kiwanja

  1. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta kiwanja cha kujenga Mwanza

    Salam ndugu zangu, mimi ni mkazi wa Mwanza ninaomba kwa atakayekuwa na kiwanja kizuri chenye ukubwa wa kuanzia 30 kwa 40 ama squameter kuanzia 1000. Maeneo yoyote kuanzia Nyegezi uelekeo wa hadi Usagara.
  2. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Nataka kununua kiwanja Zanzibar

    Hatua gani nifuate nimiliki hata 20 kwa 20 hapo zenji, mimi ni mtu wa kupenda sana maeneo, mashamba, vitu kama hivyo yani. Kwa ukubwa wa 20 kwa 20 meter, zanzibar nnje ya mji inaweza kua shngapi?
  3. leiya

    JamiiForums Tanzania Hati ya kiwanja kwa watoto chini ya kiaka 18

    Habari ya muda huu ndugu mwanajamii, Naomba kueleweshwa na anaejua taratibu za kupata hati ya kudumu ya kiwanja alichonunua mzazi akaandika jina langu. Kiwanja kilinunuliwa nikiwa na miaka minne tu, enzi hizo kabla ya uwepo wa NIDA. Miaka 38 baadae, nataka kubadili ile hati ya karatasi ya...
  4. Dalali wa Mjini

    JamiiForums Tanzania Kiwanja nyumba kinauzwa Goba Kwa Olomi

    Namtaka bingwa wa kuona Mbali. Mwenye macho ya Eagle 🦅 Kiwanja Chenye nyumba kinauzwa Goba Kwa Olomi. Hizo nyumba mbili unazoziona. Moja ina Rangi ya light blue na nyingine imeezekwa Kwa bati ya Rangi ya maruni zipo ndani ya kiwanja. Sqm 629.78 Hati Safi Hakuna mgogoro Dakika moja Hadi...
  5. Sonship

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja Kiluvya Gogoni

    Kiwanja Kinauzwa Kiluvya gogoni umbali km 1.5 tu kutoka moro road kipo upande wa kituo Cha polisi gogoni Bei ni Mln 13 tu Piga simu 0675 065906
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa Ardhi, Kaspar Mmuya: Inakuwaje kupata Hati ya Kiwanja iwe kama kutafuta Tanzanite au Dhahabu?

    "Kupata hati ya kiwanja iwe kama kutafuta Tanzanite au Dhahabu nchi hi? Yaani mtu ambaye amekuja kuomba hati amefuata taratibu na kutimiza vigezo vyote vinavyotakiwa inakuwaje inamchukua miaka miwili kupata hati yake?" - Naibu Waziri wa Ardhi, Kaspar Mmuya...
  7. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Hivi inakuwaje mtu anauziwa kiwanja/ nyumba bondeni ambako hata bajaji haiingii. Ni matatizo ya akili?

    Dar es salaam ukifika huko mbezi juu kuna mahali mtu kajenga nyumba tena zingine za gharama lakini hawezi kuingia nyumbani kwake na gari . Wengine ni pabaya mno hata pikipiki haiingii. Sasa unajiuliza huyu mtu kichwani zipo timamu kweli? Huko Keko nako nimekaa aisee asubuhi mpaka jioni ni kunusa...
  8. The Eric

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kizuri kinauzwa Tabata kwa Swai 45mil...tu

    Hello Ukubwa wa kiwanja ni 500sqm... Bei Tsh.45mil45mil..... Kina document ya hati miliki .
  9. Bexb

    JamiiForums Tanzania KIWANJA KINAUZWA KIPO KISOTA KIGAMBONI, DAR ES SALAAM

    Habari ya sikukuu wakuu. Kiwanja kinauzwa 🔥Kina ukubwa wa square metres 597 🔥Kinapatikana KISOTA BLOCK 3 Mtaa wa nyuma ya barabara ya Dr Dau.(Ni mtaa ulio oposite na nyumba ya Dr Dau. 🔥Kina hati ya wizara 🔥Ni corner plot yaani kinatazama barabara mbili za mtaa. 🔥Hakina mgogoro wowote kinauzwa...
  10. Fbn

    JamiiForums Tanzania Bilioni 57 kuwekeza majengo katika Kozi ya urubani,Mbona mnachezea pesa ,Pale Chato kile kiwanja kinazidi kujifia

    Leo nilikuwa na mtu mmoja tuliongea mambo mengi kuhusu nchi yetu kuwa na kundi kubwa la CCM wajinga ndio wanaotawala. Nimeona NIT na serikali kuweka mabilioni ya pesa NIT maswala ya anga. Udogo wa kile chuo ,kwa nini wasiopeleke Kiwe chato hapo maana kiwanja kilishindikana kuwa na safari na...
  11. Olivia olivia

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kiwanja Dar es Salaam/pembezoni mwa mji kwa ofa ya Tsh 5m

    Nahitaji pembezoni mwa mji au kiluvya
  12. uberimae fidei

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Kibaha

    Kiwanja kina ukubwa robo eka. Kipo kibaha visiga. Umbali Mita 300 kutoka morogoro road. Unatembea kwa miguu kidogo unaingia ndani. Bei milioni 9. 0678908743
  13. D

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nauza kiwanja na site Morogoro Mjini ukubwa sqmUKUBWA SQM 1500

    CONTACT ME 0762098871
  14. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Awali hatukufanya haki kwenye kugawana ardhi, kiwanja kimoja kinamilikishwa watu watatu watatu

    "Awali hatukufanya haki kwenye kugawana ardhi, kiwanja kimoja kinamilikishwa watu watatu watatu hasa hapa Dar Es Salaam, Migogoro ya ardhi unakuta shamba la mtu huyu anapewa hati mtu mwingine, lakini haya yote sasa yameondoka, ardhi yetu tumeipima, tunaendelea kuipima na kama mmesikia nilisema...
  15. STUKA M1

    JamiiForums Tanzania Ramani nzuri ya kisasa kiwanja changu ni 840M²

    Wakuu, nimepata huu uwanja wenye ukubwa 840M² (Urefu 40×Upana 21). Hitaji langu nipate nyumba yenye sifa hizi. * Nyumba ya kisasa *Vyumba jumla 4, Master room 2 na kawaida 2 Sebule, Jiko, Stoo, ukumbi wa kulia chakula au kusomea vitabu na kazi za ofisini. Pia nyuma ya nyumba nijenge Banda lenye...
  16. Oscar Lyrics

    JamiiForums Tanzania Umewahi kuuziwa kiwanja ambacho kina mgogoro?

    Ni mara chache hutokea ukanunua kiwanja kwa ajili ya ujenzi kisiwe na migogoro, aidha kwa aliyekuuzia au jirani yako akasogeza mpaka ili mradi mgogoro utokee, Wakati mwingine unaweza kuuziwa kiwanja kumbe ni cha mtu mwingine pasipo wewe kujua, Mimi binafsi jirani yangu alisogeza mpaka kisa...
  17. uberimae fidei

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Kibaha Picha ya Ndege

    Kiwanja kipo kibaha picha ya ndege. Kipo nyuma ya hospital ya wilaya Lulanzi. Kiwanja kina ukubwa Mita 30 kwa 20 Kutoka morogoro road km 2. umeme upo hapo hapo wa kuvuta maji yapo karibu. Bei milioni tatu na nusu.
  18. Sonship

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa Kiluvya Madukani

    Kiwanja Kinauzwa Kiluvya Madukani Ukubwa Heka 1 yani mita 70x70 Huduma zote zinapatikana Umbali Kutoka Morogoro road km 6 Bei eneo linauzwa Mln 15 0775 179905
  19. Gumasa

    JamiiForums Tanzania Swali la wazazi: Umeshanunua kiwanja huko unakoishi? Jibu hili hapa

    Yes,Ukiwa unaishi mjini au mahali popote mbali na wazazi au nyumbani ulipozaliwa,unaporudi nyumbani swali mhimu kutoka kwa wakubwa huwa ni...; umeshanunua kiwanja?? Kama bado hujapata jibu la swali hilo,usisite kunitafuta wakati wowote ili upate kumiliki kiwanja chako kwa gharama nafuu Sana...
  20. A

    JamiiForums Tanzania Nimenunua kiwanja nikaanza kujenga bado natakiwa niende nikatafute kibali cha kujenga hii ikoje?

Back
Top Bottom