Zinaongezwa TU sifur uhalisia haupo hvyoMaeneo yanapanda sana thamani, leo hii dondwe kiwanja ni milioni 10, sio mchezo
Weka picha mjomba. Biashara inanoga ukiweka na picha ya kusindikizia.Kiwanja cha SQM 1,400 kinauzwa Dondwe, Karibu na Gereza la Mvuti, Ukanda Wa Chanika
Kiwanja kina miti mingi ya nazi, ndizi, mapapai, korosho.
Kipo barabarani kabisa
Nitumie message inbox if interested
Ingia google andika hii GeolocationKiwanja cha SQM 1,400 kinauzwa Dondwe, Karibu na Gereza la Mvuti, Ukanda Wa Chanika
Kiwanja kina miti mingi ya nazi, ndizi, mapapai, korosho.
Kipo barabarani kabisa
Nitumie message inbox if interested
Reasonable price shingap mkuu?Sqm 1400 hata nusu ekari bado, maana robo ni 1000sqm.
Dondwe kwa kiwanja icho mil10 nyingi, labda niwe sipajui kule, kama ni mvuti milioni 10 ni sawa kabisa ila dondwe gerezani hapana....labda kama utaongea na mteja vizuri, bei hizo za milioni 10 ni za viwanja vilivyo pimwa.
Kuanzia mvuti, kiboga, sabodo, mageti, dondwe stand kote kule napajua.
5 mpaka 6mil...utauza chap, au vikate uuze kila kimoja milioni 1.9 mara viwanja vinne una milioni karibu 8Reasonable price shingap mkuu?