kkkt

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lady Whistledown

    Maaskofu Wastaafu wa KKKT Wapinga hatua zilizotumika kutatua mgogoro wa Dayosisi ya Konde

    Wakati Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) likitoa tamko la kufafanua mgogoro wa Dayosisi ya Konde mkoani Mbeya, baadhi ya maaskofu wastaafu wametoa waraka wa kupinga hatua zilizochukuliwa na uongozi wa kanisa hilo kwa mgogoro huo. Mgogoro wa Dayosisi ya Konde umekwenda mbali na...
  2. chiembe

    Askofu Dkt. Shoo, Wana KKKT wa Konde wanasema fedha zao bilioni 2 za kujenga chuo kikuu ndizo zimekutoa Kilimanjaro kwenda kumfukuza askofu wao

    Ni vyema sasa Askofu Shoo akatoka na kufafanua hili. Ukifuatilia YouTube, Wana Konde wanaidai kwamba mzizi wa mgogoro ni fedha hizo, na wanadai askofu "mchaga" anatumika kuficha waliozifuja. Kuna nini katika fedha hizo? Maana ni vizuri akajisafisha kwamba hakuzila Hela hizo, na kama alizila...
  3. tutafikatu

    Siri: Kiini cha mgogoro unaofukuta ndani ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Konde

    SIRI imefichuka, kwamba kiini cha mgogoro unaofukuta ndani ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Konde, Mbeya, kinatajwa kuwa ni kuficha udanganyifu kwenye mkopo uliochukuliwa na Kanisa hilo, takribani miaka minane iliyopita. Raia Mwema ilielezwa kuwa baadhi ya viongozi...
  4. Jidu La Mabambasi

    Serikali iwachukulie hatua hawa Maaskofu wa KKKT kwa kuleta fujo katika Jamii ya waumini

    Hii sasa ni hatari kwa mustakabali wa amani nchini. Inavyoonekana kuna kikundi cha Maaskofu ambao wameamua kuleta ufarakano ndani ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri, Tanzania-KKKT. Hili kundi yumo Askofu Bagonza wa Karagwe Askofu Mwaipopo wa Jimbo La Ziwa Tanganyika, Sumbawanga Na sasa amengia...
  5. masopakyindi

    Dayosisi ya Konde KKKT kutawanyika?

    Kuna kila dalili kwamba Dayosisi ya Konde KKKT inaweza kutawanyika na kubaki vipande vipande. Ibilisi ameota mizizi ndani ya Konde, tena Ibilisi mwenye mapembe yake ya kiburi, hasira, ukaidi, utenganisho, fitna na kiujumla kupotea kabisa kwa upendo. Kwa wengi tuliodhani ujio wa Dr Mwaikali...
  6. Man from cuba

    Mgogoro KKKT Dayosisi ya Konde nani alaumiwe?

    Kanisa la kiinjili la kiluteri Tanzania KKKT dayosisi ya konde limeingia majaribuni baada ya mgogoro wa muda mrefu uliotokana na uamuzi wa askofu wake Dkt. Mwaikali kuhamisha kiti cha askofu kutoka Tukuyu kulipokuwepo makao makuu ya dayosisi ya konde kuyapeleka Mbeya mjini uamuzi uliozua mgogoro...
  7. masopakyindi

    Dr. Edward Mwaikali avuliwa Uaskofu Dayosisi ya Konde KKKT

    Nimepata tetesi kuwa katika Mkutano Mkuu wa Dayosisi ya Konde KKKT, ulioitishwa na Mkuu wa Kanisa, leo 22/03/2022, aliyekuwa Askofu wa Dayosisi ya Konde Dr. Edward Mwaikali , amevuliwa Uaskofu. ==== Mkutano mkuu wa Kanisa la kiinjili la kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Konde umemuondoa...
  8. J

    Mbowe kwa kujua au kutokujua ameamua kuitumia Ibada ya Sadaka ya Shukrani kama sehemu ya mkutano wake wa siasa

    FREEMAN MBOWE UMEANZA TENA Leo jumapili Terehe 20/03/2022 Mwenyekiti wa chadema Ndugu Freeman Mbowe aliungana na familia yake na wafuasi wake kutoa sadaka ya SHUKURANI katika kanisa la KKKT Dayosisi ya Kaskazini, ushariki wa Nshara machame Kuna baadhi ya mambo yamenza kuonekana ambayo hayana...
  9. kyagata

    KKKT Dayosisi ya Kaskazini Mashariki mambo bado si shwari

    Moshi. Hali bado si shwari ndani ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Kaskazini Mashariki baada ya aliyekuwa askofu wake, Dk Stephen Munga kumwandikia barua kiongozi wa dayosisi hiyo, Askofu Msafiri Mbilu akipinga tuhuma alizopewa. Mbali na hilo, Munga pia...
  10. masopakyindi

    Mgogoro wa KKKT Konde: Tatizo ni hela iliyoliwa na kundi la Askofu

    Imebidi niingie chimbo kuchunguza mgogoro huu wa Dayosisi ya Konde. Wazungu wanasema penye mgogoro usiotaka kuisha- FOLLOW THE MONEY! Kiti cha Askofu kimeshindwa kurudishwa Tukuyu maana ofisi ya Tukuyu ilimokuwa Dayosisi imeuzwa au kupangishwa kwa milioni 200. Ofisi wameuziwa au kupangishwa...
  11. Kurunzi

    AIBU: Wachungaji KKKT wampinga Dk Shoo

    Mambo mengine ni kushangaza sana inakuwaje Kanisa lenye waumini wengi kujiendesha kama klabu ya pombe hukuna maelewano ni vurugu, tamaa ya mali hakuna uungu hapo. Siku chache baada ya Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania, (KKKT), Dk Fredrick Shoo kuagiza kiti cha Askofu Dk...
  12. babi

    Davis Mosha akusanya zaidi ya milioni 400 kanisa la KKKT-Arusha Mjini

    Mfanyabiashara Davis Mosha leo ameongoza Harambee ya ujenzi wa Kanisa, Katika misa ya harambee hiyo iliyoendeshwa katika Kanisa la KKKT usharika wa Arusha Mjini, Davis Mosha aliyeongozana na Familia yake aliweza kuchangisha jumla ya kiasi cha Shilingi Milioni mia nne. Akizungumza katika Hafla...
  13. I

    Nafurahi sana maaskofu wa KKKT wanavyowaumbua TEC

    Maaskofu KKKT nchi hii wanaonesha ndiyo watetezi wa kweli wa haki za binadamu wakiongozwa na Ask Shoo na Bagonza. Sijawahi kuona maskofu wa Kanisa Katoliki wakikemea mauaji aliyofanya Sabaya au Makonda zaidi ya kumsifia Makonda tu kuwa anafaa kuwa rais baada ya JPM kupitia kwa Kardinali Pengo...
  14. masopakyindi

    Askofu Isaya Mengele na Askofu Mwaikali, mgogoro wa KKKT Dayosisi ya Konde unawapaka matope!

    Askofu Mengele -katikati na Askofu Mwikali aliyesimama walipoita waandishi wa habari wakijieleza. Askofu Mengele amefunga safari kwenda Mbeya kumpa tafu Askofu mwenziwe Askofu Mwaikali ambaye ana tuhuma zinazo muweka katika sintofahamu na kondoo wake. Kitendo cha kupeana tafu kati ya hawa...
  15. J

    Askofu Dkt. Shoo: Mbowe alikuwa mbunge wangu na nimekuwa naye karibu sijawahi kuona tabia ya ugaidi kwake, nitashangaa sana!

    Askofu mkuu wa KKKT Dr Shoo amesema anamfahamu vizuri Freeman Mbowe ambaye amewahi pia kuwa mbunge wake na hakuwahi kuiona tabia ya ugaidi moyoni kwake, hivyo atashangaa sana kama Freeman ni gaidi Askofu Shoo amesema haki itendeke katika kesi hii ambayo inafuatiliwa na watu wenye mapenzi mema...
  16. Erythrocyte

    Kanisa la KKKT Makongoro, Furahisha Mwanza lafanya ibada ya kumuombea Freeman Mbowe, wafuasi wa Chadema wafurika

    Leo tarehe 1.8.2021 ndani ya kanisa hilo kumefanyika ibada ya kumuombea Mwamba wa siasa za Tanzania Mh Freeman Mbowe ambaye amebambikwa kesi ya Ugaidi kutokana na kujitolea kwake kupigania demokrasia na haki nchini Tanzania. Umati wa waumini umehudhuria huku sadaka za kumshukuru Mungu...
  17. M

    Barua maalum kwa Kanisa Katoliki na Kanisa la Kilutheri: Tusaidieni kupata Katiba Mpya na kutetea haki za kikatiba za kila mtu

    Ndugu Maaskofu wetu. Amani ya Bwana iwe nanyi. Sina wasiwasi na Viongozi wetu wa dini wa Kanisa Katoliki na Kanisa la Kilutheri kuwa soon mtatupa muongozo wenu, kuhusu suala hili la katiba mpya ambalo serikali ya CCM inajaribu kulikwepa. Mababa askofu nawaandikieni barua hii kwa sababu CCM...
Back
Top Bottom