kkkt

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Baraka Mina

    JamiiForums Tanzania Dkt. Shoo: Kanisa litaendelea kutoa waraka

    Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dkt. Fredrick Shoo akizungumza katika Maadhimisho ya Miaka 60 ya KKKT jijini Arusha amesema kanisa litaendelea kukemea yale yote ambayo yapo kinyume. Katika kufanya hivyo, kanisa lisihesabike kuwa linachanganya dini na siasa bali Serikali...
  2. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Mgeni Rasmi Maadhimisho ya Miaka 60 ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Agosti 21, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika Maadhimisho ya Miaka 60 Ya Kanisa La Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) yatakayofanyika Jumatatu tarehe 21 Agosti 2023 katika Chuo cha Tumaini Makumira mkoani Arusha. Mwenyeji wa Rais...
  3. Nobunaga

    JamiiForums Tanzania Nyaraka KKKT, TEC zilivyoibua mijadala mwaka 2018

    Tunakumbushana tuu, nyaraka hizi za haya mabaraza ya kidini yalikuwepo, yapo na yataendelea kuwepo. Siyo KKKT,TEC ama BAKWATA wote hutoa nyaraka zinazozungumzia mambo mtambuka yanayogusa jamii. Na hizi nyaraka hazina muda maalumu wa kutolewa, ni muda wowote ambapo kunapokuwa na imbalance kati ya...
  4. U

    JamiiForums Tanzania Video: Dakika 31 za Askofu Benson Bagonza - KKKT - Dayosisi ya Karagwe akitoa maoni yake mkataba wa bandari zetu

    Kwa ujumla ujumbe wake ni "Rushwa ndani ya serikali ndiyo sababu ya kwanini tunalumbana kama taifa leo kwa sababu ya mkataba huu" Mtazame na kumsikiliza mwanzo mwisho kwenye video hii👇👇👇👇👇👇👇👇
  5. comte

    JamiiForums Tanzania Tupate mkataba wa uendeshi wa hospital za Bugando (TEC) na KCMC (KKKT) ili tujadili bandari vizuri

    Hospital za Bugando na KCMC zinamilikiwa na makanisa na zinaendeshwa kwa ubia na serikali ya JMT. Ninafikiri mikataba yake ingetusaidia sana kwenye mjadala unaoendelea wa bandari
  6. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Kanisa la KKKT kashfa ya ubaguzi ndani yake

    Hellow Kanisa la KkKT ndani yake lina ubaguzi sana kuanzia kwenye jumiya mpaka kanisani ukaaji wake ndani ya kanisa kuna matabaka badala kanisa kuwafanya watu wawe wa moja badala yake linawatenga Unakuta jumiiya ya inaitwa upend ndani yake wamejaa kimario tu na wote wanapesa tu na katika...
  7. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Kulikoni Mali za KKKT -DKMS kupigwa Mnada?

    This is very serious! Juzi walitangaza kupiga Mnada shule ya Secondary Lwandai, hii ni shule yenye historia kubwa saaana, ni shule ambayo wakongwe wazee wetu walisoma miaka hio ya Ukoloni. Leo nimeona Tena Tangazo, Tarehe 16 June 2023 watapiga Mnada Chuo, hiki chuo kinahistoria, hii kabla ya...
  8. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kashfa kubwa kanisa la KKKT Dayosisi ya Mashariki na Pwani. Kanisa latumika kuwauzia mashamba hewa waumini wake. Ekari feki 15,000 ziliuzwa

    Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Dayosisi ya Mashariki na Pwani limeingia kwenye kashfa kubwa ya utapeli baada ya makanisa yake ya Kijitonyama, Salasala, Mwenge, Ubungo na Mbezi Beach kuwauzià waumini wake mashamba feki yaliyopo Bagamoyo. Mashamba hayo yenye zaidi ya heka 15,000 yalikuwa...
  9. mtwa mkulu

    JamiiForums Tanzania KKKT Konde yazidi kumuandama Askofu Mwaikali. Yaanzisha vita mpya kudai maeneo

    Picha: Askofu Mwaikali Lile kanisa lililo bomoka vipande vipande, dayosisi la konde limeendelea kumuandama Askofu Mwaikali aliyejitenga na kanisa hilo mwaka jana. Baada ya kuwanyang'anya wafuasi wa mwaikali magari, makanisa sasa ni vita mpya ya kuwanyang'anya kila walichobakiwa nacho warutheli...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kanisa la KKKT lahukumiwa kulipa fidia ya shilingi Milioni 70

    Mahakama ya hakimu Mkazi Njombe imelihukumu Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya kusini kulipa fidia ya shilingi Milioni 70 baada ya gari mali ya kanisa hilo kugonga na kusababisha kifo cha marehemu Kaselida Mlowe wa mjini Njombe. Akisoma hukumu hiyo 08 Mei 2023, Hakimu...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Je, Mchungaji Kimaro anaweza kuanzisha Huduma yake bila kutoka KKKT kama alivyo Mwalimu Mwakasege?

    Nauliza tu kama hilo linawezekana kwa sababu mchungaji Dr Kimaro amekuwa ni hitaji la wanajamii wengi bila kujali madhehebu wala dini Enendeni Duniani kote mkahubiri Injili kwa kila kiumbe Marko:16:15-18 hili ndio agizo kuu la Bwana na Mwokozi wetu Yesu Kristo Mbarikiwe sana!
  12. NetMaster

    JamiiForums Tanzania "Mungu anaangalia roho haangalii mavazi" ni kauli inayohamasisha mmomonyoko wa maadili. Wakristo tuwe na msimamo juu ya mavazi kanisani

    NB: mods nawaomben msihamishe huu uzi jukwaa,kuuedit,au kutoa kipande chochote kile, kwa niloandika, Kuna funzo kubwa sana hapa kuzuia kasi ya mmomoo wa maadili (Moral Decay) ambao unazidi kumea. Ni jukumu letu kama wakristo kujaribu kukumbusha waumini juu ya wajibu wao kuvaa mavazi...
  13. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Nilienda kanisa fulani leo kumsindikiza rafiki, mavazi ya mabinti kadhaa yamenishangaza. Kwao wanajidanganya Mungu anaangalia roho si mavazi

    Leo siku ya pasaka nilimuahidi rafiki kwamba nitampa kampani kwenda kanisani kwao (ni kanisa mojawapo marufu duniani) lakini pia nami niweze kujionea shghuli zinazofanyika katika siku hii pamoja na kusikiliza maneno takatifu. misa ikiwa inaendelea ndani binti aliingia kwenda kukaa siti ya...
  14. 3 Angels message

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Eliona Kimaro arejea KKKT Kijitonyama

    Leo ikiwa ndiyo hitimisho la likizo ya siku 60 alizopewa Mchungaji Kimaro akiwa pia amepewa msamaha na Kiongozi wake mkuu Dr Malasusa Mchungaji Kimaro amerejea tena Kanisani Kijitonyama ambapo waumini wake wamemlaki kwa nderemo na vifijo Pia, soma: - Mchungaji Eliona Kimaro wa KKKT...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Mnaosali KKKT bado mna imani na kanisa hili? Mbona migogoro imetamalaki?

    Migogoro ktk kanisa hili imeota mizizi na inakuwa sehemu ya utamaduni wa kanisa hili. Ukiingia kwenye mitandao ukatfuta historia na taarifa za migogoro utakutana na lundo la migogoro iliyowahi kuripotiwa. Nitawakumbusha michache. 1. Wakati wa mgawanyo wa Dayosisi ya Pare na Mwanga maaskofu...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Askofu wa KKKT Dkt. Alex Malasusa atangaza kumsamehe Mchungaji Kimaro

    Mchungaji Kimaro wa KKKT Kijitonyama ameomba msamaha kwa Kanisa zima la KKKT, Maaskofu, Wachungaji na Waumini wote Askofu Malasusa amemtangazia msamaha Askofu awataka Waumini waache Ushabiki kwa sababu wanaligawa Kanisa na huo siyo Ukristo Tukio lilikuwa mubashara KKKT Kinyerezi Chanzo...
  17. mtwa mkulu

    JamiiForums Tanzania Hali ni mbaya KKKT wanauza magari waliyomnyang'anya Askofu Mwaikali Dayosisi ya konde

  18. figganigga

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli Mtumishi wa KKKT Kijitonyama kadokoa sadaka madhabahuni?

    Kuna Video nimeona sehemu, ambayo watu wanasema Mtumishi huyu wa Mungu kadokoa Sadaka Madhabahuni mwa Bwana. Mimi naiangalia mara mbilimbili siamini macho yangu. Nimeamua kupost hapa ili wataalamu wa Video wasaidie kudadavua. Je, huyu Kadokoa sadaka? Kama kadokoa sadaka, karma itamuacha...
  19. chiembe

    JamiiForums Tanzania Hofu yatanda KKKT Dayosisis ya Mashariki na Pwani, baada ya kumfyeka mchungaji Kimaro, panga la Askofu Malasusa kuwafyeka mchungaji Mbiso na Masai

    Wachungaji wanahaha kwa hofu kuu wakihofia upanga mkali. Kuna taarifa zimesambaa kwamba Askofu Malasusa anaunoa upanga wake kuwamaliza Mbiso na Masai. Mbiso na Masai, kama Dk. Kimaro, pia nyota zao zinawaka kkwa kiasi Cha kumfanya Askofu Malasusa awachukie. Muda wowote na wao watafyekwa.
  20. Alex Fredrick

    JamiiForums Tanzania KKKT acheni Mfumo Dume

    Miaka ya nyuma na udogo wangu nimekuwa nikiabudu KKKT Usharika wa Kariakoo. Niliacha kuabudu KKKT mwaka 2008 nadhani kipindi hicho Kimaro ndo kapewa Usharika wa Kariakoo.. Niliondoka baada ya kuona Ibada zimekuwa za kawaida sana sio za kuongozwa na Roho kama Biblia inavyotaka. Mwanzilishi wa...
Back
Top Bottom