kkkt

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassimu Majaliwa Amuwakilisha Rais Samia Katika Kuwekwa Wakifu na Kuingizwa kazini kwa Askofu Mteule wa KKKT Dayosisi Ya Mwanga.

    Ndugu zangu Watanzania, Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Kassimu Majaliwa,Leo hii Tarehe 13 Amemuwailisha Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Katika kuwekwa Wakifu na Kuingizwa kazini kwa Askofu...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Kwa Takwimu za Jumuiya , Wakatoliki wapo Milioni 24, KKKT mil 12, Madhehebu na dini nyingine sifahamu

    Hii Si Muhimu Sana, Lakini Wakristu wa Madhehebu ya Katoliki na Kkkt kupitia Jumuiya zao , wanazo takwimu za idadi ya waumini wao ,ambazo accuracy ya taarifa zao ni asilimia 94-100. Inaonesha Kwa madhehebu ya Kikristu Kanisa Katoliki ndio linaongoza Kwa idadi ya waumini wengi likiwa na...
  3. Mikael Aweda

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CCT Ask Shoo wa KKKT aunga mkono kanisa la RC Kupinga Utekaji na uuaji kwenye hotuba ya kufungua mkutano mkuu wao

    Mwenyekiti wa CCT Ask Shoo ametoa hotuba ambayo sikutegemea. Kwenye hotuba yake ya kufungua Mkutano mkuu wa CCT Leo jul 3, 2025 mjini Dodoma alinyooka kwenye kauli yake ya kuunga mkono wazi wazi msimamo wa kanisa Katoliki wa KUPINGA kuteka, kuua na kupoteza watu. Anasema watanzania...
  4. T

    JamiiForums Tanzania KKKT ibada ya leo iko live upendo Tv, Singida

    Hebu wenzangu na ninyi angalieni UPENDO TV muda huu. Ni kampain zaidi ya kampeni. KKKT tunakwama wapi? https://www.youtube.com/live/WlGZ2ocj6Bk?si=C2R94OQyjKIPMvuC
  5. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Hivi muundo wa KKKT upoje naona kama kila Askofu ana mamlaka yake

    GT Pesa ni hatari sana. Ndo maana hata kwenye bibilia pesa imeandikwa kumsaliti yesu. Viongozi wenye njaa wanaenda kulitumbukiza taifa hili katika matatizo Makubwa sana. Wale wa wa upande ule ambao walikatazwa kuwa na familia nadhani waliona mbali sana maana kuepuka maslahi binafsi ni kazi...
  6. tpaul

    JamiiForums Tanzania Baada ya Kanisa la Ufufuo na Uzima kufutwa, kituo kifuatacho ni KKKT? Ushahidi huu hapa

    Serikali ya CCM haipoi na haijawahi kupoa. Ndivyo unavyoweza kusema. Baada ya serikali kulifuta kanisa la Gwajima kwa kuhoji kuhusu utekaji na mauaji yanayoendelea hapa nchini kila kukicha, kanisa la KKKT nalo limeanza kuleta chokochoko kwa kutetea usawa, haki na uwazi kwenye uchaguzi, kutungwa...
  7. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 RC Njombe akabidhi shilingi milioni 30 kwa niaba ya Rais Samia, harambee ya ujenzi wa kanisa la Makao makuu (KKKT) - Dayosisi ya Kusini Kati

    Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) - Dayosisi ya Kusini Kati limefanikiwa kupata zaidi ya shilingi milioni 210 katika harambee ya ujenzi wa kanisa la Makao makuu iliyofanyika leo Juni 7,2025 ambapo Mgeni Rasmi alikuwa ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kanisa la KKKT Makete lamzawadia Rais Samia Tuzo ya Amani na Umoja

    Katika hatua ya kutambua mchango wake mkubwa katika kudumisha amani, umoja na mshikamano nchini, Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kusini Kati limemzawadia tuzo Rais Samia. Tuzo hiyo imekabidhiwa rasmi leo Juni 7, 2025, katika Wilaya ya Makete, mkoani Njombe, na...
  9. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Kutoshiriki Maaskofu wa Dayosisi zingine za KKKT Harambee ya leo inatakiwa kumpa ujumbe mkubwa sana Mtawala na Askofu Malasusa

    Kiutaratibu na kikawaida, shughuli za KKKT zinazomhusisha Mkuu wa Nchi huwa zinahudhuriwa na Maaskofu wa Dayosisi zote za KKKT pamoja na Maaskofu Wastaafu. Shughuli hizi pia huwa zinahudhuriwa na washirika wakuu wa KKKT ambao ni Baraza la Maaskofu Katoliki ( TEC) Tofauti kubwa iliyoonekana leo...
  10. KUKULU- KAKALA

    JamiiForums Tanzania Kumchagua mkuu wa kanisa wa sasa wa KKKT lilikuwa kosa kubwa lenye kuondoa relevance ya kanisa kwenye jamii

    Uchaguzi wa kiongozi wa Sasa wa kanisa la Lutheran ilikuwa ni move ya system ku cripple nguvu ya kanisa hususani baada ya aliyekuwepo Askofu Dr. Shoo kuwa mstari wa Mbele dhidi ya injustice na kukemea uovu. Huyu wasasa ni coward, speechless, and can't stand out and speak in case of oppression...
  11. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania RC na KKKT kufutwa?

    Kwa nyakati tofauti, viongozi wa hayo Madhehebu wametoa matamko ya kuikosoa Serikali. Mengine ni makali hata kuzidi ya Askofu Gwajima! Je! Hayo nayo yatafungiwa kama ilivyofanyika kwa Kanisa la UFUFUO NA UZIMA? Lipi litatangulia kufungiwa kati ya RC na KKKT?
  12. R

    JamiiForums Tanzania Wake up call -Dayosisi ya KKKT Karagwe: Imarisha ulinzi kwa Askofu Benson Bagonza

    Kuna kila na strong justification sababu ya kuimarisha Ulinzi wa Askofu bagonza kwa msimamo wake wa kutetea HAKI. Yaliyotokea kwa Fr. Kitima hayako mbali naye kwa msimamo wake wa kiroho kutetea haki. KUCHUKUA TAHADHALI NI MUHIMU Soma Pia: Padri Kitima ashambuliwa na watu wasiojulikana...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ukimya wa Mkuu wa KKKT, Askofu Alex Malasusa tukio la Padri Kitima unatia shaka

    Ukimya wa Mkuu wa KKKT,Askofu Alex Malasusa kukaa kimya hadi sasa tangu kutokea tukio lililomkumba Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Charles Kitima, unaweza kuibua maswali mengi, hasa ikizingatiwa kuwa viongozi wa dini mara nyingi huonyesha mshikamano wanapokumbwa...
  14. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania KKKT Karagwe yalaani shambulio dhidi ya Fr. Kitima

    YAH: SALAAM ZA POLE. Kwa niaba yangu binafsi, na kwa niaba ya Dayosisi ninayoiongoza kwa neema, pokea salaam za pole kama Baraza, Kanisa na binafsi kwa Fr. Charles Kitima kwa tukio ovu lililofanyika na kumdhuru mtumishi wa Baraza. Shambulio hilo si la Fr. Kitima, si la TEC, wala la Imani ya...
  15. C

    JamiiForums Tanzania Kanisa la KKKT na malasusa wenu, wapentekoste ,kina Mwamposa na wafananao nae,mnaunga mkono huu unyama wa serikali dhidi ya raia?

    Maana wenye makanisa hayo juu hawajaonekana kukerwa na kinacho fanywa, nadhani inabidi mjitafakari dini yenu inaamini katika nini?au mnathamini fedha na mali na sadaka zao tuu kuliko utu wao?
  16. C

    JamiiForums Tanzania Mahubiri ya Mkuu wa KKKT yametaja neno HAKI?

    Mahubiri ya Mkuu wa KKKT sikukuu ya Pasaka kwa namna yoyote yametaja neno HAKI? Au?
  17. C

    JamiiForums Tanzania KKKT mnapoteza sana muda wenu kuendelea kumng'ang'ani MALASUSA huyo si msaada tena kwa ustawi wa kanisa.

    Ni hayo tu. Kichwa kinajitosheleza. Maana kanisa limekuwa la kinafiki.
  18. U

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa uchaguzi wa askofu dayosisi ya mwanga Kanisa la kiinjili la kilutheri Tanzania kufanyika machi 10, 2025, mrithi wa sendoro kupatikana

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili hapo chini kwa kiswahili: Mwanga. Dayosisi ya Mwanga ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) inatarajia kufanya mkutano mkuu maalumu wa uchaguzi, Machi 10, 2025, ili kumpata mrithi wa aliyekuwa askofu wa Dayosisi hiyo, Chediel Sendoro...
  19. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge atupele Mwakibete afanikisha kukusanya Milioni 27, harambee Kwaya ya KKKT usharika wa Kandete Mwakaleli

    Mbunge wa Jimbo la Busokelo,Atupele Fredy Mwakibete ameongoza kukusanywa zaidi ya Shilingi Milioni 27 katika harambee ya Ununuzi wa gari aina ya Coastar ya Kwaya kuu ya Usharika huo. Akizungumza kwa niaba ya Mgeni rasmi ambaye ni spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mwakibete...
  20. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Askofu KKKT, Isaac Laizer: Tunatakiwa kuombea roho za wizi wa kura na utekaji nchini

    "Wizi umeota mizizi katika nchi yetu watu wanaiba kila kitu, wanaiba kura. Na ninyi mmeshuhudia juzi tu kwenye mambo haya ya kura kura pamoja na kwamba tumesikia ucaguzi umekuwa huru na wa haki, si kweli. Na wengine kwa ajili ya kutaka kupata nafasi wamewaua wengine, ndugu zangu tunapaswa...
Back
Top Bottom