kiwanja

  1. MAMESHO

    JamiiForums Tanzania Je, ni hatua gani ya kuchukua pale kiwanja kinapovamiwa?

    Naandika ujumbe huu kwa niaba ya dada mmoja anaitwa Joan, alinunua kiwanja kutoka kwa rafiki yake miaka ya nyuma na kupewa hati ya kijiji ambapo aliweka mashahidi watatu. Aliyemuuzia kiwanja alisafiri kwenda njje ya nje ambako ameolewa na anaishi huko kwa sasa. Joan akaanza kujenga nyumba ya...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa wilayani Ilemela, Mwanza

    Ninauza kiwanja million 22 nafungua majadiliano kwenye bei. Kiwanja ni kikubwa kipo mtaa wa Kahama karibu na ofisi kuu za WILAYANI ILEMELA. Urefu 65 na upana 60 na barabara inaingia mpaka kiwanjani. Kiwanja ni changu kimepimwa upimaji shilikishi. Kiwanja hiki ni eneo zuri kwa SHULE, GUEST...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa Kisesa, Mwanza

    Ninauza kiwanja Million 10 nafungua majadiliano kwenye bei. Kiwanja ni kikubwa kipo Kisesa eneo la Mwandulu. Urefu 42 na upana 36. Kiwanja ni changu kimepimwa, upimaji shirikishi. Kiwanja kimebakia katikati pekee, hakijajengwa majirani wote wamejenga tayari. Kwa maelezo zaidi namba yangu ni...
  4. BASIASI

    JamiiForums Tanzania Hivi unapohitaji uthibitisho wa kiwanja inachukua muda gani baada ya malipo mh Lukuvi tunahitaji msaada wako

    Wenye uelewa wa hili swala bahati mbaya niko mbali na mjini mpaka jumatatu. Unapotaka kujua uhalali wa kiwanja cha mtu kuna malipo yanafanyika ili upewe barua. Kiuhalisia wanachukua muda gani maana kuna usanii unatokea mkoa mmoja kaskazini sasa inaenda wiki ya pili na pesa zishalipwa na...
  5. frama

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja Mwembe Mdogo Kigamboni Bei chee

    Pata kiwanja kwa Bei chee Mwembe Mdogo Kigamboni 696 square meters Kimepimwa +255714908121 Bei (3700000)
  6. Jangakuu

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa - Bagamoyo Kilomo

    Kiwanja kinauzwa heka 4, kipo bagamoyo kilomo kilometers sita kutoka barabara kuu ya bBgamoyo, upande wa kilomo shule ya msingi, ukienda Bagamoyo upande wa kushoto, uliza kilomo shule. Bei ni milioni 13. Kwa mawasiliano piga namba 0686 351 253.
  7. Ligaba

    JamiiForums Tanzania Kajenga katika kiwanja cha mwanamke kinachomtokea utamhurumia

    Rafiki yangu Leo nimemsikia akiniambia sauti anazotoa yule mke wangu chumbani zinaweza kuniua. Fikiria nyumba moja mmegawana vyumba wewe na aliyekuwa mkeo baada ya kuachana. Wamepatana kila mtu awe huru na maisha yake. Anachofanya huyu mwanamke kaleta mwanaume anaishi nae inapofika usiku...
  8. Magari ya Biashara

    JamiiForums Tanzania Tunauza Viwanja na Mashamba kwa bei nafuu

    Habari wana JF.Nina hekari 2,000 za shamba maeneo ya mazinde wilaya ya korogwe mkoani Tanga. Ninatumia heka 1,000 tu.Zimebakia heka 1,000 kwa mwekezaji yoyote wa kilimo aje. Pembeni limepakana n mto ambao haujawahi kukauka maji. Nauza 1,000,000 Kwa Heka 1. DIRECTION YA SHAMBA LILIPO Ukiwa...
  9. kanyagio

    JamiiForums Tanzania Kiwanja pembezoni mwa barabara cha biashara

    Wapendwa, Kinahitajika kiwanja kinacho face barabara ya lami hapa Dar es salaam. Ukubwa ni wowote Ila ni vema kuwe na mpaka unaojulikana wa barabara ili kuepuka kubomolewa. Bajeti iliyopo ni 20m.
Back
Top Bottom