Plot4Sale Kiwanja Mbezi Mpigi Magoe -kwa mzungu

Plot4Sale Kiwanja Mbezi Mpigi Magoe -kwa mzungu

Sonship

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2021
Posts
326
Reaction score
401
KIWANJA KINAUZWA – MBEZI MPIGI MAGOE (KWA MZUNGU)

Unatafuta kiwanja kwenye eneo zuri la makazi au uwekezaji? Hiki ni fursa yako!
  • Ukubwa: Mita 20 × 20
  • Kiwanja kimepimwa
  • Hati inatolewa moja kwa moja kwa jina la mnunuzi
  • Kimezungukwa na fensi ya ukuta pande mbili
  • Maji na umeme vinapatikana jirani
  • Mtaa mzuri, salama na unaoendelea kwa kasi

💰 Bei: TZS Milioni 18 (mazungumzo yapo)

📞 Wasiliana nasi:
0675 065906

20260703_115742.jpg
20260703_115744.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom