ni Taifa Stars na KKKT ..." Je ni busara kwa kiongozi mkubwa wa chama cha siasa kama yeye kutoa kauli kama hiyo? Una maoni gani kuhusu kauli hiyo?
  15. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Malasusa awa askofu mkuu KKKT, lakini walutheri wengi hawana furaha na amani, nini shida?

    Nimefuatilia mwitikio wa waumini wa kanisa la Lutheran hapa Tanzania (KKKT) baada ya Askofu Alex Malasusa kuchaguliwa kuwa askofu mkuu wa kanisa hilo hapa Tanzania. Hali imekuwa tofauti kidogo, kwa waumini kadhaa ambao nimefanikiwa kuwasikiliza ni kama vile hawajafurahia hilo au wamechukizwa...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Ninayoyaona KKKT nimegundua Kanisa Katoliki ndilo kanisa la Kweli

    Mwanzo nilijua hili kanisa la kkkt ni level moja na Katoliki lakini kumbe ni KICHUGUU NA KILIMANJARO. Sasahivi nimekuwa mtu mzima ndio najua Kanisa Katoliki halistahili kufananishwa na makanisa mengine, yaani Katoliki ni kanisa la kipekee sana na MISINGI YAKE ILIWEKWA NA MMOJA WA WANAFUNZI WA...
  17. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Ni wajumbe gani wanaopiga kura kumchaguwa Askofu mkuu wa KKKT Tanzania kwa mujibu wa katiba yao?

    Igweeeeee, Kama heading ya thread inavyojieleza naomba kufahamu kwa anayefahamu katiba ya kanisa la KKKT Tanzania ni kina nani ni wajumbe wa mkutano mkuu wa kumchaguwa Askofu mkuu? Kwa upande wa Kanisa Katoliki nadhani iko wazi hakuna Askofu mkuu wa kanisa katoliki Tanzania, maaskofu wote ni...
  18. Nature

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi KKKT: Askofu Malasusa achaguliwa kuwa Askofu Mkuu wa KKKT kuchukua nafasi ya Dkt. Fredrick Shoo

    Malasusa amepata kura 167 ambazo ni asilimia 64 ya kura zote zilizopigwa Askofu Malasusa alikuwa anagombea dhidi ya askofu Abednego Keshomshahara wa Dayosisi ya Bukoba aliyepata kura 73 na Askofu Dr George Fihavango wa Dayosisi ya Njombe aliyeshindwa katika duru ya kwanza. Hii itaakuwa ni mara...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Askofu Malasusa kwanini anataka tena Uaskofu Mkuu KKKT?

    Malasusa alishamaliza two terms za uaskofu Mkuu, baada ya mabadiliko ya katiba amegombea tena uaskofu Mkuu; je ana jambo jipya kwa taasisi hii yenye watu zaidi ya milioni nane NCHINI? Endapo atapata, hakuna uwezekano akaikabidhi taasisi hii kwenye dola kama alivyofanya DSM akiwa mjumbe wa...
  20. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Askofu Mkuu wa KKKT, waumini wako wanahitaji kufafanuliwa zaidi

    Kwa wenye uelewa tulikuelwa vizuri kwamba kanisa linaunga mkono uwekezaji, lakini huku nyuma umesahau kwamba kuna akina kitenge na mwijaku wanaopindisha manaeno, sasa unalishwa maneno kwamba kanisa linaunga mkono mkataba wa bandari jambo amabalo siyo kweli. Ulisema kuna mapendekezo mlimpa raisi...
Back
Top Bottom