Akina RC, KKKT, SDA na Anglican msimchukie tu Mwamposa, bali jiulizeni mmekosea wapi na kawazidi nini sawa?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,694
109,127
Baadhi yenu baada ya kusikia leo Mwaposa ana Ibada yake ya Mkesha ya Vuka na Chako ( ambayo Demu wangu Kaniwakilisha ) mlivyo na Wivu, Chuki na Roho Mbaya zenu nanyi kwa Makusudi mkaandaa Mikesha yenu ili Waumini wenu wasiende Mkeshani Tanganyika Packers Kawe.

Haya nyie KKKT. Kawe kwa mfano oneni sasa Mlivyoumbuka kwani pamoja nanyi kuandaa Mkesha wenu Usiku huu hadi hivi sasa GENTAMYCINE naandika huu Uzi nachungulia Kanisa lenu naona hakuna Waumini kabisa huku Wanakwaya wenu wakiamza kupiga tu Miayo na wengine Wakitongozana na Walinzi wenu wakiwa Wanalijadili tu na Kulisifia Tamasha la Mwaposa linaloendelea sasa.

RC, KKKT, SDA na Anglican msichokijua tu ni kwamba Utajiri mkubwa wa Waumini wa Mwaposa ni wale waliokuwa Waumini wenu Kimadhehebu hivyo GENTAMYCINE nawaombeni kaeni chini mjiulize mmekosea wapi mpaka Jamaa ( Mwaposa ) amewapigeni na anaendelea Kuwapigeni Bao kwa Kukubalika na Kuaminika Kwake.

Binafsi RC ( Dhehebu langu tukuka ) kama kuna Kitu mnanikwaza GENTAMYCINE ni Kauli yenu ya Kibabe kuwa kama hatuhudhurii Ibada za Jumuiya za kila Jumamosi na hatutoi Michango yenu mnayoibuni kila mkiamka na mkijisikia basi Tukifa wala hamtopoteza muda wenu kuja Kutuombea achilia mbali kuja katika Misiba yetu tukiwa Majenezani tukisubiria kwenda kuyaanza Maisha yetu mapya tukiwa peke yetu chini ya Ardhi / Udongoni.

Haya nyie Wanakwaya wa KKKT Kawe baada ya Mkesha wenu Kudoda / Kuwadodeeni nawashaurini fungeni tu hilo Kanisa lenu na mpelekeeni huo Ufunguo Mchungaji wenu ambaye namuona Kisirisiri ( kwa Kumchungulia ) nae akiwa glued katika Tv yake iliyo Ukutani akifuatilia Mubashara kabisa Mkesha wa Mwaposa wa Vuka na Chako.

Hakika Mwaposa anawanyoosheni!!
 
Kwa Mwamposa waumini 90 % ni wanawake.

Wanawake ni rahisi sana kuwakamata vichwa kwa mambo ya miujiza, kwa kulijua hili watu wa mazingaombwe wamejipenyeza makanisani kuwawehua wanawake, wanawake wengi wana vichwa vyepesi sana mambo ya imani

Mafuta yanauzwa laki, Keki ya upako inauzwa sh ngap 😅 😅
 
Bas njoo Happ kawe ukwamani kwenye bar ya mangi uje nikununulie bia 5 na kitimoto utulie nam huku tukiwasubiri mademu zetu watoke kwa mwamposa
 
people need solution za matatizo yao halisia sio liturujia za kujirudia rudia kama vikao vya taasisi fulani…
Solution sio kwa njia ya mazingaombwe, ni aidha ujikubali uishi na changamoto zako ama upambane kwa njia zenye matumani.

Huwa sishangai kuona 90% wanaoenda huko ni wanawake, nipo napitaga njia ya kanisa flani, ni kawaida kumkuta mwanamke katoka kanisani ananiomba buku ya kula, siku nzima kashinda kanisani, jua likizama Mchungaji wao anaondoka na V8, kwamba mchungaji kashindwa kumsaidia hata chakula ?

Ni kweli tuna matatizo lakini kujua namna sahihi ya kukabiliana nayo ni jambo muhimu zaidi, Si kila tatizo ni la kusubiria muujiza na manabii wengi hutumia shida za watu kujitajirisha,
 
Baadhi yenu baada ya kusikia leo Mwaposa ana Ibada yake ya Mkesha ya Vuka na Chako ( ambayo Demu wangu Kaniwakilisha ) mlivyo na Wivu, Chuki na Roho Mbaya zenu nanyi kwa Makusudi mkaandaa Mikesha yenu ili Waumini wenu wasiende Mkeshani Tanganyika Packers Kawe.

Haya nyie KKKT. Kawe kwa mfano oneni sasa Mlivyoumbuka kwani pamoja nanyi kuandaa Mkesha wenu Usiku huu hadi hivi sasa GENTAMYCINE naandika huu Uzi nachungulia Kanisa lenu naona hakuna Waumini kabisa huku Wanakwaya wenu wakiamza kupiga tu Miayo na wengine Wakitongozana na Walinzi wenu wakiwa Wanalijadili tu na Kulisifia Tamasha la Mwaposa linaloendelea sasa.

RC, KKKT, SDA na Anglican msichokijua tu ni kwamba Utajiri mkubwa wa Waumini wa Mwaposa ni wale waliokuwa Waumini wenu Kimadhehebu hivyo GENTAMYCINE nawaombeni kaeni chini mjiulize mmekosea wapi mpaka Jamaa ( Mwaposa ) amewapigeni na anaendelea Kuwapigeni Bao kwa Kukubalika na Kuaminika Kwake.

Binafsi RC ( Dhehebu langu tukuka ) kama kuna Kitu mnanikwaza GENTAMYCINE ni Kauli yenu ya Kibabe kuwa kama hatuhudhurii Ibada za Jumuiya za kila Jumamosi na hatutoi Michango yenu mnayoibuni kila mkiamka na mkijisikia basi Tukifa wala hamtopoteza muda wenu kuja Kutuombea achilia mbali kuja katika Misiba yetu tukiwa Majenezani tukisubiria kwenda kuyaanza Maisha yetu mapya tukiwa peke yetu chini ya Ardhi / Udongoni.

Haya nyie Wanakwaya wa KKKT Kawe baada ya Mkesha wenu Kudoda / Kuwadodeeni nawashaurini fungeni tu hilo Kanisa lenu na mpelekeeni huo Ufunguo Mchungaji wenu ambaye namuona Kisirisiri ( kwa Kumchungulia ) nae akiwa glued katika Tv yake iliyo Ukutani akifuatilia Mubashara kabisa Mkesha wa Mwaposa wa Vuka na Chako.

Hakika Mwaposa anawanyoosheni!!
Nashindilia sentensi zako hizi kama RC ninayekwezeka na haya mambo yaliyotungwa na kina fulani kwasababu za kujinufaisha kihela...

"Binafsi RC ( Dhehebu langu tukuka ) kama kuna Kitu mnanikwaza GENTAMYCINE ni Kauli yenu ya Kibabe kuwa kama hatuhudhurii Ibada za Jumuiya za kila Jumamosi na hatutoi Michango yenu mnayoibuni kila mkiamka na mkijisikia basi Tukifa wala hamtopoteza muda wenu kuja Kutuombea achilia mbali kuja katika Misiba yetu tukiwa Majenezani tukisubiria kwenda kuyaanza Maisha yetu mapya tukiwa peke yetu chini ya Ardhi"

Hapo tuuu....

Safi sana mdau
 
Satanachia is going to win, people lay unto believing illusions, women women women stays firm unto your truth Lords. We people's made up of clay we have Lord - genetic, our word works well if we believe and lay unto most high, Thank you, and God bless you all, my fellow humanoids creature!
Ohh the most high, doeth, they way you wishes, ablanathanalba!
# I cry, my heart cry!
================
 
Mtu anatumia miti shamba kusafisha nyota za waumuni na mnaamini kwamba ni miujiza.

Mwamposa anatumia tiba asilia ya chumvi, amdalasini, mimea karafuu na majani ya mdalasini na maji ya mvua.

Kwani mnashindwa kuvitumia hivi nyumbani?

RC wenyewe yale maji ya baraka ni maji ya mvua wanayachanganya na chumvi.
 
Kukosa maarifa na kutokufahamu undani wa mambo ni janga, wengi hufuata maji ya marangu water fall, mpaka wazungu "I don't know the secret of that water, lakini kwa dondoo kidogo yana tabia ya ku re new!, infact unakuwa mtu mpya,na matakataka yanakukaa pembeni!
-YAPO MENGI NATAMANI KUYAWEKA HAPA LAKINI HUENDA YAKAARIBU MIFUMU YA MANABII WETU HAWA WAPI (WAKISASA)
*LAY UNTO YOUR TRUTH LORD, TOA DHAKA NA SADAKA, HUTAPUNGUKIWA!
AMEN.
 
Solution sio kwa njia ya mazingaombwe, ni aidha ujikubali uishi na changamoto zako ama upambane kwa njia zenye matumani.

Huwa sishangai kuona 90% wanaoenda huko ni wanawake, nipo napitaga njia ya kanisa flani, ni kawaida kumkuta mwanamke katoka kanisani ananiomba buku ya kula, siku nzima kashinda kanisani, jua likizama Mchungaji wao anaondoka na V8, kwamba mchungaji kashindwa kumsaidia hata chakula ?

Ni kweli tuna matatizo lakini kujua namna sahihi ya kukabiliana nayo ni jambo muhimu zaidi, Si kila tatizo ni la kusubiria muujiza na manabii wengi hutumia shida za watu kujitajirisha,
Eti mazingaombwe kna jirani yanu mu RC alienda kijini kwao wakamroga ndio alielewa ni mazingaombwe au ni nguvu za Mungu naye alikuwa kama type yako subiri upate changamoto za kiroho utaelewa
 
RC wala hatuna muda nae wala hatumchukii ila hatukubali katika utume wake. Ni kama tusivyokubali ubatizo wa wa makanisa ya pesa,Fpct, SDA, na mengine yote yasiyobatiza kwa kutumia UTATU MTAKATIFU
FB_IMG_17017180362016104.jpg
 
Mtu anatumia miti shamba kusafisha nyota za waumuni na mnaamini kwamba ni miujiza.

Mwamposa anatumia tiba asilia ya chumvi, amdalasini, mimea karafuu na majani ya mdalasini na maji ya mvua.

Kwani mnashindwa kuvitumia hivi nyumbani?

RC wenyewe yale maji ya baraka ni maji ya mvua wanayachanganya na chumvi.
Ficha upumbavu wako.
 
Eti mazingaombwe kna jirani yanu mu RC alienda kijini kwao wakamroga ndio alielewa ni mazingaombwe au ni nguvu za Mungu naye alikuwa kama type yako subiri upate changamoto za kiroho utaelewa
"watatokea manabii nao watafanya miujiza yao, infact mtego wetu ni tuwashinde manabii hawa wa uongo, wanaoitumia biblia kama ngao yao katika kufanikisha aina ya ujuzi wao wa kiganga, infact hawa ni waganga wa kienyeji katika mfumo wa siri mno, nadokeza kidogo, ukienda kwao umerogwa aidha una shida inayousiana na uchawi utapona, wanazo nguvu zao nzito kabisa za kuondoa mapepo "kiganga" kwani maeneo yao ya makanisa huwa na nguvu kubwa zimetegwa, na pia mapepo yametegwa, key :- au ufunguo huwa nao pale mtumishi, (circles) trickly!, wakati waumini wakiingia kanisani huweza kuwaachia baadhi ya mapepo, yakawaingia watu, na anapoanza maombi huweza kuyakaribia, yakaamka na kuyafukuza (circulae accomplished).
 
Attachments

  • IMG_20231216_071254_253.jpg
    IMG_20231216_071254_253.jpg
    45.5 KB · Views: 4
Back
Top Bottom