Mzee huyu ameongeza mawe na kuyamwaga barabarani kwa madai kwamba barabara imepita kwenye kiwanja chake.
Cha kushangaza ni kwamba mbele kuna nafasi ambayo inaonekana ndiyo mpaka wa kiwanja chake, lakini sasa anaziba barabara kabisa. Swali linajiuliza, kama kweli hiyo ndiyo mipaka ya kiwanja...
KIWANJA KINAUZWA – MADALE MIVUMONI
📍 Mahali: Madale Mivumoni
📐 Ukubwa: SQM 1,600
📄 Kimepimwa rasmi na kina Hati ya Wizara
🌳 Kipo katika mtaa mzuri, salama na unaoendelea kwa kasi
Kiwanja hiki kinafaa kwa:
✅ Ujenzi wa nyumba ya kifahari
✅ Apartments au nyumba za kupangisha
✅ Uwekezaji wenye...
KIWANJA KINAUZWA – KIBAMBA KWA MANGI, UBUNGO
Unatafuta kiwanja kizuri kwa ajili ya makazi au uwekezaji? Hiki ndicho fursa yako!
Mahali: Kibamba Kwa Mangi, Wilaya ya Ubungo
Ukubwa: Meta 20 × 25
Bei: TSh Milioni 14 tu (maongezi yapo)
Umeme upo karibu
Maji yapo karibu
Barabara ya gari inafika...
Beach plot for sale
Country:- Tanzania
City:- Dar es salaam
Location:- Bahari beach
Price:- Billion 5 negotiable (Maongezi)
Plot size:- SQMT 8000
Document:- Clean title deed (Ina hati kitoka wizarani
Note:- Viewing charge 200K
For more information call+255758844717
#beachplotsforsale...
Kiwanja cha SQM 1,400 kinauzwa Dondwe, Karibu na Gereza la Mvuti, Ukanda Wa Chanika
Kiwanja kina miti mingi ya nazi, ndizi, mapapai, korosho.
Kipo barabarani kabisa
Nitumie message inbox if interested
Habarini wakuu,
Niko hapa kuomba ushauri .
Kuna kiwanja kipo eneo zuri (kijijini lakini sio sana pamechangamka) .Sasa kuna watu wa kampuni moja ya simu wamekuja pale nyumbani kwetu ( tuna eneo kubwa karibia robo tatu ekari) na wametuambia frequency zao zimesoma pale kwetu na wanataka kuweka...
Habarini wakuu, kiwanja kinauzwa Dodoma Mjini mtaa wa Chinyoya uliopo karibu na Uzunguni kina ukubwa wa Sqm 800 pia kina Hati, Huduma za maji na umeme zipo zote kwenye kiwanja kwahiyo ukinunua huna haja ya kuvuta umeme wala kuunganisha maji.....
Bei yake ni 60M kama ukihitaji nicheki Dm tuongee.
Amenunua hiki kiwanja kina sq merter 510 KIBAHA ila analalamika kwasababu ya umbo la kiwanja na bei aliyouziwa....yaan anaona kiwanja kimekaa umbo la pembe 3 hivyo hapafai au hapatoshi kujenga nyumba.
Mfano wa hicho kiwanja kilivyo kaa ni hiki apa
Hicho chenye umbo la pembe 3, kimeandikwa 510...
Mwaka 2013 nilinunuaga kiwanja sehemu panaitwa dege dar. Palikuwa ni pori haswaa yaani hapaeleweki mpaka nikamuuliza aliyeniunganisha sasa nanunuaje shamba na unasema kiwanja😹Nakumbuka nilikuwa ndo nimeanza kazi sikuwa na pesa kabisa.
Kwenye account nilikuwa na M 4 tu na mwenye eneo alikuwa...
KIWANJA KINAUZWA – KIBAHA MAILI MOJA (LOLIONDO)
Unatafuta kiwanja kwa ajili ya kujenga nyumba au kuanzisha biashara? Hiki ni fursa nzuri!
📍 Mahali: Kibaha Maili Moja – Loliondo (Kwa Mama Rose)
📐 Ukubwa: 35.62m × 27.12m = 966 sq.m
✅ Kiwanja kimepimwa
✅ Kinafaa kwa makazi au biashara
✅ Umeme...
Wakuu kiwanja kizuri chenye ukubwa wa mita za mraba 520 kilichopo Mbopo Wilaya ya Kinondoni kinauzwa kwa bei ya shilingi milioni 19.
Kiwanja kipo eneo zuri na ni jirani kabisa na barabara inayotoka Madale kuelekea Mabwepande. Kiwanja hakina kipengere kabisa.
Karibu DM tuyajenge ujipatie...
KIWANJA KINAUZWA – MBEZI MPIGI MAGOE (KWA MZUNGU)
Unatafuta kiwanja kwenye eneo zuri la makazi au uwekezaji? Hiki ni fursa yako!
Ukubwa: Mita 20 × 20
Kiwanja kimepimwa
Hati inatolewa moja kwa moja kwa jina la mnunuzi
Kimezungukwa na fensi ya ukuta pande mbili
Maji na umeme vinapatikana jirani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.